Kwasasa hawana ubavu wakwenda NCCR,kwa sababu wameingia bungeni kwa kupitia mgongo wa Chadema,aliepata sifa za kupata kura 5%Chadema haifi itaendelea kuwepo usipotoshe.Tulianza na NCCR-Mageuzi 1995, ikaja CUF ngangari 2000, ikaja Chadema 2015 na 2025 NCCR-Mageuzi itakuwepo tena na wengine wanasubiri. Huo ndiyo ukweli Chadema mkicheza karata vibaya hawa 19 wataenda NCCR-Mageuzi wakaungane na kina Selasini na Anthony Komu
Mkuu umeandika aisee, daaahSawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana!
Tuseme kinatetea mabeberu!
Tuseme Lissu ni adui wa nchi!
Tuseme ni chama cha Mbowe!
Hayo mengine tulishasema!
Jiwe amepolarise system yote ya CCM!
Pale lumumba au Chamwino, kwa sasa hakuna wa kumwambia kitu!
Mkapa hayupo.
Mwinyi yuko kwenye mfuko.
Kikwete hajielewielewi, hajui hata leo ni lini.
Kuna nini tena?
Namkubali mzee, ni master wa siasa za kihuni.
Eenhee! CHADEMA haipo tena!
Hesabu zake zimeshakamilika.
Kundi la kina Mdee litapewa uongozi wa chama.
Watahamishiwa account ya chama.
The rest itakuwa kama story ya Maalim na Prof.
Chadema imefika mwisho.
Sisi wapenzi washabiki tunafaidikaje na hizi siasa za kihuni?
Maana tumetumika na tunatumika kuzihalalisha.
Sioni mwisho mwema, 2025 mzee haendi mahali na hakuna wa kumwambia kitu!
Tutakutana tena hapa kufanya kilio cha pamoja.
Sibariki kifo cha demokrasia.
Sina cha kufanya kwa sasa ila ndio basi tena!
Kwaheri Tanzania ya Nyerere, kwaheri Tanzania ya heshima!
Karibu Tanzania ya Magufuli.
Jiwe aliposema atahakikisha hakuna Upinzani 2020 mlikejeli sana, sasa hivi mnaandika posts za kunung'unika na kutia huruma!Sawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana!
Tuseme kinatetea mabeberu!
Tuseme Lissu ni adui wa nchi!
Tuseme ni chama cha Mbowe!
Hayo mengine tulishasema!
Jiwe amepolarise system yote ya CCM!
Pale lumumba au Chamwino, kwa sasa hakuna wa kumwambia kitu!
Mkapa hayupo.
Mwinyi yuko kwenye mfuko.
Kikwete hajielewielewi, hajui hata leo ni lini.
Kuna nini tena?
Namkubali mzee, ni master wa siasa za kihuni.
Eenhee! CHADEMA haipo tena!
Hesabu zake zimeshakamilika.
Kundi la kina Mdee litapewa uongozi wa chama.
Watahamishiwa account ya chama.
The rest itakuwa kama story ya Maalim na Prof.
Chadema imefika mwisho.
Sisi wapenzi washabiki tunafaidikaje na hizi siasa za kihuni?
Maana tumetumika na tunatumika kuzihalalisha.
Sioni mwisho mwema, 2025 mzee haendi mahali na hakuna wa kumwambia kitu!
Tutakutana tena hapa kufanya kilio cha pamoja.
Sibariki kifo cha demokrasia.
Sina cha kufanya kwa sasa ila ndio basi tena!
Kwaheri Tanzania ya Nyerere, kwaheri Tanzania ya heshima!
Karibu Tanzania ya Magufuli.
You are not alone.tuko wengiSababu ya kuwa mpinzani nikuwa siamini kabisa kuwa maendeleo chanya yanaweza kuletwa na chama kimoja kuwa madarakani kwa miaka 60. Chama kinapokosa upinzani na msukumo wa kukosolewa hufanya kazi kwa uadilifu. CCM imekosa uadilifu na mpaka sasa 60% wanaishi katika absolutely poverty.
Niliona kampeni za Tundu Lissu na niliamini kuwa anaweza kufungua ukurasa wa pili wa siasa katika nchi yetu. Sijakata tamaa kumpa support Tundu Lissu. Tunapotia wakati mgumu sana kisiasa.
Chadema ikifa kuna faida nyingi Sana mojawapo ni pesa walizokuwa wakipewa kama ruzuku zitaenda kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi badala ya kuishia kuliwa na akina Mbowe makao makuu
Kwani democracy au upinzani ni chadema pekee?Sawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana!
Tuseme kinatetea mabeberu!
Tuseme Lissu ni adui wa nchi!
Tuseme ni chama cha Mbowe!
Hayo mengine tulishasema!
Jiwe amepolarise system yote ya CCM!
Pale lumumba au Chamwino, kwa sasa hakuna wa kumwambia kitu!
Mkapa hayupo.
Mwinyi yuko kwenye mfuko.
Kikwete hajielewielewi, hajui hata leo ni lini.
Kuna nini tena?
Namkubali mzee, ni master wa siasa za kihuni.
Eenhee! CHADEMA haipo tena!
Hesabu zake zimeshakamilika.
Kundi la kina Mdee litapewa uongozi wa chama.
Watahamishiwa account ya chama.
The rest itakuwa kama story ya Maalim na Prof.
Chadema imefika mwisho.
Sisi wapenzi washabiki tunafaidikaje na hizi siasa za kihuni?
Maana tumetumika na tunatumika kuzihalalisha.
Sioni mwisho mwema, 2025 mzee haendi mahali na hakuna wa kumwambia kitu!
Tutakutana tena hapa kufanya kilio cha pamoja.
Sibariki kifo cha demokrasia.
Sina cha kufanya kwa sasa ila ndio basi tena!
Kwaheri Tanzania ya Nyerere, kwaheri Tanzania ya heshima!
Karibu Tanzania ya Magufuli.
Sasa umeuliza Nini wakati majibu unayo?Chadema was and still is, the pinnacle of democracy and opposition movements in this country!
U have gone too far mkuu, Jambo hili ni proove ya blander ccm, cdm kitawasamehe kina mdee pia kwa kukuza mgogoro na kidhibiti hiki ccm wataomba suluhu ikibidi kutoa viti 10 maalumu JPM kwa CDM.
so unadhan upinzani wakiwa madarakani ndo watu watatoka kwenye poverty? poor youSababu ya kuwa mpinzani nikuwa siamini kabisa kuwa maendeleo chanya yanaweza kuletwa na chama kimoja kuwa madarakani kwa miaka 60. Chama kinapokosa upinzani na msukumo wa kukosolewa hufanya kazi kwa uadilifu. CCM imekosa uadilifu na mpaka sasa 60% wanaishi katika absolutely poverty.
Niliona kampeni za Tundu Lissu na niliamini kuwa anaweza kufungua ukurasa wa pili wa siasa katika nchi yetu. Sijakata tamaa kumpa support Tundu Lissu. Tunapotia wakati mgumu sana kisiasa.
Hesabu walizozifanya za kuuwa upinzani ni makosa makubwa kwani tukiviondoa vyama vya upinzani tutakaribisha siasa za kikabila, kikanda na za kidini ambazo ni mbaya zaidi kuliko upinzani wa vyama vya siasa.Sawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana!