CHADEMA imekosa dira na mwelekeo

CHADEMA imekosa dira na mwelekeo

Wahenga walinena kuwa nyota njema huonekana asubuhi, vile vile pia nyota mbaya huonekana asubuhi.

Chadema tumeweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chetu,.

Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.

1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi

2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii

3. Kupinga watu wasilipe kodi.

4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.

5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.

6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.

7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.

Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.

8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .

Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.

9. Tumeweza kushangilia hadharani kila polisi wanapouawa na majambazi

10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.

11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.

Swali la kujiuliza kama tumeweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??

Haya ndio yatatokea Tanzania ikiwa ccm itaondoka madarakani na chadema kuchukua nchi.
Kiukweli Nina wasiwasi na elimu yako
 
Yanayotokea kwa ccm tangu waongoze nchi yamenitosha na kunikai.
 
mzee huna mpya hao mafisadi , mijizi, madawa yakulevya, mijambazi, wakwepa kodi, wauwaji, maradhi, mafuriko, na kila aina ya balaa kalileta nani hapa Tanzania mwaka 1961 yote hayo yalikuwa hakuna baada ya utawala wa ccm wa miaka 55 ndio uwoza wote huyo wameuleta wao sasa kuna kipya hapo zaidi ya usaniii
 
Dah!! Kweli JF ya sasa sio kama ya zamani, yaani siku hizi vichwa vya panzi wamejazana sana humu, na ndio wanaongoza kwa kuleta thread za kijinga kama hizi. Lazima Mods mfanye kitu ili huu ujinga usiendelee.
 
CHADEMA nani aipe nchi ?! Wataota watachoka !
 
Dah!! Kweli JF ya sasa sio kama ya zamani, yaani siku hizi vichwa vya panzi wamejazana sana humu, na ndio wanaongoza kwa kuleta thread za kijinga kama hizi. Lazima Mods mfanye kitu ili huu ujinga usiendelee.
Ukweli siku zote unauma ! Mjibu kwa hoja au tuliza boli !
 
Wew upo nyumbani mpka mda huu... toka nyumbani
 
mzee huna mpya hao mafisadi , mijizi, madawa yakulevya, mijambazi, wakwepa kodi, wauwaji, maradhi, mafuriko, na kila aina ya balaa kalileta nani hapa Tanzania mwaka 1961 yote hayo yalikuwa hakuna baada ya utawala wa ccm wa miaka 55 ndio uwoza wote huyo wameuleta wao sasa kuna kipya hapo zaidi ya usaniii
Walioleta hayo ni kingunge, Sumaye, na Lowasa
 
Dah!! Kweli JF ya sasa sio kama ya zamani, yaani siku hizi vichwa vya panzi wamejazana sana humu, na ndio wanaongoza kwa kuleta thread za kijinga kama hizi. Lazima Mods mfanye kitu ili huu ujinga usiendelee.
Wauza ngada mnalindana sana
 
Wahenga walinena kuwa nyota njema huonekana asubuhi, vile vile pia nyota mbaya huonekana asubuhi.

Chadema tumeweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chetu,.

Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.

1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi

2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii

3. Kupinga watu wasilipe kodi.

4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.

5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.

6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.

7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.

Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.

8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .

Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.

9. Tumeweza kushangilia hadharani kila polisi wanapouawa na majambazi

10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.

11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.

Swali la kujiuliza kama tumeweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??

Haya ndio yatatokea Tanzania ikiwa ccm itaondoka madarakani na chadema kuchukua nchi.
Points za maana sana!
 
Na pia usisahau pia Chadema wamemtetea Bashite mpk sasa asilete cheti chake na pia kumtoroshea nje ya nchi
 
Kiukweli Nina wasiwasi na elimu yako
Hakikisha kwanza kama elimu yako iko sawa, kabla hujamhujumu mleta mada.

Hii ni forum huru , mleta mada kaleta maoni yake na si habari ya kilichotokea, wajibu wako sio kudhalilisha, bali unaweza kuyapinga maono yake kwa hoja zenye busara na sio dhehaka.

Lets be civilised
 
Back
Top Bottom