Nakushauri nenda kakojoe ukalale
Ni vema kujifariji pindi unapojikuta kila mtu anakukataa.Inavyo onekana ccm imeamua kutekwa na wanachama wa chadema bila wana ccm wenyewe kujua kinacho endelea.
CCM kwa Mara ya kwanza imekosa wanachama genuine , wenye sifa za kiuongozi, imeamua kununua na kuwatangaza kwenye vikao vya juu vya chama, yamkini moja na agenda za vikao vya juu ni usajiri ..
Kinacho tokea ccm kimekua chama cha kugawa vyeo badala ya kupanga mikakati ya kuisimamia serikali ..
Tofauti ya chadema na ccm inabaki kuwa chadema ni sehemu ya kugawana majukumu na ccm ni club ya kugawana vyeo ( hongo).
Sasa vijana wa ccm jiandaeni, chama kimetekwa , mliokuwa mnasubiri kupata vyeo, mtavisikia wakikabidhiwa bavicha.
Chama kimepotea,
INA maana vijana wa ccm wote makapi, kwanini mtumie fedha kununua vijana wa .chadema. shame..Ni vema kujifariji pindi unapojikuta kila mtu anakukataa.
CDM hamna mtu yoyote yule wa kumlaumu isipokua nyie wenyewe.
Hii ilianza pale tu mliposotea mgomba wenye viwembe 2015. Mmebaki na uchafu wenu na majeraha mmeyapata.
Bado ni chama kikuu cha upinzani na naamini, kukiwa na uongozi bora, mtarudia hadhi yenu ya pale awali.
Tunahitaji upinzani mkali ili tuendelee kama nchi. Mlifikia kiwango hicho lakini mnajua wenyewe kilichowaporomosha.
Fanyeni maamuzi magumu ndani ya chama ili kugeuza muelekeo wake. Badilisheni gia mkiwa aridhini (sio angani). Wekeni rivasi mrudi kwenye ule uelekeo uliopendwa na wengi.
Ushauri wa bure huo.
ccm mmeishiwa,Sindano itapenyaje kwenye jiwe mzee
Hakuna anaenunuliwa na CCM. Utitiri wa viongozi na wanachama wa CDM wanapigana vikumbo kuomba kujiunga na CCM.INA maana vijana wa ccm wote makapi, kwanini mtumie fedha kununua vijana wa .chadema. shame..
Nakushauri nenda kakojoe ukalale
huyu atafute tu malimao ya Gwajima.Sindano imepenya barabara
Mkuu unapenda propaganda uchwara sana,ili mradi tu na wewe uandike hata kama ni utumbo?Inavyoonekana CCM imeamua kutekwa na wanachama wa CHADEMA bila wana CCM wenyewe kujua kinacho endelea.
CCM kwa mara ya kwanza imekosa wanachama genuine , wenye sifa za kiuongozi, imeamua kununua na kuwatangaza kwenye vikao vya juu vya chama, yamkini moja na agenda za vikao vya juu ni usajili ..
Kinacho tokea CCM kimekua chama cha kugawa vyeo badala ya kupanga mikakati ya kuisimamia serikali.
Tofauti ya CHADEMA na CCM inabaki kuwa CHADEMA ni sehemu ya kugawana majukumu na CCM ni club ya kugawana vyeo ( hongo).
Sasa vijana wa CCM jiandaeni, chama kimetekwa , mliokuwa mnasubiri kupata vyeo, mtavisikia wakikabidhiwa BAVICHA.
Chama kimepotea,
Inavyoonekana CCM imeamua kutekwa na wanachama wa CHADEMA bila wana CCM wenyewe kujua kinacho endelea.
CCM kwa mara ya kwanza imekosa wanachama genuine , wenye sifa za kiuongozi, imeamua kununua na kuwatangaza kwenye vikao vya juu vya chama, yamkini moja na agenda za vikao vya juu ni usajili ..
Kinacho tokea CCM kimekua chama cha kugawa vyeo badala ya kupanga mikakati ya kuisimamia serikali.
Tofauti ya CHADEMA na CCM inabaki kuwa CHADEMA ni sehemu ya kugawana majukumu na CCM ni club ya kugawana vyeo ( hongo).
Sasa vijana wa CCM jiandaeni, chama kimetekwa , mliokuwa mnasubiri kupata vyeo, mtavisikia wakikabidhiwa BAVICHA.
Chama kimepotea,
huna lolote, ccm mnakufa, hali ni mbaya, niambie nani hamja mnunua. tena kuna wengine mmewalagai, Mungu awasamehe.Hakuna anaenunuliwa na CCM. Utitiri wa viongozi na wanachama wa CDM wanapigana vikumbo kuomba kujiunga na CCM.
Kuzuri hujiuza mkuu wakati kibaya chajitembeza.
CDM iliwanunua Lowassa, Sumaye, Kingunge, Nyalandu, nk. (wote wakiwa makapi ya CCM) kwa bei gani?huna lolote, ccm mnakufa, hali ni mbaya, niambie nani hamja mnunua. tena kuna wengine mmewalagai, Mungu awasamehe.