CHADEMA imekuwa CCM, CCM imekuwa CHADEMA!

CHADEMA imekuwa CCM, CCM imekuwa CHADEMA!

CDM inaelekea kaburini punde

Kwa sasa wamekuwa ni wapinzani wakujihami kihoja.

Ni nadra sana chama cha upinzani kuwa defensive wakati wa kampeni.

Ndiyo maana nikasema kwa sasa CHADEMA imekuwa ni CCM.
 
Huwezi kuamini kama hizi ni kauli za viongozi wa CHADEMA ambao miezi mitatu iliyopita walikuwa wanapiga kelele kwenye majukwaa ya nje na ndani kuhusu athari za ufisadi.

Ina maana ccm ilikuwa ni chama cha mafisadi!mbona ulishindwa kututhibitishia hilo jambo?
 
Tunaambiwa siasa zinabadilika (Political dynamics).

Mabadiliko ya siasa za Tanzania yanafanya watu wenye fikra pana wajiulize kuhusu hatima ya taifa na misingi ya vyama vya siasa.

Kwa kifupi, kile ambacho CHADEMA walikitetea, kwa sasa wanakipinga na kile ambacho CCM walikipinga kwa sasa wanakitetea!

Uchaguzi Mkuu uliopita, CCM walikuwa wanatetea sana ufisadi na mafisadi, kwa sasa kazi hiyo wameichukua CHADEMA.

Uchaguzi Mkuu uliopita, CCM ilikuwa inapinga sana midahalo ya wagombea Urais, kwa sasa kazi hiyo wameichukua CHADEMA.

Uchaguzi Mkuu uliopita, CCM walikuwa wanajitetea sana kuhusu uwezo wa mgombea Urais akiwa jukwaani, kwa sasa kazi hiyo wameichukua CHADEMA.

Uchaguzi Mkuu uliopita, CCM walidaiwa kuwa na wataalam wa kuiba kura, kwa sasa tunaambiwa CHADEMA pia wamesajiri watu wenye utaalamu wa kuiba kura.

Uchaguzi Mkuu uliopita, Mgombea Urais wa CCM alidaiwa ni mgonjwa baada ya kuanguka katika mkutano wa hadhara, kwa sasa CHADEMA wanadaiwa kuwa na mgombea Urais mgonjwa kutokana na afya yake kudhoofu ukilinganisha na miaka minane iliyopita.

Haya ndiyo mabadiliko ya siasa za Tanzania ambayo kwa sasa yanapigiwa upatu na vyama vya CCM na CHADEMA.

Kweli siasa ni mabadiliko!

huu upumbavu mpelekeee mamaaaakoo
 
huu upumbavu mpelekeee mamaaaakoo

inamaana huwezi kupingwa kwa hoja mpaka utukane. Je hayo ndio mabadiliko munatuhubiri kila kukicha? Utakua utawala wa mabavu. E mungu tuepushe. Kikombe hiki asikinyweye lowasa.
 
Mwanasiasa kuwa kigeugeu ni kupoteza uhalali wa kuaminiwa
mbele ya jamii.

Chama hakiwezi kuwa na sera ya kubadili gia angani, halafu kipewe uhalali wa kuongoza nchi.!
Mbaya zaid hiyo gia inabadilishwa ili ndege iweze kubeba wasafiri ambao waliwakataa kuwachukua huko nyuma kwa sababu ya hawakidhi vigezo vya kuwa abiria ndani ya chama.

Kwa sasa siyo tu wamewabeba hao abiria bali hao abiria wamegeuka na kuwa marubani wa ndege iliyogeuza gia angani.
 
Kadri siku zinavyokwenda, Chadema wanazidi kujipambanua kama ni CCM ambayo kazi yake ilikuwa ni kujibu mashambulizi.

Kwa mara ya kwanza CHADEMA wamekuwa defensive badala ya offensive.
 
Kwa sasa hata waliokuwa wafadhiri wa CCM wamekuwa wafadhiri wa CHADEMA.
 
Tunaambiwa siasa zinabadilika (Political dynamics).

Mabadiliko ya siasa za Tanzania yanafanya watu wenye fikra pana wajiulize kuhusu hatima ya taifa na misingi ya vyama vya siasa.

Kwa kifupi, kile ambacho CHADEMA walikitetea, kwa sasa wanakipinga na kile ambacho CCM walikipinga kwa sasa wanakitetea!

Uchaguzi Mkuu uliopita, CCM walikuwa wanatetea sana ufisadi na mafisadi, kwa sasa kazi hiyo wameichukua CHADEMA.

Uchaguzi Mkuu uliopita, CCM ilikuwa inapinga sana midahalo ya wagombea Urais, kwa sasa kazi hiyo wameichukua CHADEMA.

Uchaguzi Mkuu uliopita, CCM walikuwa wanajitetea sana kuhusu uwezo wa mgombea Urais akiwa jukwaani, kwa sasa kazi hiyo wameichukua CHADEMA.

Uchaguzi Mkuu uliopita, CCM walidaiwa kuwa na wataalam wa kuiba kura, kwa sasa tunaambiwa CHADEMA pia wamesajiri watu wenye utaalamu wa kuiba kura.

Uchaguzi Mkuu uliopita, Mgombea Urais wa CCM alidaiwa ni mgonjwa baada ya kuanguka katika mkutano wa hadhara, kwa sasa CHADEMA wanadaiwa kuwa na mgombea Urais mgonjwa kutokana na afya yake kudhoofu ukilinganisha na miaka minane iliyopita.

Haya ndiyo mabadiliko ya siasa za Tanzania ambayo kwa sasa yanapigiwa upatu na vyama vya CCM na CHADEMA.

Kweli siasa ni mabadiliko!

CCM ni major player in geo politics. Wanajua fitna za kitaifa na za kimataifa. Wanajifunza na makosa..sasa hivi wana shape their organisation. After oct 25 ccm watakuja wapya. Chadema bundi ataibuka...this ccm guys are strategic....ukawa bado sana kuchukua nchi labda wabunge which is gud for them.
 
huu upumbavu mpelekeee mamaaaakoo
Kwanza ungejitahidi kufahamu kama nina mama kabla ya kutoa ushauri wako.

Pili, huna sababu ya kunishauri nipeleke wapi hiki unachokiita upumbavu kwa sababu sijakuita uje kuusoma huu unaoita upumbavu.

The trouble with the world is that the stupid are cocksure and the intelligent are full of doubt-Bertrand Russell
 
Back
Top Bottom