CHADEMA imekuwa dampo la CCM


Hahahaha muulizeni Mkuu wa Mkoa ukweli kuhusu kumpangia nyumba yule International Drug Trafficker.
 
Kimsingi hakuna Chama ambacho kinajianzisha chenyewe bila ya wanachama wa chama fulani kujimega na kuanzisha tawi la Chama kingine.
Vyama vyote vya Upinzani vimejimega kutoka katika chama cha mapinduzi, na kwa kweli tunahitaji wananchama wengi wa ccm wajimege zaidi katika kutafuta nafasi zaidi ya kuitumikia nchi na Watanzania.
Bahati mbaya wanaojitambua yaani wasomi wa ngazi ya kutambua kuwa nje ya ccm nako kuna maisha na nafasi ya kuitumikia nchi ni wachache sana na wanaongezeka kwa matone madogo.
Siku wakija kumiminika baada ya wengi kujitambua basi yawezekana ccm ikaja kugawanyika katika vipande vikubwa vikubwa na hivyo vipande hivyo kufuta jina CCM kabisa katika historia ya Tanzania na Dunia.
Ni wakati tu ndio unasubiriwa na inawezekana hata wewe mwenzangu ukawa shuhuda wa hili.
Vyama vya upinzani vimeanza kukua na sasa navyo naona vinazaa tuvyama tudogo kama Act- wazalendo na Kile cha Hamad Rashid wa Zanzibar na vingine ambavyo wewe mwenzangu unaweza kuwa na kumbukumbu zake kichwani mwako.
Mwanzo mzuria sana tusiupuuze upinzani unasaidia sana katika kufanya Tanzania iwe hivi ilivyo.
Nawapongeza sana wote waliojitambua na kuacha kung'ang'ana na ccm maana wangetuletea maafa baadaye kama kusingekuwa na mbadala wa wao kwa kwenda.
Hili lisiahaulike kwenye fikara zenu wadau wenangu!!
 
Chadema wanategemea sana usanii na ujanja ujanja kuingia Ikulu.hili jambo haliwezekani kwa karne hii
 
Kwani dr slaa alitoka wap?
 
Kuhama chama sio tatizo tatizo nipale unapohama baada tu yakutuhumiwa, chadema lazima tuwe makini na hawa watu tunapo wapokea maana chama chetu nichawatu wasafi
 
Tambwe alifukuzwa simba ila sasa kila mechi anawafunga simba...mfano tu
 
Kila Chama ni dampo la mwenzie kwa kuwa wote hupokea Wanachama wa mwenzie.
 


Ebu tuonyeshe hata clip ya sekunde moja inaonyesha viongozi wa au ccm wakimfukuza Lowassa. alitoka kwa hiari yake na ndie anayemsumbua hata malaika wenu kushindwa kulala. Ebu niambie kwa siku unamtafakari Lowassa mara ngapi na malaika mara ngapi? hakuna anayeweza kushinda kuanzia asubuhi hadi jioni ndani ya ccm bila kumtafakari Lowassa
 
Hongera
 
Ebu tuonyeshe hata clip ya sekunde moja inaonyesha viongozi wa au ccm wakimfukuza Lowassa.
Bangi hizi........UNAKUMBUKA KUJIVUA GAMBA?????......akuvukuzae akuambii toka...bali vitendo vya tosha
 
Dawa ya Wema imewaingia barabara
 
Bangi hizi........UNAKUMBUKA KUJIVUA GAMBA?????......akuvukuzae akuambii toka...bali vitendo vya tosha



Sasa mtu aliyejiondoa mwenyewe utasema ni trash? unaonyesha jinsi ulivyo na akili ndogo maana nusu ya akili zako zilizoezwa kutukana maana umelelewa na mama wa kambo
 
M
Aise ndo mmekuja na hili? Hahahaha
na kwakwel tungejuaje hata daudi pauli bashite makonda alimla masogange na kumpangishia nyumba makongo na zaidi akataka na "papuchi" ya wema akapigwa chini sasa inamuuma ndo analipa kisasi
Kama Masogange si nduguyo na wewe ni mwanamme kamili huna sababu ya kutomla akiingia kwenye anga zako, ni kama tu ambavyo hutakuwa na kisingizio chochote cha kutomla Wema lakini si kwa mama Wema.
 
Siasa kama ilivyo dini yoyote ni watu. Huwezi kufanya siasa ama kukuza imani ya dini fulani bila kuwafikia watu..

Siasa ndani ya vyama si sawa na ukoo wala undugu wa damu ambako haiwezekani kujitoa kwenye familia moja na kujiunga familia nyingine...!

You guys need to grow up and start thinking bigly outside the box..!!
 
MGENI AKIBISHA HODI KUMPOKEA NI WAJIBU.NA NDIZO MILA ZETU.
 
Brand ya chadema imeshuka.

Enzi za Dr Slaa, kama wewe ni mtuhumiwa wa madawa ya kulevya ,fisadi, mkwepa kodi usingeweza kuota ndoto ya kukimbilia chadema na kupokewa.

Chama kilikuwa na miiko na akitamka kiongozi wa chadema kila mtu anatulia kwamba wakombozi wa nchi sasa wanaunguruma.

Sasa hivi wachawi, majizi, mafisadi, wakwepa kodi, wabakaji, mateja mtetezi wao mkuu ni chadema!!!!

Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…