CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!

Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.

hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.
 
Vipi kuhusu Juliana Shonza na Mtela Mwampamba?
 
Shangilia maana CCM imekomaa na tayari imeshaleta "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" hata wewe naona umeshaukata unaishi kwenye uchumi wa kati

Ccm haijasatsfy mahitaji yetu lakini Chadema imetumika kuua harakati muhimu kwenye muda muhimu...sijui ni shetani gani aliyewakumba
 
Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!

Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.

hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.
Upo nchi gani mkuu? Huitaji tochi kujua saizi CCM wanahali mbaya. Labda kama una hoja nyingine zaidi ya Lowasa.
 
Mkuu nimeumizwa sana na mwenendo wa Chadema hapa mwishoni kiasi cha kuiacha ccm ichukue kilaini huku Chadema ikiporomoshwa kwa kasi.
 
Pole mkuu kwa kuumizwa lakini hujafanya utafiti wa kutosha kama CDM imeshuka au bado iko vile vile. Watu bado wana imani na UKAWA au CDM ambavyo imepewa dhamana ya kupeperusha bendera ya UKAWA.
 
Mkuu bado kuna mabaya yanakuja ambayo yanatufanya tujitetee badala ya kushambulia
 
Ukawa ni moja ya setbacks za Chadema
 
Mkuu tumedanganywa na hizi tafiti sana...

kwa sasa tupo kwenye defensive side haijawahi tokea na ina-bore

Kwani unapo defense si unatumia hoja? Hoja zao zina mashiko au bado hujazielwlewa? Nadhani kuna haja ya kuachana na ushabiki.
 
Back
Top Bottom