Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,765
- 32,389
hakika huna akiliUna amanisha msitu wa kwapani?
Mkuu umerogwa kabisa haya mawazo ya watu wafu.KATIKA HARAKATI HIZI ZA kisiasa watu wamekubali kujiunga na vyama vya siasa ili kufuata utaratibu wa kidemokrasia wa kubadilisha utawala. Wasiwasi wangu ni kuwa kama hzi harakati za kutaka kukiuwa chama hiki zitafanikiwa basi ni wazi kuwa watanzania wengi hawatataka tena kupoteza muda kwenye siasa ili kubadilisha utawala. Watanzania watajiunga au wataunda jeshi ili kuiondoa serikali iliyopo madarakani. hii ni kwa kuwa watakuwa wameona kuwa hamna haja tena ya kujishughulisha na siasa wakati wanaona bado kuna uhuni unafanyika katika nchi yao.
hili linaweza kuingiza nchi katika machafuko...na kama viongozi waliopo madarakani hawatakuwa na nia thabiti, nia njema kwa nchi hii basi waendelee na hii mikakati ya kutaka kuzima vyama vya upinzan ambavyo vinaonekana kukubalika kwa wananchi. kwa hatua ambayo watu wamefika kwa sasa ni wazi kuna watanzania ambao wapo tayari kabisa kujiunga na jeshi la uasi kama itatokea. tumeona matokeo katika mambo mbalimbali ambayo wananchi wamejitolea kupigwa mabomu , kupigwa,kuteswa na hata kuuawa. waswas wangu je wakiambiwa tukiingie msituni kudai haki hawatakubali?
kwa sasa ni wazi kuna watanzania ambao wapo tayari kabisa kujiunga na jeshi la uasi kama itatokea. tumeona matokeo katika mambo mbalimbali ambayo wananchi wamejitolea kupigwa mabomu , kupigwa,kuteswa na hata kuuawa. waswas wangu je wakiambiwa tukiingie msituni kudai haki hawatakubali?
Mkuu mjini kumewashinda hao vilaza.Msitu unaujua au unauona ukiwa unasafiri tu????!!!!!
Tear gas tu watu wanakanyagana!!!
Blanks tu zikiwaka thread zote hujaa habari hiyo!!!!
Kuwa na mawazo chanya weeewe Mtanzania kufutwa chama ni process na kikifa chama watu na falsafa watabaki na kuanza mchakato mpya,mpiganaji wa kweli hawezi kuhofia kitu simple kama hiko unless unasema strategists are verry limited in options!!!!!!
Una amanisha msitu wa kwapani?
KATIKA HARAKATI HIZI ZA kisiasa watu wamekubali kujiunga na vyama vya siasa ili kufuata utaratibu wa kidemokrasia wa kubadilisha utawala. Wasiwasi wangu ni kuwa kama hzi harakati za kutaka kukiuwa chama hiki zitafanikiwa basi ni wazi kuwa watanzania wengi hawatataka tena kupoteza muda kwenye siasa ili kubadilisha utawala. Watanzania watajiunga au wataunda jeshi ili kuiondoa serikali iliyopo madarakani. hii ni kwa kuwa watakuwa wameona kuwa hamna haja tena ya kujishughulisha na siasa wakati wanaona bado kuna uhuni unafanyika katika nchi yao.
hili linaweza kuingiza nchi katika machafuko...na kama viongozi waliopo madarakani hawatakuwa na nia thabiti, nia njema kwa nchi hii basi waendelee na hii mikakati ya kutaka kuzima vyama vya upinzan ambavyo vinaonekana kukubalika kwa wananchi. kwa hatua ambayo watu wamefika kwa sasa ni wazi kuna watanzania ambao wapo tayari kabisa kujiunga na jeshi la uasi kama itatokea. tumeona matokeo katika mambo mbalimbali ambayo wananchi wamejitolea kupigwa mabomu , kupigwa,kuteswa na hata kuuawa. waswas wangu je wakiambiwa tukiingie msituni kudai haki hawatakubali?
Na jinsi wabunge wa cdm wanavyo penda kula bata sijui kama watamaliza wiki mbili kichakani. Nassari alipigwa kofi moja tu mpaka akalazwa. Tumeona sugu alivyo bebwa kama gunia la mahindi. Hao ndio makamanda.