CHADEMA ikifa Taifa litafaidi nini? Sisi wengine tutafaidi nini?

Kinachotia moyo ni kwamba CHADEMA haiwezi kufa, kinachofanyika ni CCM kujaribu kuwakatisha tamaa wananchi... lakini ki uhalisia CCM haipendwi.
 
Hebu niambie kwanini kisife?
Kinachotia moyo ni kwamba CHADEMA haiwezi kufa, kinachofanyika ni CCM kujaribu kuwakatisha tamaa wananchi... lakini ki uhalisia CCM haipendwi.
 
Chadema haifi itaendelea kuwepo usipotoshe.Tulianza na NCCR-Mageuzi 1995, ikaja CUF ngangari 2000, ikaja Chadema 2015 na 2025 NCCR-Mageuzi itakuwepo tena na wengine wanasubiri. Huo ndiyo ukweli Chadema mkicheza karata vibaya hawa 19 wataenda NCCR-Mageuzi wakaungane na kina Selasini na Anthony Komu
Kwasasa hawana ubavu wakwenda NCCR,kwa sababu wameingia bungeni kwa kupitia mgongo wa Chadema,aliepata sifa za kupata kura 5%
Hawatafukuzwa bungeni ,sana sana utatokea mgogoro utakaokigawa chama.Kama kawaida ya siasa zetu,mshindi atakuwa Mdee.
 
Sawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana!
Tuseme kinatetea mabeberu!
Tuseme Lissu ni adui wa nchi!
Tuseme ni chama cha Mbowe!

Hayo mengine tulishasema!

Jiwe amepolarise system yote ya CCM!
Pale lumumba au Chamwino, kwa sasa hakuna wa kumwambia kitu!
Mkapa hayupo.
Mwinyi yuko kwenye mfuko.
Kikwete hajielewielewi, hajui hata leo ni lini.
Kuna nini tena?
Namkubali mzee, ni master wa siasa za kihuni.

Eenhee! CHADEMA haipo tena!
Hesabu zake zimeshakamilika.
Kundi la kina Mdee litapewa uongozi wa chama.
Watahamishiwa account ya chama.
The rest itakuwa kama story ya Maalim na Prof.
Chadema imefika mwisho.

Sisi wapenzi washabiki tunafaidikaje na hizi siasa za kihuni?
Maana tumetumika na tunatumika kuzihalalisha.
Sioni mwisho mwema, 2025 mzee haendi mahali na hakuna wa kumwambia kitu!

Tutakutana tena hapa kufanya kilio cha pamoja.
Sibariki kifo cha demokrasia.
Sina cha kufanya kwa sasa ila ndio basi tena!
Kwaheri Tanzania ya Nyerere, kwaheri Tanzania ya heshima!
Karibu Tanzania ya Magufuli.
Mkuu umeandika aisee, daaah

'kwaheri tanzania ya nyerere'

'karibu tanzania ya magufuri'
 
Jiwe aliposema atahakikisha hakuna Upinzani 2020 mlikejeli sana, sasa hivi mnaandika posts za kunung'unika na kutia huruma!
 
Sababu ya kuwa mpinzani nikuwa siamini kabisa kuwa maendeleo chanya yanaweza kuletwa na chama kimoja kuwa madarakani kwa miaka 60. Chama kinapokosa upinzani na msukumo wa kukosolewa hufanya kazi kwa uadilifu. CCM imekosa uadilifu na mpaka sasa 60% wanaishi katika absolutely poverty.

Niliona kampeni za Tundu Lissu na niliamini kuwa anaweza kufungua ukurasa wa pili wa siasa katika nchi yetu. Sijakata tamaa kumpa support Tundu Lissu. Tunapotia wakati mgumu sana kisiasa.
You are not alone.tuko wengi
 
Chadema ikifa kuna faida nyingi Sana mojawapo ni pesa walizokuwa wakipewa kama ruzuku zitaenda kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi badala ya kuishia kuliwa na akina Mbowe makao makuu
 
Sasa mbona mmevunja sheria na taratibu zote za nchi hii kuwachukua kina Halima?
Simngebaki kivyenu muokoe hela za ruzuku ya Chadema!
Chadema ikifa kuna faida nyingi Sana mojawapo ni pesa walizokuwa wakipewa kama ruzuku zitaenda kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi badala ya kuishia kuliwa na akina Mbowe makao makuu
 
Sawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana!
Tuseme kinatetea mabeberu!
Tuseme Lissu ni adui wa nchi!
Tuseme ni chama cha Mbowe!

Hayo mengine tulishasema!

Jiwe amepolarise system yote ya CCM!
Pale lumumba au Chamwino, kwa sasa hakuna wa kumwambia kitu!
Mkapa hayupo.
Mwinyi yuko kwenye mfuko.
Kikwete hajielewielewi, hajui hata leo ni lini.
Kuna nini tena?
Namkubali mzee, ni master wa siasa za kihuni.

Eenhee! CHADEMA haipo tena!
Hesabu zake zimeshakamilika.
Kundi la kina Mdee litapewa uongozi wa chama.
Watahamishiwa account ya chama.
The rest itakuwa kama story ya Maalim na Prof.
Chadema imefika mwisho.

Sisi wapenzi washabiki tunafaidikaje na hizi siasa za kihuni?
Maana tumetumika na tunatumika kuzihalalisha.
Sioni mwisho mwema, 2025 mzee haendi mahali na hakuna wa kumwambia kitu!

Tutakutana tena hapa kufanya kilio cha pamoja.
Sibariki kifo cha demokrasia.
Sina cha kufanya kwa sasa ila ndio basi tena!
Kwaheri Tanzania ya Nyerere, kwaheri Tanzania ya heshima!
Karibu Tanzania ya Magufuli.
Kwani democracy au upinzani ni chadema pekee?
 
Tatizo la wapinzani ni kwamba hawashauriki.

Kama kweli wanataka kuiondoa CCM iliyo na mizizi mipana nchi nzima ni lazima waje na mikakati mipana, endelevu na misimamo isiyoyumba. Propaganda za kusema CCM inatumia vyombo vya dola na tume waachane nayo hata kama ina ukweli. Wajikite haswa kuangalia namna CCM ilivyo imara kama taasisi, namna ilivyojenga mizizi kuanzia chini kwenye mashina hadi taifa.Namna CCM ilivyotamalaki kwenye taasisi,mashirika na ofisi zote za umma.

NASHAURI YAFUATAYO;

Kwanza waunde chama kimoja kikuu cha upinzani kwa kuunganisha nguvu. Mambo ya kuungana kipindi cha uchaguzi, tena mwezi mmoja kabla ya kura za uchaguzi ni maigizo.

Mbili, waangalie namna ya kuwakamata wapiga kura walio wengi kwa kuandaa sera zainazowagusa walio wengi. Wapiga kura walio wengi ni vijana na wakina mama. Wazee waachane nao maana wengi wameshakunywa maji ya bendera, ni zao la chama kimoja na ni wajamaa wa Mwalimu Nyerere. Pia wawekeze kutoa elimu ya ukombozi wa kifikra kwa makundi hayo mawili.

Tatu, waanzishe movement zenye tija na zenye jumbe maalumu kama kukosoa Katiba iliyopo ili wananchi watambue kwa nini wanahitaji Katiba mpya. Badala ya movement za kukosoa ununuzi wa ndege au ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato ambavyo wananchi wengi wanaona ni usaliti kupinga jambo linaloonekana.
 
U have gone too far mkuu, Jambo hili ni proove ya blander ccm, cdm kitawasamehe kina mdee pia kwa kukuza mgogoro na kidhibiti hiki ccm wataomba suluhu ikibidi kutoa viti 10 maalumu JPM kwa CDM.

CCM ni kama kuku asiye na kichwa. Leo kinatumia nguvu kubwa kuzuia wabunge wa upinzani kurudi bungenikinafanikiwa kesho ndio kinajua kosa kililo fanya. Kina employ nguvu kubwa sana kurudisha wapinzani fake bungeni. Yote haya yanafanyika kwa pesa za umma na hawana uchungu nazo. Halafu wanatuambia hakuna wa kuchunga rasilimali za taifa isipokuwa wao. Sisi tunapiga makofi kushangilia.
 
Sababu ya kuwa mpinzani nikuwa siamini kabisa kuwa maendeleo chanya yanaweza kuletwa na chama kimoja kuwa madarakani kwa miaka 60. Chama kinapokosa upinzani na msukumo wa kukosolewa hufanya kazi kwa uadilifu. CCM imekosa uadilifu na mpaka sasa 60% wanaishi katika absolutely poverty.

Niliona kampeni za Tundu Lissu na niliamini kuwa anaweza kufungua ukurasa wa pili wa siasa katika nchi yetu. Sijakata tamaa kumpa support Tundu Lissu. Tunapotia wakati mgumu sana kisiasa.
so unadhan upinzani wakiwa madarakani ndo watu watatoka kwenye poverty? poor you
 
Sawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana!
Tuseme kinatetea mabeberu!
Tuseme Lissu ni adui wa nchi!
Tuseme ni chama cha Mbowe!

Hayo mengine tulishasema!

Jiwe amepolarise system yote ya CCM!
Pale lumumba au Chamwino, kwa sasa hakuna wa kumwambia kitu!
Mkapa hayupo.
Mwinyi yuko kwenye mfuko.
Kikwete hajielewielewi, hajui hata leo ni lini.
Kuna nini tena?
Namkubali mzee, ni master wa siasa za kihuni.

Eenhee! CHADEMA haipo tena!
Hesabu zake zimeshakamilika.
Kundi la kina Mdee litapewa uongozi wa chama.
Watahamishiwa account ya chama.
The rest itakuwa kama story ya Maalim na Prof.
Chadema imefika mwisho.

Sisi wapenzi washabiki tunafaidikaje na hizi siasa za kihuni?
Maana tumetumika na tunatumika kuzihalalisha.
Sioni mwisho mwema, 2025 mzee haendi mahali na hakuna wa kumwambia kitu!

Tutakutana tena hapa kufanya kilio cha pamoja.
Sibariki kifo cha demokrasia.
Sina cha kufanya kwa sasa ila ndio basi tena!
Kwaheri Tanzania ya Nyerere, kwaheri Tanzania ya heshima!
Karibu Tanzania ya Magufuli.
Hesabu walizozifanya za kuuwa upinzani ni makosa makubwa kwani tukiviondoa vyama vya upinzani tutakaribisha siasa za kikabila, kikanda na za kidini ambazo ni mbaya zaidi kuliko upinzani wa vyama vya siasa.
 
Back
Top Bottom