CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

afsa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
1,986
Reaction score
1,592
Wana JF, Ni zaidi ya miaka 50 sasa tukiwatumikia hawa wanyonyaji/wakoloni weusi.

Napendeza mara tu CHADEMA/UPINZANI ukiingia ikulu "CCM" ifutwe mara moja kwani haitakiwi kuwapo ktk siasa za ushindani kwa sababu zifuatazo;

1. CCM iko ikulu zaidi ya miaka 50 sasa bila mafanikio yoyote ya maendeleo si mjini wala vijijini hali ni sawa. Kiuchum, kisiasa, kijamii hakuna kilichofanyika ukilinganisha na rasilimali tulizonazo.

2. CCM haijasajiliwa kama sheria inavyotaka tangu 1992 hivyo kuonekana kama chama cha kihuni

3. CCM imejaa umafia,ulaghai,ufisadi na kila aina ya uchafu hivyo kukosa uhalali wa kuitwa chama tawala au chama cha siasa.

Kwa sababu nilizozitaja hapo juu, napendekeza VIGOGO Wote watiwe ndani na wafilisiwe mara tu baada ya CHADEMA/UPINZANI kuingia ikulu VIDAGAA/VIBARAKA tu kama akina "SIMIYU YAO, IFWEERO, ABAKORAKAMO, SUMU, CHABRUMA" na VIJIDAGAA/VIJIBARAKA vingine viachwe kwa kuwa vinatetea njaa ili viishi mjini na havijui hii nchi inaliwa vp na imejaaliwa na M/MUNGU kila aina ya RASILIMALI.
 
Wana JF, Ni zaidi ya miaka 50 sasa tukiwatumikia hawa wanyonyaji/wakoloni weusi. Napendeza mara tu CHADEMA/UPINZANI ukiingia ikulu "CCM" ifutwe mara moja kwani haitakiwi kuwapo ktk siasa za ushindani kwa sababu zifuatazo; 1. CCM iko ikulu zaidi ya miaka 50 sasa bila mafanikio yoyote ya maendeleo si mjini wala vijijini hali ni sawa. Kiuchum, kisiasa, kijamii hakuna kilichofanyika ukilinganisha na rasilimali tulizonazo. 2. CCM haijasajiliwa kama sheria inavyotaka tangu 1992 hivyo kuonekana kama chama cha kihuni 3. CCM imejaa umafia,ulaghai,ufisadi na kila aina ya uchafu hivyo kukosa uhalali wa kuitwa chama tawala au chama cha siasa. Kwa 7bu nilizozitaja hapo juu,napendekeza VIGOGO Wote watiwe ndani na wafilisiwe mara tu baada ya CHADEMA/UPINZANI kuingia ikulu VIDAGAA/VIBARAKA tu kama akina "SIMIYU YAO, IFWEERO, ABAKORAKAMO, SUMU, CHABRUMA" na VIJIDAGAA/VIJIBARAKA vingine viachwe kwa kuwa vinatetea njaa a.k.a b7 ili viishi mjini na havijui hii nchi inaliwa vp na imejaaliwa na M/MUNGU kila aina ya RASILIMALI.

chadema ni kama shetani tu, ni chama cha kufa tu na siyo kuingia madarakani.Hizo ni ndoto za kijinga kabisa
 
Afsa umesema kweli lkn si utawala bora huo. Wacha Sheria zichukue mkondo wake.

Wanastahili adhabu hiyo kwa kua wanavunja sheria kila kukicha ili kuudumisha huo utawala bora na kuulinda
 
chadema ni kama shetani tu, ni chama cha kufa tu na siyo kuingia madarakani.Hizo ni ndoto za kijinga kabisa

Utasamehewa tu kwa sababu hulijui ulitendalo,ni njaa tu inayokusumbua!
 
Hakuna haja ya kukifuta. Tunahitaji chama cha upinzani kama CCM.

hakina hadhi wala udhu wa kuwa chama cha siasa. kifutwe tu na mali zake zitaifishwe maana ni genge majambazi.napendekeza na viongozi wake washitakiwe kwa kosa la uhalifu dhidi ya watanzania kwenye mahakama itakayoanziswa maalum.
 
Sasa ccm wako madarakani.wakitaka kukifuta cdm wewe utafurahi?Wacha siasa za chuki,la msingi ni upinzani pamoja na cdm yenyewe kuwaelezea watanziania kwa kutumia sera mbadala wakipewa dhamana ya kutawala watawafanyia nini Watanzania kuhusu:
Elimu
Afya
Ustawi wa jamii
Sera mambo ya nje zitakuwaje.
Tanzania kupeleka majeshi ya amani sehemu mbalimbali duniani ,sera zao zikoje.
Ushiriki wa Tanzania katika Afrika Mashariki utakuwaje
Ukuzaji wa uchumi utakuwaje.
Uunganishaji wa nchi, kwa maana ya uchukuzi utakuwaje.
Migodi sera zake zitakuwaje.
Kwa ujumla ili upate dola, unatakiwa ujipange,kwa kujenga chama imara chenye muundo wa uongozi ,ulio wazi,madaraka ya chama yanakuwaje.
Ndio maana kuanzia mwaka,1995 mpaka leo, vyama vya upinzani havijaweza kutuweka sawa juu ya niliyoeleza hapo juu, pamoja na mengine mengi,ya msingi kwa nchi.
Kubwa ninaloliona, ni upinzani kudandia hoja,kuwa ndio SERA ZA VYAMA.Leo ,ikitokea police, wamekwaruzana na wanachi,hapo chama kimepata kitu cha kufanyia propaganda,Leo kukiwa na mfanyabiashara akikamatwa na makosa,basi hapo,ni matokeo ya sera za ccm.
Kwa hivyo, ndugu zangu ili kuwatoa ccm madarakani ,inatakiwa kufanyika nguvu za ziada.DALILI ZINAONEKANA KAMA CCM WANAWEZA KUSHINDWA,ila upinzania haujajipanga.
Namalizia kwa kuwaasa wapinzani kuyapima hayo,yote
Natarajia vitusi.
 
wana jf, ni zaidi ya miaka 50 sasa tukiwatumikia hawa wanyonyaji/wakoloni weusi. Napendeza mara tu chadema/upinzani ukiingia ikulu "ccm" ifutwe mara moja kwani haitakiwi kuwapo ktk siasa za ushindani kwa sababu zifuatazo; 1. Ccm iko ikulu zaidi ya miaka 50 sasa bila mafanikio yoyote ya maendeleo si mjini wala vijijini hali ni sawa. Kiuchum, kisiasa, kijamii hakuna kilichofanyika ukilinganisha na rasilimali tulizonazo. 2. Ccm haijasajiliwa kama sheria inavyotaka tangu 1992 hivyo kuonekana kama chama cha kihuni 3. Ccm imejaa umafia,ulaghai,ufisadi na kila aina ya uchafu hivyo kukosa uhalali wa kuitwa chama tawala au chama cha siasa. Kwa 7bu nilizozitaja hapo juu,napendekeza vigogo wote watiwe ndani na wafilisiwe mara tu baada ya chadema/upinzani kuingia ikulu vidagaa/vibaraka tu kama akina "simiyu yao, ifweero, abakorakamo, sumu, chabruma" na vijidagaa/vijibaraka vingine viachwe kwa kuwa vinatetea njaa a.k.a b7 ili viishi mjini na havijui hii nchi inaliwa vp na imejaaliwa na m/mungu kila aina ya rasilimali.


una kichaa cjui umeingiaje humu ma mtu mengine kafe na chaga saccos huko nyambafu
 
Mkuu CCM itabakizwa ila viongozi wote wa ccm waliojihusisha na kulihujumu taifa hili watapigwa risasi bila huruma ili liwe funzo kwa wengine. Pia mtu kama msalani, ifweero, chabuluma na wengine wao humu jamii forum wataunganishwa kwenye hiyo hukumu
 
Cdm chama cha kikabila na udini kifutwe kwanza cdm kinawagawa watu ... chama cha wafanya fujo
 
Yani sina uwezo tu! Hiki chama cha magaidi ingeondoka masikioni mwa Watanganyika hata leo hii!
 
Back
Top Bottom