CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!

Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.

hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.

Inaelekea ubongo wako uko kwenye magoti then synovial fluid kwa kichwa. Wenzio hakuna mwaka wanaumiza kichwa kama huu wewe unasema CDM imezoofu yani kusoma hujui na wala picha huoni hewa kabisa wewe
 
Kama ubongo wangu uko kwenye magoti ina maana ni mdogo sana...na kama ni mdogo ina maana umejikunja sana ..na kuna fact moja muhimu kuhusu ubongo nayo ni kadri unavyokuwa mdogo na kujikunja zaidi ndivyo unavyoweza kuonesha ufanisi.

Usinidiscuss mimi mkuu...discuss nilichokileta.

Usifanye ushabiki wa kitoto.
 
Shangilia maana CCM imekomaa na tayari imeshaleta "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" hata wewe naona umeshaukata unaishi kwenye uchumi wa kati

Maisha bora kila mtu anajitafutia wewe lala kama pono amka ingia fb twitter insta then subiri serikali ikuletee maisha bora
 
Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!

Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.

hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.

Tehehehe, mkuuu!!
Yani wewe ndio wakuleta Uzi wa namna hii. Kweli "kitengo" kineyumba
 
Acha kuogopa kwa vitu usivyovijua. Mfano upo chumbani umelala na taa kisha umeme ukakatika kisha ukaanza kuogopa giza wakati na taa ulikuwa huogopi!
Naogopa vile ninavyovijua!!

Naogopa na kuchukia pia
 
Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!

Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.

hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.

hii post imekudhalilisha sana mkuu....amini nakuambia
 
Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!

Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.

hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.

wewe kura yako ni moja haina hasara mimi ntaifidia october
 
Nimeyajua mabadiliko nikayaishi mabadiliko ,nikafanya mabadiliko ,nikayaadvertise mabadiliko na kuyasimamia mabadiliko kabla yako.kaa kimya

Lugha ya mabadiriko hiyo kweli umebadirika
 
Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!

Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.

hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.

Jackbauer, pesa ni mwanaharamu. Mbowe alijua kuwa katika maisha yake yote, Chadema isingeweza kuutwaa urais. Hivyo akaamua kuuza hicho kiti cha ugombea walau apate pesa.
Isitoshe chadema hakikuwa hata na senti moja ya kampeni, na Lowassa aliahidi kulipia gharama.
Hawa wanaokubeza humu ni vishabiki njaa tu vya mtaani hata Mbowe havijui na wala havina kura yeyote vinajipa moyo tu kwa kutunga vi post njaa na kujaza server
 
Kutafakari na kubuni njia mpya ya mabadiliko!

Unaonaje mabadiliko ukiyaanza mwenyewe? Yani unategemea wenzio waanzishe halafu wewe udandie tu hayo mabadiliko? Do something bwana n siyo kulalamikia waliothubutu hata kuyaanzisha hayo mabadiliko ilhali wewe upo kwenye key board ukilalamika "CDM kudhoofika"
 
ccm ndo imekonda kabisa. inategemea mbinu za kuiba kura na kubebwa na vyombo vya dola tu...
 
Back
Top Bottom