CHADEMA imekosa dira na mwelekeo

CHADEMA imekosa dira na mwelekeo

hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
Ulikuja na single ya ugaidi kwa Lwakatare kwa kupost ule ujinga ambao Polisi kwa kutumika eti wakaamini ule upuuzi wako Leo hii Lwakatare Mbunge.
 
kw
CCM haihubiri ubaguzi wewe umeliona bango na umeshikilia bango
kwenye lile bango hakuna kosa. wafuasi wa hisbu walikua machotara wabaguzi wa waafrika kuliko hata waarabu. wengi walijisikia waarabu na kutetea usultani uliowakandamiza waafrika. japo leo tupo wamoja hamna haja kung'aka watu wakikumbushwa historia.
 
Hii tune ya CHADEMA kukosa dira na mwelekeo haina collabo yake? Maana yake miaka nenda miaka rudi ni hiyohiyo lakini inashindwa kuhit huku CHADEMA kikizidi kuwika na kuchanja mbuga

Bila kuweka ushabiki, chama hiki hakina dira wala uelekeo wowote!! kipo kipo tu ili mradi tu
 
Kweli mkuu ,CHADEMA imekosa muelekeo,si unaona hata wewe huna pakulala unalala kwenye mtalo kwa kubomolewa kibanda chako.
 
Eti viongozi wakubwa serikalini....!!!!! Sahau hiyo ilishapitwa Na wakati wakati kanda hiyo haijawahi kutoa hata mwanasheria mkuu wa serikali wala jaji mkuu,......so shame
 
Mwenye akili aambiwi fikiri.
Uchukua upuuzi wa mtoa mada ukachanganya na uozo wa vijana wa ACT = Mbunge mmoja tu. Na ndoto ya kuwa chama kikuu cha upinzani huku kinapingana na wapinzani!
ACT ina mwaka mmoja tayari inaongoza halimashauri, in madiwani kibao na mbunge juu.

Na bado hadi nyumbu mjinyonge
 
hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
Lowassa fisadi why hajafikishwa Mahakamani?Chama kimekosa dira why unahangaika kukidiscuss?
 
Lowassa fisadi why hajafikishwa Mahakamani?Chama kimekosa dira why unahangaika kukidiscuss?
Hilo swali zuri sana, muulize mnyika na Lisu kwa nini walikuwa wanasema wana ushahidi kuwa lowasa ni fisadi kumbe hawana !?!
 
Hii tune ya CHADEMA kukosa dira na mwelekeo haina collabo yake? Maana yake miaka nenda miaka rudi ni hiyohiyo lakini inashindwa kuhit huku CHADEMA kikizidi kuwika na kuchanja mbuga
Na fisadi wao wa midomoni Lowassa,sasa sijui mahakama bado haijaanzishwa au
 
ACT ni tawla CCM,...kwa anayeelewa siasa ya TZ
hahaha kwani Lowasa na Sumaye na wale waliotoka ccm sio matawi yao ???? tuanzie hapo. una proof gani kuwa sio matawi yao? ?? ukishagundua basi hutafata siasa teeeeeena. achana na wanasiasa! unaweza ukafilisika unadhani unajitolea kwa malengo fulani kumbe wenzako wanapiga hela. michango mingapi ambayo tumeshachangia chadema mabilioni! unajua imetumikaje? ukiuliza unaambiwa msaliti umetumwa. acha bana
 
Kwa namna ambavyo Magufuli anafanya kazi na tabaka la wanyonge ni dhahiri sasa cdm inafutika ktk ramani.Mabepari hawa wa cdm waliwatumia walalahoi kama mtaji wao wa kisiasa lakini sasa kundi hili linaamini ktk utendaji binafsi wa Rais na hii ni advantage kwa ccm.Itikadi ya cdm imejikita ktk kukosoa tu kitu kinachozidi kuwapoteza na kuionyesha rangi yao halisi.ACT wanaweza kuitumia fursa hii vizuri kama kweli ni wapinzani.
 
kila sikuhuyo unayee msifia anabadili gia angani kwa speed anayopelekwa na CDM
 
Uwe unafanya mazoez hasubui ili kuweka akili yako sawa, alafu ndo uje humu ndani, la sivyo unaweza ukaitwa Mwendawazimu
 
Kuruhusu watu watoe bidhaa madukani ili wauze bila kutumia hizo mashine zenu EFD?? Kweli Magufuli amefunika.
 
Wahenga walinena kuwa nyota njema huonekana asubuhi, vile vile pia nyota mbaya huonekana asubuhi.

Chadema tumeweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chetu,.

Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.

1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi

2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii

3. Kupinga watu wasilipe kodi.

4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.

5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.

6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.

7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.

Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.

8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .

Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.

9. Tumeweza kushangilia hadharani kila polisi wanapouawa na majambazi

10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.

11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.

Swali la kujiuliza kama tumeweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??

Haya ndio yatatokea Tanzania ikiwa ccm itaondoka madarakani na chadema kuchukua nchi.
 
Back
Top Bottom