CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

baada ya uchambuzi wa kina sana , nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamBA HUU NDIYO UZI WA KIJINGA ZAIDI kuwahi kuwemo kwenye jukwaa hili ! NAANZA KUPATA PICHA YA BAADHI YA WENYE AKILI KUADIMIKA KWENYE JUKWAA HILI .
 
Badala ya kupambana na CCM wao wanapambana na WAISLAM hicho kimewaponza pia bila kusahau ukabila wao,lakin nafasi bado wanayo wajirekebishe tuh
 

hata mbuyu ulianza kama mchicha hata ww ulizaliwa uchi kisha leo unavaa nguo na kujiona wa maana, ni swala la muda tu wao wametimiza wajibu wao kama jaji warioba kazi ni kwa wananchi kuamua
 
CHADEMA inawanyima usingizi kwa nn sio CUF ,NCCR ,ACT? CHADEMA ina nguvu na itaendelea kuwa na nguvu 50yrs ahead
 
hoja ipi mkuu??hadi uharo unasema hoja???
katika vitu vinafanya wasomi kuona ccm ni hakuna ni pamoja na madafu kama haya
Soma tena content za mada then jenga hoja. Matusi yatazidi kuififisha chadema
 
content haina message bro,,ni utumbo ni ndo umeandika bro
Uzito wa mada hii umezidi uwezo wa akili yako ndio mana. Nashauri tusikurupuke kuchangia kama huna la maana la kuandika
 

Na wewe ni maiti umaiti wako watakwambia wanaokufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…