CHADEMA Iko Imara-Lwakatare

CHADEMA Iko Imara-Lwakatare

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Wilfred Lwakatare amesema chama chake kimezidi kuwa imara baada ya kuchukua hatua ya kuwafukuza wasaliti mara moja walipobainika.

Kiongozi huyo anayeongoza Idara nyeti ya Kurugenzi ya Ulinzi na usalama ndani ya chama amesema Idara yake ya usalama iko makini sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote.

Ammesema wako Imara kulinda mali za chama na viongozi wake na kupokea maagizo yoyote yatakayoamuliwa na ngazi ya juu.

Lwakatare amesema si jambo la ajabu kufukuza wasaliti wanaokwenda kinyume na taratibu za chama.

Source:Mwananchi.
 
Idara nyeti?
 
It sounds good, ukizingatia idara yako ilivyo ya muhimu ktk chama. Magamba walinza na wewe ukawashinda. Together we can, exclusive traitors. Nashukuru ZZK amesema atakuwa wa mwisho kusaliti na kukihama chama.
 
We molemo slaa amepiga marufuku mbona unamkosea adabu katibu mkuu wako,
Rwakatare kesi yake ya ugaidi imefika wapi.
 
It sounds good, ukizingatia idara yako ilivyo ya muhimu ktk chama. Magamba walinza na wewe ukawashinda. Together we can, exclusive traitors. Nashukuru ZZK amesema atakuwa wa mwisho kusaliti na kukihama chama.
Idara yake inaaminika nini wakati msack tu kamshindwa atamweza nani.
 
Owaishe!!! Fukuza wasaliti wote.

Kinachoshangaza owaishe ni Kuwa CCM ndo wanatuhurumia kama chama kitabomoka.

Endelea na kufagia kwani kelele za ccm azizuhii zoleo kuzoa wasaliti na kuwatupa
 
Ni makosa makubwa sana kumsamehe msaliti, believe me mkiwasamehe hao watarudia tu. Shida ya hao wasaliti ni kuchukua madaraka ili waue chama. Jamani natamani hao jamaa wafukuzwe uanachama hata kabla ya siku hizo 14
 
CHADEMA OKSJENI YA SIASA NA UONGOZI
CHADEMA YATOSHA kwa wa mjini tunasema CHADEMA HABARI YA MJINI kwa vijijini CHADEMA HABARI YA SHAMBA hakuna mahali sasa wanaweza sema jambo likanyoka bila kutaja CHADEMA OKSJENI

Hata uzuri na ubora wa katiba wananchi wanatazama CHADEMA OKSJENI YATOSHA
 
Back
Top Bottom