Wacha Bhwanah. Huu ulikuwa ni utabiri? So far so good.Kuna huu utabiri uliwahi kutolewa na Sheikh maarufu sana Sheikh Yahaya . kwa jinsi mambo yanavyokwenda sasa ni wazi unaenda kutimia kwa asilimia 1000.. Si vema CCM ikaendelea kushindana na wakatiView attachment 3186725
Tatizo lako ndio hilo unahangaika na CCM badala kutafuta mbinu kuokoa saccos yenu inayoteketea ki zembe mnooo .. mnoooo haijawahi Tokea . Okoa Chadema achana na chama dume.Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!
Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions
Ni kama vile CHADEMA ndio chama tawala.. Ufu wa CCM unajulikana kwenye matukio kama haya.. Hakuna habari yoyote ya CCM imepewa kipaumbele kuanzia kule Arusha kwa bashite, mikes ha ya Tanganyika packers mpaka Yutong la KAZI IENDELEE
Mijadala ya CHADEMA mitandaoni kwa mwezi December pekee vinaweza kuizidi kwa mbali mno mijadala yote ya CCM kwa maana mzima
Ni wazi sasa na ni dhahiri shayiri kwamba CHADEMA is unstoppable.. Kuzidi kukifanyia figisu hiki chama ni sawa na kumpiga chura teke!
Spidi iliyonayo CHADEMA kwasasa sijui CCM itafanya mbinu gani kuweza kuipiku.. Maana hata hivyo hakuna cha kuandika kuihusu
Makada wake wote mitandaoni wameweka kambi CHADEMA wakizusha kila aina ya uongo, kuandika majungu NA ETI kuishauri CHADEMA ama viongozi wakeπππ
Trending hii ya CHADEMA itaendelea kuchanja mbuga mpaka uchaguzi mkuu ikiiacha CCM mbali kabisa ulimi nje! Miguu kama imebemendwa..
Kwenye hizi mbio CHADEMA ni mapafu ya umbwa..ccm ni mapafu ya nani hii..πππΏππΏππΏView attachment 3186716
CCM anaokolewa na policcm tu kwa kuwatoa ndani mawakala wa upinzani ili wadumbukize makura yao fekiTatizo lako ndio hilo unahangaika na CCM badala kutafuta mbinu kuokoa saccos yenu inayoteketea ki zembe mnooo .. mnoooo haijawahi Tokea . Okoa Chadema achana na chama dume.
Tuliza medulla kwanza amka piga mswaki nawa uso pata staftahi kisha ndio uingie JFTatizo lako ndio hilo unahangaika na CCM badala kutafuta mbinu kuokoa saccos yenu inayoteketea ki zembe mnooo .. mnoooo haijawahi Tokea . Okoa Chadema achana na chama dume.
DuhKuna huu utabiri uliwahi kutolewa na Sheikh maarufu sana Sheikh Yahaya . kwa jinsi mambo yanavyokwenda sasa ni wazi unaenda kutimia kwa asilimia 1000.. Si vema CCM ikaendelea kushindana na wakatiView attachment 3186725
Hizo ni figisu za CCM na zinajulikana wazi ndio maana Watanganyika hawababaiki nazo wala kuzishobokeaMatusi na kudharauliana chadema kwa chadema kudharauliwa kwa mawakili wa mchongo kudharauliwa wanaharakati wa mchongo kudharauliwa mgombea uraisi wa mchongo 2020 ambaye ni mgombea uwenyekiti wa mchongo kifupi kuwavua nguo viongozi eti mtu anashusha uzi ndio trending inashangaza kidogo halafu mengi yaandikwayo hayana maana mtu anaeleza upuuzi mwingi kama yeye hiyo ndani ya miaka 20 hakuwa kiongozi!
Na ukiangalia washusha uzi ni wafuasi wa mchongo wa chadema watupu wanaopopoana kuanzia jf mpaka X CCM wana wasolola tu mkimalizana mkiwa hoi bin taabani CCM wanachukua wanaweka waaaaa!Hizo ni figisu za CCM na zinajulikana wazi ndio maana Watanganyika hawababaiki nazo wala kuzishobokea
Wazee 3asilimia kwenye ubora wenuNi wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!
Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama vile CHADEMA ndio chama tawala.
Ufu wa CCM unajulikana kwenye matukio kama haya. Hakuna habari yoyote ya CCM imepewa kipaumbele kuanzia kule Arusha kwa bashite, mikes ha ya Tanganyika packers mpaka Yutong la KAZI IENDELEE.
Mijadala ya CHADEMA mitandaoni kwa mwezi December pekee vinaweza kuizidi kwa mbali mno mijadala yote ya CCM kwa maana mzima.
Ni wazi sasa na ni dhahiri shayiri kwamba CHADEMA is unstoppable.. Kuzidi kukifanyia figisu hiki chama ni sawa na kumpiga chura teke!
Spidi iliyonayo CHADEMA kwasasa sijui CCM itafanya mbinu gani kuweza kuipiku maana hata hivyo hakuna cha kuandika kuihusu
Makada wake wote mitandaoni wameweka kambi CHADEMA wakizusha kila aina ya uongo, kuandika majungu NA ETI kuishauri CHADEMA ama viongozi wakeππ
Trending hii ya CHADEMA itaendelea kuchanja mbuga mpaka uchaguzi mkuu ikiiacha CCM mbali kabisa ulimi nje! Miguu kama imebemendwa.
Kwenye hizi mbio CHADEMA ni mapafu ya umbwa. CCM ni mapafu ya nani hii.πππΏππΏππΏ
View attachment 3186716
Hivi vipichavyako vinatishaNi wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!
Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama vile CHADEMA ndio chama tawala.
Ufu wa CCM unajulikana kwenye matukio kama haya. Hakuna habari yoyote ya CCM imepewa kipaumbele kuanzia kule Arusha kwa bashite, mikes ha ya Tanganyika packers mpaka Yutong la KAZI IENDELEE.
Mijadala ya CHADEMA mitandaoni kwa mwezi December pekee vinaweza kuizidi kwa mbali mno mijadala yote ya CCM kwa maana mzima.
Ni wazi sasa na ni dhahiri shayiri kwamba CHADEMA is unstoppable.. Kuzidi kukifanyia figisu hiki chama ni sawa na kumpiga chura teke!
Spidi iliyonayo CHADEMA kwasasa sijui CCM itafanya mbinu gani kuweza kuipiku maana hata hivyo hakuna cha kuandika kuihusu
Makada wake wote mitandaoni wameweka kambi CHADEMA wakizusha kila aina ya uongo, kuandika majungu NA ETI kuishauri CHADEMA ama viongozi wakeππ
Trending hii ya CHADEMA itaendelea kuchanja mbuga mpaka uchaguzi mkuu ikiiacha CCM mbali kabisa ulimi nje! Miguu kama imebemendwa.
Kwenye hizi mbio CHADEMA ni mapafu ya umbwa. CCM ni mapafu ya nani hii.πππΏππΏππΏ
View attachment 3186716
TrueHakika habari ya chadema for last two months zimekuwa ndiyo trending.
Ndio maana naamini awe Lissu ama Mbowe chadema haiwezi kuteteleka. Hiki chama watu wanakichukulia poa ila hakika kimeshakuwa na wanachama wengi na mashabiki lukuki.
Ni kama CCM tu, hata leo Samia ahame CCM itabakia imara na itasonga mbele.
Haya mambo yanaleta afya kwa ustawi wa taifa letu.
Kwa taarifa yako Chadema inakwenda kuzaliwa upyaaa,hata dhahabu lazima ipitishwe kwenye moto mkali ili iwe safi. Tunakwenda kuondoa hilo duka lenu.Tatizo lako ndio hilo unahangaika na CCM badala kutafuta mbinu kuokoa saccos yenu inayoteketea ki zembe mnooo .. mnoooo haijawahi Tokea . Okoa Chadema achana na chama dume.