CHADEMA Iko Imara-Lwakatare

CHADEMA Iko Imara-Lwakatare

Marehem chadema, rest in peace
Magamba mnatamani sana iwe hivyo lakini haitatokea na mtahangaika sana kupandikiza mamluki na propaganda chafu zote dhidi ya CHADEMA hamtafanikiwa hata kidogo mtaumbuka milele daima.
 
quote_icon.png
By mshunami

Wee m..----- keli kweli!

najua wengine mnakuja kufanya biashara pole......samvu lako unalirudisha kwenu leo!!
 
Dr. Slaa kaishakataza kujadili.

Ritz Vipi ile SINGLE yako kwamba CDM wamtosa Lwakatale kwenye MSIBA wa baba yake? au nayo haiku hit Top Ten za billboard?!
 
Rais Obama alipoitembela Africa mwaka 2009 kule Ghana alisema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions"

Maamuzi yaliyotolewa ya CC ya CHADEMA ni ya kitaasisi, ZZK anajiona yeye ni muhimu sana kuliko taasisi ndio maana amekuwa yuko kivyake sana na chama.

Nilishasema na nasubiri sana hili litokee kwamba "Nataka nione kuwa CHADEMA inakufa ZZK akiwa nje ya chama sio akiwa ndani, hapo ndipo tutakapoona kuwa ZZK kabwe ndio CDM na CDM ndio ZZK" otherwise hakuna lolote.Huyu jamaa ni mpenda sifa binafsi hataki kufanya kazi kama taasisi ila yeye anataka kufanya kazi kama yeye. Hatuhitaji wanaodhani wao ni strong (ZZK) tunahitaji taasisi zilizoimara!

Kukataa Posho hakutasaidia chochote kama bado mfumo unaruhusu watu kujikusanyia posho (mfumo hovyo wa kitaasisi) hata wasingechukua posho leo hii hakuna msaada wowote kwa MTZ wa kawaida maana mfumo ndio tatizo.

Pia awaeleze Watanzania baada ya kuteuliwa na Rais kuwa mwenyekiti wa tume ya madini amesaidia nini katika sekta hiyo?!! Nothing.. zaidi ya yeye kukaa kimya. Sasa hivi naona anataka kutoa CD mpya ya fedha zilizofichwa Uswisi, anachofanya kiko sawa njia anayotumia kufanya iko kibafsi zaidi!

Natamani sana nisikie ZZK ametimuliwa uanachama then aende huko aendako akaendeleze umahiri wake ulio wa kibinafsi.

Nawasilisha...!!
 
Kabla sijaanza kueleza naomba tufahamu kwamba:HAKUNA KITU KIGUMU KAMA KUBISHANA NA UKWELI.ukijifanya mbishi kwenye ukweli unaweza kuugua ugonjwa wa moyo.SASA HUU NDIO UKWELI WA MAMBO ULIVYO:Chadema ni chama ambacho kimeshajenga mizizi mipana,mikubwa na yenye uwezo wa kuangusha JABALI lolote katika nchi hii.LEO hii wapinzani wa CDM mmeamka wakati chadema kimeshamaliza kazi zamani.MBOWE,SLAAna ZITTO wameshafanya kazi zao ndani ya chama ambazo ndio zimeifikisha hapa CDM,na sasa hivi wanagombania fadhila.Kwa sasahivi chadema hakimuitaji ZITTO,MBOWE wala SLAA ili kijitangaze.CDM wameiteka nchi yote ya TZ mpaka zanzibar sasa nawenyewe wameikubali.Jamani hii yote haijaja hivihivi bali kazi kubwa iliyofanywa na viongozi wa CDM.Chadema ni msingi,hii ndio iliyowakata maini kabisa CCM,baada ya KANDA.Jamani sasa hivi ni WATOTO,WAZEE,na lika tofauti wameichukia CCM.Chama kilipofikia hata MBOWE,SLAA,ZITTO nk.,waame ,chadema bado kitashika dora 2015.Nashangaa kusikia eti CDM INAKUFA.WATU WAMEICHOKA CCM.ukweli unauma.
 
Sawa bwana CHEMICAL ALLY....

Ila next time uandike kwa umakini kidogo kwani kuna uwezekano kuwa yule mwalimu wako wa primary ana anaweza akapita humu na kusoma post yako.
 
Ndg wana jf,najitokeza kwa mara nyingine tena kueleza hisia zangu juu ya chama cha chadema kuhusu majaribu mzito wanayopita.
Kwanza kabla ya yote,nianze kwa kuwapongeza wote wanaochangia vizur na kutoa ukweli tofaut na maccm wanaochangia ujinga tu.
Kwa mara nyingine cdm inapita katka moto mkubwa wa majaribu baada ya kushinda majaribu mengine ikiwemo la ughaid,chadema iljiongezea umaaruuf zaid shetani ccm aliposhindwa vibaya na vita yao juu ya cdm...
Sasa baada ya kushindwa,wamepewa ela viongoz baadh ya cdm waiangamize chadema....Mungu anazid kuitetea..ccm wanamsapot zito kwa kujua fika kuwa wakimkosa zito kuwa kiongoz,bas riziki na hujuma zao basi tena.
Kwann nasema hivo? Leo baada ya maccm kuchoma choo na bafu vya chama mkoa, Mungu akaonekana kuinusuru ofis isiungue,et maccm wanaenda kuandamana barabaran et kpinga maamuz ya cc juu ya zito..mama mmoja namba zake ninazo, wa ccm alionekana katk msafara huo.
Je kuna nn? Yote ni chadema ife??? -------!!!! Haifi,utakufa ww utaiacha chadema,tena utakufa utaicha cdm...------ yote yanatolew na maccm...wameshindwa kuvua magamba ndan ya siku 90,et wanaisadia chadema...
 
Back
Top Bottom