CHADEMA imekosa dira na mwelekeo

CHADEMA imekosa dira na mwelekeo

Nani amekuambia wasira hatumiwi na ccm?!

Yupo kamati kuu.

Kati ya watu 32 Wa kumkata lowasa na yeye alikuwemo
Hhaaa haaa kumbe bado anatumika why ukaniambia niachane nae? Nikajua ccm mmechana nae now amepumzika kwake. Alilotabiri limerudi kwake. Pole kwa wote wenye nia mbaya na chadema.
 
Tetty these are crippled minded creatures...

Kwa kweli CCM wametafuta njia zote za kufuta vyama vingi wameishia kufanya madudu zaidi na zaidi.
Ni aibu kwa chama kikongwe kama CCM miaka 55 sasa kama ni Binadamu wanategemea kuretire muda wowote ndiyo kimekuwa chama cha kutengeneza kila aina ya ubaguzi.Na kama alivyosema Mwasisi wao wa chama chao Ubaguzi ni kama Mla nyama ya binadamu haachi kula.Na bado Ubaguzi wanaoufanya karibu utawamaliza wao wenyewe.Siye wengine tuna subiri maana ni wahanga wa ubaguzi unaoratibiwa na CCM
 
Wasira ni Mzee above 70 unahangaika nae Wa nini??

Hebu tuambie ni kwa nini Vincent nyerere, wenje ,kiwia wamegaragazwa!?!
Ukabila,Kiwia ukaskazini wake na Wenje si mzaliwa wa Mwanza.Vincent Nyerere ni pesa za wanaojua kuhonga halafu wanajidai wanapiga vita ufisadi.
Akina Nape waliohonga ili kupata Ubunge Leo anadiriki kusema ati wanapiga vita rushwa na ufisadi labda awe amakufa
 
hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
Wewe ni nani katika Chadema.
Acha kutumwa tumwa wewe
 
Ukabila,Kiwia ukaskazini wake na Wenje si mzaliwa wa Mwanza.Vincent Nyerere ni pesa za wanaojua kuhonga halafu wanajidai wanapiga vita ufisadi.
Akina Nape waliohonga ili kupata Ubunge Leo anadiriki kusema ati wanapiga vita rushwa na ufisadi labda awe amakufa
Watu Wa kanda ya ziwa wana msimamo, huwezi kuwahubilia Fulani ni fisadi alafu kesho tena wewe huyohuyo urudi useme siyo fisadi kumbe mchagueni !!! Alafu wakakuacha hivi hivi bila adhabu.

Wahongaji wakubwa walikuwa chadema!
 
Chadema ni chama cha mafisadi tanzania kila kiongozi ni mwizi nadani ya chadema.
nakuhurumia sana kwa mahaba yasiyojali sababu
njaa yako mbaya sana. itakuumbua
Ingekuwa vizuri ukafanya jitihada ya kutengeneza chama chenu kilichoibukia kwenye UBAGUZI WA RANGI
Akili ya kitumwa ni shida sana kila wakati utahisi wengine wanafaidi.
Badala ya kujadili ccm yako iliyokosa mwelekeo na kung'ang'ania madarakani unaangalia wengine.
 
Watu Wa kanda ya ziwa wana msimamo, huwezi kuwahubilia Fulani ni fisadi alafu kesho tena wewe huyohuyo urudi useme siyo fisadi kumbe mchagueni !!! Alafu wakakuacha hivi hivi bila adhabu.

Wahongaji wakubwa walikuwa chadema!
Usiyaseme hayo ukajikuta unaingia Moroni.Yule mama Fenela kule Kibamba zile alikuwa anamwaga kama kama Karanga zilikuwa nilikuwa karatasi za chooni??

Hakuna kitu kinaudhi kama kusema uwongo.Tunawajua wote waliokuwa wanahonga kupita kiasi mpaka.Wengine Wamekosa ikabidi wawafuate waliowahonga akina Masaburi,huyo Nape mpaka watu walifanya kiziokota pesa alipopata ajali.Pesa nyingi vile unatembea nazo kwenye gari bila sababu???
Nenda kaulize majimbo ni huko kesi ngapi za Wagombea wa CCM wameshikwa wakitoa rushwa kwa wapiga kura??
Hakuna chochote cha kuwa na msimamo tulimsikia Magufuli aliongea Kisukuma,Bulembo na Yule Mwenyekiti wa Geita wakihamasisha watu wasichague asiye msukuma

Ni aibu Mwasita kudhani watanzania ni Wapumbavu.Tumeona mengi zaidi ya ujuayo.Sema Vyombo vya dola vilihakikisha wanaahindwa hata kwa kulazimisha.Tunaelewa ULA msidhani kutoreact ni sababu tuko wapumbavu hapana ni Busara na hekima tu.
Wala rushwa na wezi wakubwa wako CCM,mpaka aibu hebu jionee Escrow ,Makonteina UDA duh hebu ficha ujinga basi.
 
Mbona Fenela alishindwa sasa!?!

Magufuli alizungumza lugha za makabila yote.

NB, unafiki Wa viongozi Wa chadema ndio sababu ya kushindwa kwao
 
Pol
Akili ya kitumwa ni shida sana kila wakati utahisi wengine wanafaidi.
Badala ya kujadili ccm yako iliyokosa mwelekeo na kung'ang'ania madarakani unaangalia wengine.
Pole kuniweka na hawa binadamu wa CCM hujanitendea haki.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya hugochavez na Hugo Chavez
 
Mbona Fenela alishindwa sasa!?!

Magufuli alizungumza lugha za makabila yote.

NB, unafiki Wa viongozi Wa chadema ndio sababu ya kushindwa kwao
Hivi kuna Fisadi kama Rais wetu aliyemaliza muda???Hiyo nyumba na Mali alizojiwekea kweli amezipata kwa haki???
Ukiwa mchoyo usiwe mroho,wakati mnamnyooshea Lowassa Vidole vingapi vimeelekea kwenu??? Wezi wa Escrow na Makonteina ni Lowassa au ni wale watu wenu mliowaweka wauhujumu Buchumi kwa kisa Mtoto wa Mfalme???
Nimemwambia hivi ni bora ufiche ujinga Usiache unajianika.Mkubwa akivuliwa nguo huchutama.
Nashangaa mpaka Leo miguu na njia kila siku Ikulu bado hamjatisheka??Mnatafuta nini tena Ikulu??Au ukuu wa mkoa???
Ni aibu hata kusema.
 
Kweli viongozi wa chadema hawana uwezo wa kupinga ufisadi lakini wanachama wa chadema bado wanachukia ufisadi. Chadema inatakiwa isafishwe kwa kuondoa uongozi ulikuwepo madarakani ili chama kijisafishe.
Jifunzeni kwa CCM, wamefanikiwa kuwatowa mafisadi kama lowassa na wenzake, na kufanikiwa kuchukuwa urais na viti vingi vya ubunge. JPM akichukuwa uongozi wa chama mafisadi zaidi wataondolewe kwenye uongozi.
Elim yako ww ni ya kuunga Inga maana huna ulijualo!,hv lowassa ndan ya ccm afukuzwa au alijitoa baada ya kuona ccm haifai?
 
Hivi kuna Fisadi kama Rais wetu aliyemaliza muda???Hiyo nyumba na Mali alizojiwekea kweli amezipata kwa haki???
Ukiwa mchoyo usiwe mroho,wakati mnamnyooshea Lowassa Vidole vingapi vimeelekea kwenu??? Wezi wa Escrow na Makonteina ni Lowassa au ni wale watu wenu mliowaweka wauhujumu Buchumi kwa kisa Mtoto wa Mfalme???
Nimemwambia hivi ni bora ufiche ujinga Usiache unajianika.Mkubwa akivuliwa nguo huchutama.
Nashangaa mpaka Leo miguu na njia kila siku Ikulu bado hamjatisheka??Mnatafuta nini tena Ikulu??Au ukuu wa mkoa???
Ni aibu hata kusema.
Lisu, Mbowe, mnyika nilishawasikia kwa miaka kumi wakituonya watz tusichague lowasa kuwa ni fisadi amefilisi nchi na anasitahili kuwa jela.

Kwa hiyo watz tuliompigia kura Magufuli tulifuata ushauri wao.
 
Elim yako ww ni ya kuunga Inga maana huna ulijualo!,hv lowassa ndan ya ccm afukuzwa au alijitoa baada ya kuona ccm haifai?
Lowassa kama aliona CCM haifai kwa nini alitaka kugombania kwa ticketi ya CCM? alijaribu kununua urais akiwa CCM hakashindwa hakahamua kwenda upinzani ili agombania urais. Jiulize kama lowassa angepewa ticketi ya kugombania Urais CCM angekataa?
 
hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
NI CHAMA KIKUU CHA UPINZANI TANZANIA UTAKI ACHA
 
Nyie Chama Cha Machotara, CCM, acheni kuzuga wananchi tunataka kujua machotara wakizenzibari ni akina nani
 
Back
Top Bottom