Moja kati ya Majukumu ya Chama kinachopewa ridhaa na wananchi ya kutawala ni Kukusanya kodi na Kusimamia raslimali ( watu na vitu) na kuhakikisha kwamba kodi zinazokusanywa na raslimali hizo zinatumika katika kumletea maendeleo yule aliyetoa dhamana ya uongozi ( yaani mwananchi), kwamba kodi na raslimali hizo zitumike katika kuboresha huduma za Kijamiii ( Kama Afya, Elimu, Maji nk) kiuchumi na kisiasa vilevile. Sasa tangia Uhuru haya Majukumu watanzania wamekuwa wakiwakabidhi CCM
Sasa moja kati ya Majukumu ya vyama vilivyo nje ya Serikali ( CUF, TLP, CHADEMA) ni kuhakikisha kuhakikisha kwamba Serikali iliyo madarakani inatumia kodi na raslimali itakikanavyo ( Ingawa hii ni kazi ya Bunge lakini vyama vilivyo nje serikali vinawajibika kwalo). Vile vile ni wajibu kwa Vyama hivyo kuonyesha Uongozi Mbadala pale vinapopata Fursa sasa ni vyema tukaangalia katika yale maeneo ambapo vyama hivi vimepata fursa ya kuongoza vimefanya nini tofauti ya CCM ( in apositive way?
Tuipime CHADEMA kwa halmashauri ilizofanikiwa kuongoza na tuipime CUF kwa halmashauri ilizopata fursa kuziongoza, tufanye hivyo pasipo kuegemea misimamo yetu ya kivyama
Asante
Kama nilivyouliza huko nyuma ni mambo gani Chadema wamefanya kustahili kuongoza leo naomba nidokeza swali hili ambalo ni muhimu.
Tunasukumiziwa katika makoo yetu chama kimoja tu kuwa ndicho pekee chafaa kuungwa mkono katika kuiangusha CCM. Tunaambiwa vyama vingine viungane nacho kwa sababu kimeonesha uongozi na kuwa ndiyo "upinzani" wa kweli. Wapo watu wanaoamini kabisa jambo hili. Wanaamini kuwa CHADEMA ndicho chama hasa mbadala kinachoweza kuchukua uongozi wa taifa letu toka mikononi mwa CCM.

Je Chadema ilivyo sasa iko tayari kuongoza taifa la watu milioni 40 kwa ubora na kwa maono bora zaidi na mfano mzuri wa kiuongozi katika ngazi zote kuliko CCM? Ni nini msingi wa imani ya wale wanaoona kuwa iko tayari?
Mwenyewe ni na maoni yangu.. naomba nisikie ya kwenu.
Ukiwa makini utaona swali linahusu Chadema na utayari wao kuongoza.. nje ya hapo ni red herring.
CHADEMA wamefanya mengi kuliko CCM kwa nafasi yao..Tunasukumiziwa katika makoo yetu chama kimoja tu kuwa ndicho pekee chafaa kuungwa mkono katika kuiangusha CCM. Tunaambiwa vyama vingine viungane nacho kwa sababu kimeonesha uongozi na kuwa ndiyo "upinzani" wa kweli. Wapo watu wanaoamini kabisa jambo hili. Wanaamini kuwa CHADEMA ndicho chama hasa mbadala kinachoweza kuchukua uongozi wa taifa letu toka mikononi mwa CCM.
Kama nilivyouliza huko nyuma ni mambo gani Chadema wamefanya kustahili kuongoza leo naomba nidokeza swali hili ambalo ni muhimu.
Je Chadema ilivyo sasa iko tayari kuongoza taifa la watu milioni 40 kwa ubora na kwa maono bora zaidi na mfano mzuri wa kiuongozi katika ngazi zote kuliko CCM? Ni nini msingi wa imani ya wale wanaoona kuwa iko tayari?
Mwenyewe ni na maoni yangu.. naomba nisikie ya kwenu.
Ukiwa makini utaona swali linahusu Chadema na utayari wao kuongoza.. nje ya hapo ni red herring.
Kuondoa aina ya utawala/uongozi uliopo si kuchomoa na kuchomeka just like that. Ni mchakato.Tunasukumiziwa katika makoo yetu chama kimoja tu kuwa ndicho pekee chafaa kuungwa mkono katika kuiangusha CCM. Tunaambiwa vyama vingine viungane nacho kwa sababu kimeonesha uongozi na kuwa ndiyo "upinzani" wa kweli. Wapo watu wanaoamini kabisa jambo hili. Wanaamini kuwa CHADEMA ndicho chama hasa mbadala kinachoweza kuchukua uongozi wa taifa letu toka mikononi mwa CCM.
Kama nilivyouliza huko nyuma ni mambo gani Chadema wamefanya kustahili kuongoza leo naomba nidokeza swali hili ambalo ni muhimu.
Je Chadema ilivyo sasa iko tayari kuongoza taifa la watu milioni 40 kwa ubora na kwa maono bora zaidi na mfano mzuri wa kiuongozi katika ngazi zote kuliko CCM? Ni nini msingi wa imani ya wale wanaoona kuwa iko tayari?
Mwenyewe ni na maoni yangu.. naomba nisikie ya kwenu.
Ukiwa makini utaona swali linahusu Chadema na utayari wao kuongoza.. nje ya hapo ni red herring.
Moja kati ya Majukumu ya Chama kinachopewa ridhaa na wananchi ya kutawala ni Kukusanya kodi na Kusimamia raslimali ( watu na vitu) na kuhakikisha kwamba kodi zinazokusanywa na raslimali hizo zinatumika katika kumletea maendeleo yule aliyetoa dhamana ya uongozi ( yaani mwananchi), kwamba kodi na raslimali hizo zitumike katika kuboresha huduma za Kijamiii ( Kama Afya, Elimu, Maji nk) kiuchumi na kisiasa vilevile. Sasa tangia Uhuru haya Majukumu watanzania wamekuwa wakiwakabidhi CCM
Sasa moja kati ya Majukumu ya vyama vilivyo nje ya Serikali ( CUF, TLP, CHADEMA) ni kuhakikisha kuhakikisha kwamba Serikali iliyo madarakani inatumia kodi na raslimali itakikanavyo ( Ingawa hii ni kazi ya Bunge lakini vyama vilivyo nje serikali vinawajibika kwalo). Vile vile ni wajibu kwa Vyama hivyo kuonyesha Uongozi Mbadala pale vinapopata Fursa sasa ni vyema tukaangalia katika yale maeneo ambapo vyama hivi vimepata fursa ya kuongoza vimefanya nini tofauti ya CCM ( in apositive way?
Tuipime CHADEMA kwa halmashauri ilizofanikiwa kuongoza na tuipime CUF kwa halmashauri ilizopata fursa kuziongoza, tufanye hivyo pasipo kuegemea misimamo yetu ya kivyama
Tunasukumiziwa katika makoo yetu chama kimoja tu kuwa ndicho pekee chafaa kuungwa mkono katika kuiangusha CCM. Tunaambiwa vyama vingine viungane nacho kwa sababu kimeonesha uongozi na kuwa ndiyo "upinzani" wa kweli. Wapo watu wanaoamini kabisa jambo hili. Wanaamini kuwa CHADEMA ndicho chama hasa mbadala kinachoweza kuchukua uongozi wa taifa letu toka mikononi mwa CCM.
Kama nilivyouliza huko nyuma ni mambo gani Chadema wamefanya kustahili kuongoza leo naomba nidokeza swali hili ambalo ni muhimu.
Je Chadema ilivyo sasa iko tayari kuongoza taifa la watu milioni 40 kwa ubora na kwa maono bora zaidi na mfano mzuri wa kiuongozi katika ngazi zote kuliko CCM? Ni nini msingi wa imani ya wale wanaoona kuwa iko tayari?
Mwenyewe ni na maoni yangu.. naomba nisikie ya kwenu.
Ukiwa makini utaona swali linahusu Chadema na utayari wao kuongoza.. nje ya hapo ni red herring.
Ugonjwa uliowapata NCCR-M mwaka 1995 kuwa wanaweza peke yao ndio huo huo uliowapata CUF mwaka 2000 mpaka mwaka 2005 na CHADEMA is vulnerable to that mwaka 2010. Hata hivyo, coalition ya Watanzania kwenye CHADEMA, CUF, NCCR-M nk na sasa hawa waliopo CCJ na hata watu safi waliopo CCM tunaweza kuivusha nchi katika mpito
.
Kabengwe nakubaliana nawe. Chadema kama chama chochote ni lazima kipimwe kwa uwezo wao wakipata nafasi ama bungeni au kwenye halmashauri zao hadi sasa. Sasa ni wazi kuwa kwenye siasa za kitaifa Slaa na Kabwe wamejitahidi kuelimisha umma na kulitumikia bunge kwa ujasiri.Vipimo tunavyoweza kutumia kuwapima CHADEMA ni kupitia viongozi wao tuliowachagua kuwa Wabunge wetu au madiwani wetu, pamoja na utekelezaji wa sera zake. Kwenye ishu ya ukabila sipo kabisa.
Sina data sana ila nadhani Dr. Slaa amefanya vizuri sana kwenye jimbo lake na amekuwa kiongozi mzuri sana kwenye kamati ya Bunge aliyomo. Ukimwangalia Zitto Kabwe nae kuna mambo mengi sana mazuri amewafanyia wananchi wa jimboni kwake, na amesaidia sana kwenye kamati ya madini (though at some point nilitofautiana nae kimtazamo). Halima Mdee nae amehangaika sana na kuwasaidia kina mama, watoto na vijana.
Ila nadhani bado wahitaji watu zaidi kuweza kuiongoza serikali, maana ukiangalia watendaji wazuri tunaowajua toka CHADEMA sidhani kama wanazidi kumi. Na hapo ndio umuhimu wa kuungana na vyama vingine vya upinzani unapokuja. Ila suala la kuungana linahitaji kukaa chini na kuanza kuangalia mwisho utakuaje tukishaunga - kimadaraka, kimtazamo(ilani), uteuzi wa wagombea, jinsi ya kuiongoza serikali etc.
All in all nna imani kiutendaji CHADEMA wanaweza kufanya mambo mazuri, ila angalizo langu nikuwa, sio lazima mtendaji mzuri kuwa kiongozi mzuri.
Hilo halina ubishi,ni ukweli usiofichika,watu makini kama Dr. Slaa wanauwezo mkubwa kuongoza nchi.Kwa hakika CHADEMA inaweza na ipo tayari kuongoza.
Sikubaliani na wewe katika hilo,CCM ina watu safi,lakin je usafi wao unatusaidia nini hadi sasa,ni mambo mangapi mazuri kwa muhtasari wa taifa letu CHADEMA wameyaanzisha na CCM wameyapinga na kutaka kuyapeleka mahakamni...reffer Speaker Siita nd Documents za Dr. Slaa ambazo leo tunashuhudia kesi za kuzugia za kina Liyumbana hata watu safi waliopo CCM tunaweza kuivusha nchi katika mpito.
Who knows that,inawezekana kweli wamehujumiwa..reffer to kauli za Tendwa na Viongozi wa CCM against CCJ,but time will tell.Kama CCJ walikuwa wanadhani watafanya peke yao inawezekana ndio changamoto wapatazo sasa. Nimeshtuka kweli kusoma mwananchi kuhusu uhakiki wa CCJ ambapo hata 'viongozi wao' wanatishia mashaka umakini wao kwa kukosea vitu vya kawaida kabisa. Kama kawaida wanakimbilia kusema CCM imewahujumu. Tatizo lile la kila siku la vyama vyetu kutoangalia changamoto za ndani na kukimbilia kulaumu (actually ni tatizo la watanzania wengi sana kutafuta 'mbuzi wa kafara'.
Una maanisha CHADEMA kuungana na vyama vingine katika uchaguzi?Nina imani kubwa kabisa kuwa CHADEMA kwa kushirikiana na vyama vingine wanaweza kushika, kuongoza na kuendeleza Dola yetu.
Tunasukumiziwa katika makoo yetu chama kimoja tu kuwa ndicho pekee chafaa kuungwa mkono katika kuiangusha CCM. Tunaambiwa vyama vingine viungane nacho kwa sababu kimeonesha uongozi na kuwa ndiyo "upinzani" wa kweli. Wapo watu wanaoamini kabisa jambo hili. Wanaamini kuwa CHADEMA ndicho chama hasa mbadala kinachoweza kuchukua uongozi wa taifa letu toka mikononi mwa CCM.
Kama nilivyouliza huko nyuma ni mambo gani Chadema wamefanya kustahili kuongoza leo naomba nidokeza swali hili ambalo ni muhimu.
Je Chadema ilivyo sasa iko tayari kuongoza taifa la watu milioni 40 kwa ubora na kwa maono bora zaidi na mfano mzuri wa kiuongozi katika ngazi zote kuliko CCM? Ni nini msingi wa imani ya wale wanaoona kuwa iko tayari?
Mwenyewe ni na maoni yangu.. naomba nisikie ya kwenu.
Ukiwa makini utaona swali linahusu Chadema na utayari wao kuongoza.. nje ya hapo ni red herring.
Una maanisha CHADEMA kuungana na vyama vingine katika uchaguzi?
Kwa hakika CHADEMA inaweza na ipo tayari kuongoza. Kwa vyovyote vile haitakuwa CHADEMA peke yake na wala hakuna chama cha upinzani peke yake kinaweza kuleta mabadiliko katika Taifa letu na kuongoza DOLA bila mashaka. CHADEMA lazima ishirikiane na vyama vingine vya siasa, vikundi vya kijamii vinavyodai mabadiliko katika Taifa letu na watu wengine mmoja mmoja ambao wana maono ya nini Taifa linataka.
Kwa vyovyote vile CHADEMA inaihitaji sana CUF katika kuhakikisha tunashika dola vizuri. najua kuna watu watasema mbona tuliweza wenyewe Biharamulo na Busanda au hata Tarime. Mazingira ya by election ni tofauti sana na mazingira ya Uchaguzi Mkuu na ndio maana CUF waliweza pia peke yao TUNDURU. Sote tukafanya kinyume na matarajio Kiteto na Mbeya Vijijini.
Ugonjwa uliowapata NCCR-M mwaka 1995 kuwa wanaweza peke yao ndio huo huo uliowapata CUF mwaka 2000 mpaka mwaka 2005 na CHADEMA is vulnerable to that mwaka 2010. Hata hivyo, coalition ya Watanzania kwenye CHADEMA, CUF, NCCR-M nk na sasa hawa waliopo CCJ na hata watu safi waliopo CCM tunaweza kuivusha nchi katika mpito.
Kwa vyovyote vile ushindi wowote ule tutakaoupata kama opposition lazima uwe ni wa kulipitisha Taifa katika mpito ili kufanya mabadiliko makubwa ya mfumo wetu wa utawala na uongozi wa nchi. Mabadiliko ambayo hayatateteresha dola letu na hata Muungano wetu.
Kama CCJ walikuwa wanadhani watafanya peke yao inawezekana ndio changamoto wapatazo sasa. Nimeshtuka kweli kusoma mwananchi kuhusu uhakiki wa CCJ ambapo hata 'viongozi wao' wanatishia mashaka umakini wao kwa kukosea vitu vya kawaida kabisa. Kama kawaida wanakimbilia kusema CCM imewahujumu. Tatizo lile la kila siku la vyama vyetu kutoangalia changamoto za ndani na kukimbilia kulaumu (actually ni tatizo la watanzania wengi sana kutafuta 'mbuzi wa kafara'.
Nina imani kubwa kabisa kuwa CHADEMA kwa kushirikiana na vyama vingine wanaweza kushika, kuongoza na kuendeleza Dola yetu.