PreGE2025 CHADEMA imeazimia kutofuata maagizo ya Msajili wa vyama vya siasa. No reforms No election kuchanja mbuga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483

View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.

Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.

===

Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.

Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.

Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.

Pia soma
 
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.

Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.

Heche na Chadema yake wanapaswa wawe na utamaduni wa kuja na maazimio magumu
 
Wewe unafikiri uamuzi wa kuja na ajenda na movement ya NO REFORMS NO ELECTION ni rahisi..?

Ni uamuzi mgumu na ndo unazaa yote haya unayoyaona yanatokea sasa hata mwenyekiti kuwa gerezani kwa kesi ya uhaini; watu kutekwa na kupotezwa, vurugu na misuguano huko CCM mpaka kina Josephat Gwajima kutoka na kusema...

Kaka, tuko vizuri mno. Tunaelekea kuzuri...
 
Gwaji boy ameonesha uzalendo wa hali ya juu kwa nchi yake ila inabidi akae kwa password...CCM ni chama cha mafisi.
Ukileta mauzauza kwenye mzoga wao hawakawii kupita na wewe.
 
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.

Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.

===

Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.

CHADEMA na ubaguzi ni ndugu wa damu. Anyway, haohao wasomi anaowatolea tamko wawapigie kura. Kuna watu wengi hawana elimu kubwa na hawajui kiingereza watasomaje hivyo vitabu? Wengine uchumi hauruhusu hivyo hawawezi kununua hivyo vitabu. Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Hao mnaowaona wajinga na kuwabagua ndo huwa waaminifu mno kwenye kupiga kura. Wahadzabe wa kule Ziwa Eyasi wanapataje hivyo vitabu?
 
Duuh
 
Back
Top Bottom