Chadema ikisambaratika tukimbilie wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ikisambaratika tukimbilie wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Jan 24, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwanza siombi hiyo hali itokee! Na mungu haepushie mbali kabisa.

  Nikiwa kama mwanachama hai na mpenzi mkubwa wa hili CHAMA[chadema]
  ambae nimekunywa hadi maji ya rangi ya bendera yake. Nina swali moja -Hivi
  chadema imetokea kusambaratika tutakimbilia wapi? Maana kwa sasa hapa
  Tanzania hakuna chama cha ukweli na chenye malengo ya Taifa hili na wananchi
  wake kama chadema! Hakika hili ndio kimbilio letu kwa sisi tuliochoka na usanii wa
  miaka 50. Mijadala yote inayoipasua kichwa ccm leo hii,ni kazi ya chadema. Mwamko
  wa wananchi zidi ya serikali yao ya kifisadi na mengine mengi,ni kazi ya chadema.

  Si mijini,si vijijjini. Si secondary schools,si vyuoni. Si maofisini,si mitaani. Si redioni,si
  kwenye luninga. Si magazetini,si kwenye mablog. Yaani kila sehemu ni chadema tu!.
  Ssa itokee hili CHAMA lisambaratike' Je tutakimbilia wapi? kiliochetu tutakitoa wapi?
  sura zetu tutazificha wapi? Je tutawafata viongozi wahamiapo vyama vingine au tuta
  baki na CHAMA letu? kwenye viongozi nazungumzia wale super havyweight ya Top 5.
  Mfano Dk Slaa,Mbowe nk. Je itakuwaje na tutafanya nini? - Nawasilisha
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Aisee watu mnapumba duuu!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,325
  Likes Received: 19,492
  Trophy Points: 280
  chukua pop corn moja hapa
  :popcorn::popcorn::popcorn:
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Watu kama hao lazima wawepo ili dunia iweze kukamilika.
   
 5. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  tutaenda kujihifadhi kwa mzee hashim rungwe mzee wa mipango a.k.a haendi ikulu kutafuta benzi, ili atupangie mipango mingine ya kuiondoa ccm
   
 6. S

  SAMWEL E. K. New Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na historia , ioaonesha kundi moja liangukapo huinuka kundi lingine lenye nguvu zaidi. huko ndiko tutapohamia
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo umemaliza siongezi hata nukta. unajuwa hata mwanamke akikupenda basi bila kutaja jina lako kwa siku hasikii raha.
   
 8. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  never cross the bridge b4 u come cross 2 it...and never entertain negative attitude in whatever ua doing.....!
   
 9. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Henge na Sulpha hakika nyie ndiye mukombali sana kifikra
  Nyie ndie mnaosema mimi na mke wangu hatutaachana hadi kiama.
  Ikitokea mke au girl friend wako kakupiga chini unaanza kunywa sumu
  au kujitundika. Kwenye maisha yoyote yale lazima kuwe na PLAN B siyo A tu.
  Kuna mifano mingi sana kwenye maofisi na private sector pia. Huko kote ni
  lazima uwe na plan B kwa hakiba.
  Hivi NCCR,TLP,CCJ nk. leo viko wapi? si vimebaki makuwadi wa ccm tu?

  Kwanza ma self siombi hiyo hali itokee hata kidogo! Lakini ikajatokea ghafla
  bin vuu tutafanyeje? Hili ndilo swali langu la PLAN B.
  Tukiwa kama maGreat thinker si mbaya tukiwa na plan zote A na B kwenye mind zetu.
  Ahsante SAMWEL E.K kwa post yako ya kwanza lakini umejibu vizuri sana
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  No comment
   
 11. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Matola unanivunja mbavu nacheka hadi nimesahau nini
  nilitaka kukujibu! unawazim sana kaka!
   
 12. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,398
  Likes Received: 528
  Trophy Points: 280
  Mie nna mashaka! Chadema Kufa?!! Hiyo Chama "TWAWALA" naiona yaelekea kusambaratika kwani hajulikani kiongozi ni nani, kauli toka kila upande na mwenyekigoda kama vile hayupo!!
   
 13. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jibu tuhakikishe hakifi hadi mision completed-kuwaondoa mafisadi
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwani kabla ya Chadema ulikuwa wapi????
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  JF bwana... haiishi vituko vya kila aina, YANGU MACHO!!
   
 16. I

  Ijuganyondo Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  in your life system try to inject "the fear of failure'&try 2 change impossibilities to possibilities' u possess the power to destroy it(cdm) or to preserve it! Play your role youngman.
   
 17. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Kimbilia kwa mama yako mzazi. Kwani chadema ni mama yako?
   
 18. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  kwahiyo mkuu unanishauri nianze kufikiria nitaenda wapi endepo kanisa la Kakobe Full Gospel Church likifa.....
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utabaki hapohapo maana CDM ipo na itazidi kuwepo!
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwani kwa sasa liko hai?
   
Loading...