mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza katika kata 4 au tano zilizobaki zote ni chadema hatutaki kusikia visingizio vyovyote kutoka kwa viongozi wa chadema kama LAWRENCE MASHA alikuwa waziri wa mambo ya ndani na polisi wake wote pamoja na pesa alizonazo na alishindwa uchaguzi uliosimamiwa na vijana wa mwanza tu waliochoka sembuse arumeru uongozi mzima uko huko sasa hivi hatutaki visingizio vyovyote kila mbinu wanayotumia ccm chadema mnaijua.. ushindi wa ARUMERU ni lazima tumewazidi kila kitu huku

Ni kweli kushindwa au kushinda ni demokrasia lakini CCM haijawahi kushinda kwa haki siku za karibuni na chadema tumebaki watu wa kulalamika tu sasa safari hii hatuna sababu ya kulalamika kula tutazilinda kwa hali na mali na mapaka sasa CCM tumewakamata hawana pakutokea ni wanachadema kuongeza nguvu kwa namna yoyote ile ili hizi siku zilizo baki tumalize vizuri...hakika tunashinda...Michango ya fedha, mawazo na nk ni mhimu sana kwa sasa kuwasaidi makamanda waliko msitari wa mbelekushinda au kutokushinda ni DEMOCRACY .Sasa unatoa msaada gani kwa chama ili kiweze kushinda..?
Hatukatai wala kupinga kushindwa popote pale bali tunachokipinga ni kushindwa kwa mizengwe na dhuruma pasipo kutenda haki,kwahiyo malalamiko na chuki vitaendelea kuwepo endapo tu ushindi hautakuwa kwa njia za uwazi na haki
Kwa Arumeru safari hii mtatafutana sisi tunaepata bahati ya kuzunguka vjiji mbalimbali tuna jua hali harisi ilivyo....Anza kubeba mabegi yako maana hakika ushindi ni wa CCM. pole bro siasa ni kitu ingine. :sorry:
Ni kweli kushindwa au kushinda ni demokrasia lakini CCM haijawahi kushinda kwa haki siku za karibuni na chadema tumebaki watu wa kulalamika tu sasa safari hii hatuna sababu ya kulalamika kula tutazilinda kwa hali na mali na mapaka sasa CCM tumewakamata hawana pakutokea ni wanachadema kuongeza nguvu kwa namna yoyote ile ili hizi siku zilizo baki tumalize vizuri...hakika tunashinda...Michango ya fedha, mawazo na nk ni mhimu sana kwa sasa kuwasaidi makamanda waliko msitari wa mbele
Tatizo la CCM ni unafiki mleta maada kasema ukweli kuwa CCM inaweza kuongoza kata tano(5) kati ya 17....ulitaka aseme tunaongoza katazote.......Wewe mwenye umeshaonesha wasi wasi tena pamoja na kwamba haukipendi chama cha Mapinduzi lakini tayari umekwisha kukipa ushindi katika kata tano, si ni dhahiri kabisa kwamba CHADEMA chali na sasa hicho ni kilio cha mfa maji?
Nenda kajipange upya halafu uje uandike kitu cha kueleweka.....Angalieni msije mkaongeza kuvu isiyo halali kwa sababu kuiba, kupiga watu, kumwagia watu tindikali, kununua kadi za wapiga kura ni kuongeza nguvu ila siyo halali.
hawa tukiwaachia arumeru kwa sasa vichwa vitakua juuu wataingilia mpaka kesi ya arusha mjini...na huku arumeru tumeshawazidi kila kitu wanahangaika huku na huko kuhonga kama alivyosema mwigulu kama wao ni barcelona kwenye mpambano huu basi hio ni barcelona ya chamazi inapambana na barcelona ya spain hii ya chamazi inasubiri tu miujiza ya refa ipewe penati na magoli ya offside wakati hata kwenye 18 hawafiki kazi kwenu viongozi sisi kazi yetu kupiga kura msimamizi atulindie kura zetu mwaka 2010 sikupiga kura nilikuwa sipo ...ila kura yangu siku zote haipotei huwa ninaempigia ndio anashinda toka udsm ambapo kura haikupotea nilipompigia kampeni MWITA MWIKABE, MAGESA MWITA na baadae ilikuwa inaenda kwa odong odwaa ambae alikuwa kambi moja na kina joshua nasar, silinde dav na wengineo