bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,737
- 10,364
Kiukweli Nina wasiwasi na elimu yako
Unaweza kukuta ni mkuu wa mkoa huyo...
Si nilisikia viroba vimepigwa marufuku.
Dah.... Halafu wakiitwa maGT utaona na hawa wanajitokezaDah!! Kweli JF ya sasa sio kama ya zamani, yaani siku hizi vichwa vya panzi wamejazana sana humu, na ndio wanaongoza kwa kuleta thread za kijinga kama hizi. Lazima Mods mfanye kitu ili huu ujinga usiendelee.

Mwinyi BashiteUnaweza kukuta ni mkuu wa mkoa huyo...
Maajabu zaidi ni pale na wewe utakapojitokeza...Dah.... Halafu wakiitwa maGT utaona na hawa wanajitokeza![]()
![]()
Wewe ni Ke au Mme?Dah.... Halafu wakiitwa maGT utaona na hawa wanajitokeza![]()
![]()
Kwa akili yako ya masters unadhani what the point there??Hakikisha kwanza kama elimu yako iko sawa, kabla hujamhujumu mleta mada.
Hii ni forum huru , mleta mada kaleta maoni yake na si habari ya kilichotokea, wajibu wako sio kudhalilisha, bali unaweza kuyapinga maono yake kwa hoja zenye busara na sio dhehaka.
Lets be civilised
Dah... Point yako ni nini?Wewe ni Ke au Mme?
Na upo kidato cha ngapi