CHADEMA imekufa? Nani huwa anawadanganya CCM?

Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?

Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?

Wangapi wana smartphone hapo hao wabibi?

Hiyo ni mtama jimbo la Nape najiuliza uchaguzi ukiwa wazi na huru kwa majeraha walionayo watu sijui kama ccm itapona 2025.

Tukubali tu chama kimechokwa hiki na hakipo!View attachment 1787609View attachment 1787611View attachment 1787613View attachment 1787614

ukweli mnaotakiwa kumeza ni huu apa
1621187076474.png

1621187132199.png
 
Bavicha kwa kujifariji!

Sasa hapo kuna kipi kipya wakati hata ADC inaweza kufanya mkutano mkubwa zaidi ya huo?

Sio kwamba hivyo vyama havitaki kufanya, ila havina mvuto wa cdm, hili ni suala la wakati na kwa sasa ni wakati wa cdm.
 
Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?

Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?

Wangapi wana smartphone hapo hao wabibi?

Hiyo ni mtama jimbo la Nape najiuliza uchaguzi ukiwa wazi na huru kwa majeraha walionayo watu sijui kama ccm itapona 2025.

Tukubali tu chama kimechokwa hiki na hakipo!View attachment 1787609View attachment 1787611View attachment 1787613View attachment 1787614
Mungu ibariki Chadema
 
We mburula mla panya, kwa akili yako hizo picha za mwaka 2015 ni za leo?

Nimecheka kwa nguvu maana nilijua lazima utapanick. Na ccm wakiona hivi sasa hivi wataanza kumtisha huyo mama kwamba unaona cdm wameanza tena ccm itakufia mikononi. Katika kosa walilofanya ccm ni kuacha cdm ikavuka kuwa chama cha siasa na kuwa imani, ni aidha ccm ikubali katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwa amani, ama wasubiri muda uwatoe kwa machafuko.
 
Chadema haiwezi kufa mitandaoni hata siku moja, hivi ni mpumbavu Nani anaweza kuiua Chadema Mitandaoni ili Hali pia kunanamna ya kutengeneza picha za photocopy?
 
Nimecheka kwa nguvu maana nilijua lazima utapanick. Na ccm wakiona hivi sasa hivi wataanza kumtisha huyo mama kwamba unaona cdm wameanza tena ccm itakufia mikononi. Katika kosa walilofanya ccm ni kuacha cdm ikavuka kuwa chama cha siasa na kuwa imani, ni aidha ccm ikubali katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwa amani, ama wasubiri muda uwatoe kwa machafuko.
Ahaaa, nani apanic? Cdm inajulikana ipo Icu. Mwenyekiti yupo Dubai makamu yupo Belgium. Mmebakia nyie wavimba macho mnajifariki.
 
Swadakta !
 
Cdm ni imani, bila hata mwenyekiti mziki ni ule ule. Huo ndio uzuri wa kuwa kwenye wakati.
 
Washauri wafanye, kuna mambo hata utumie nguvu vipi huwezi kuyazuia maana huja automatically.
Chama chochote kinaweza kuitisha mkutano kama huo watu wakajaa!

Hata Sabaya akienda leo Hai akaitisha mkutano watajaa zaidi ya hao pamoja na skendo alizonazo!
 
kwamba wabibi wamejifunika mpaka kanga za chadema.

mimi huwa naamini siasa za kitoto wanazo ccm,kumbe hata chedema kuna wanduza kibao.

halafu tulikubaliana chadema inapendwa na vija a na wasomi,hapo naona wabibi.sijui ndio wale vijana wamezeeka!!!
 
Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?

Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?

Wangapi wana smartphone hapo hao wabibi?

Hiyo ni mtama jimbo la Nape najiuliza uchaguzi ukiwa wazi na huru kwa majeraha walionayo watu sijui kama ccm itapona 2025.

Magufuli amekufa kabla ya kuiua Chadema mjiulize why? Chadema ni mpango wa Mungu Muda utaongea.

Back
Top Bottom