Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
You should never expect bad things to happen in your life. Always have a positive attitude and expect good things to happen and you will enjoy life!

Kwani kwa sasa liko hai?
Kimbilia kwa mama yako mzazi. Kwani chadema ni mama yako?
Topical habari yako....dua lako la CHADEMA kufa umeshamaliza au bado unaendelea?
nafurahi kuwa bado uko mgongoni ukifuatilia CDM inavyochanja mbuga
We nakufananisha na kafisi kanakofuatilia kwa nyuma kungoja mkono wa binadamu udondoke....endelea kufatilia tutafika wote mjini
Bila dua chama kinapasuka chenyewe tu mkuu, mimi ikichanja isipochanja it adds nothing to my life..really
You are more than satisfied Bra!!....that is good.... but...bad enough... you close your eyes and hand for those who are needy
If your cup is full, a low it to flow for those who are needy than rest and waiting to die
Hapa nadhani hoja ipanuke kidogo, tuangalie ni sababu zipi zinaweza kusababisha CDM kusambaratika? Ni nini kifanyike hilo lisitokee? Tusimuachie Mungu atuepushie mbali bila kushiriki katika huo mchakato wa kuzuia hilo lisitokee.
Kwa mshikamano na upendo wa dhati hilo la kusambaratika halitatokea. Misingi imara ya uongozi, ukweli, uwazi, uwajibikaji na uadilifu vitaijenga CDM yenye nguvu!
Tujifunze kutokana na makosa ya CCM, NCCR, TLP na CUF! Tusibweteke! Kuna watu wengi wataona CDM ni mahali pa kupatia vyeo na mali! Kulipiza waliyoyakosa chini ya utawala dhalimu wa CCM! Tuwaepuke!

Really very hypothetical sentence, practically you get to think both ways
I s death a good thing no! but you know what it is a sure event!
If you don't think about it you are idiot
Aisee watu mnapumba duuu!