frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Waguhulila mmoko, amabanga ngatetema, ebyanzi nibyatika.
umenikumbusha bishagazi wa EA Radio kwenye kipind cha zembwela, ni mhaya anapenda sifa huyu jamaa kila siku analakuvunda
Waguhulila mmoko, amabanga ngatetema, ebyanzi nibyatika.
Entare Ya'moka
usitokwe na povu!!hadi akutie sumu ndo uamini?sumu+tindikali ndo mbinu ya mbowe na slaa ili mkubaliane naeLwakatare si huwa anabebaga Tindikali kwenye gari lake?[
Unamuuliza nani? kama unauhakika na hilo umechukua hatua gani? hizo ndy lopolopo za Nape, Nchemba na magamba wengine b care
Idara nyeti?
usitokwe na povu!!hadi akutie sumu ndo uamini?sumu+tindikali ndo mbinu ya mbowe na slaa ili mkubaliane nae
Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."
Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
Lwakatale mnamlisha maneno.
Wee m..----- keli kweli!Lwakatare si huwa anabebaga Tindikali kwenye gari lake?
Wee m..----- keli kweli!
We molemo slaa amepiga marufuku mbona unamkosea adabu katibu mkuu wako,
Rwakatare kesi yake ya ugaidi imefika wapi.
Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."
Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
wapi inahusu kiongozi asibebe sumu na tindikali
...hapo kwenye red kamuulize savimbi, ameshindwa kukamilisha movie yake ..?We molemo slaa amepiga marufuku mbona unamkosea adabu katibu mkuu wako,
Rwakatare kesi yake ya ugaidi imefika wapi.
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Wilfred Lwakatare amesema chama chake kimezidi kuwa imara baada ya kuchukua hatua ya kuwafukuza wasaliti mara moja walipobainika.
Kiongozi huyo anayeongoza Idara nyeti ya Kurugenzi ya Ulinzi na usalama ndani ya chama amesema Idara yake ya usalama iko makini sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote.
Ammesema wako Imara kulinda mali za chama na viongozi wake na kupokea maagizo yoyote yatakayoamuliwa na ngazi ya juu.
Lwakatare amesema si jambo la ajabu kufukuza wasaliti wanaokwenda kinyume na taratibu za chama.
Source:Mwananchi.
If I learnt this language thoroughly, then your post could have been rephrased this way...
Entare y' Omuka