Pasco ukweli upi unaompongeza nao huyu mnafiq? Kipi hapa kitu tangible chenye ushahidi alichokileta mtoa mada? Hivi mimi nikianzisha thread nikasema Lowassa ni mchawi, mlevi, ana maradhi mabaya, ameshafukia watu kwa makafara bila ushahidi utakuja kunipongeza kwa kusema ukweli? "
Na hapa pia umepiga propaganda. Unataka kuonyesha kuwa Chadema inawanyamazisha wanaosema ukweli. Sio kweli. Huna ushahidi hata mmoja wa mtu aliyekuwa silenced kwa kusema maovu ya chama. Huyo Ludo kama ni kuwa silenced angekuwa hivyo siku nyingi. Zitto kaishia kujitimua mwenyewe. Juliana Shonza tulifukuza kama mbwa.Nani alikuwa silenced. Tatizo lako Pasco ni unafiq. Unajua kabisa unachosema ni uongo. Lakini ili ufurahishe tumbo lako na mabosi/wafadhili wako wakenue meno unaamua kujitoa ufahamu makusudibna kupotosha. Ni tabia mbaya sana kwa mtu senior hapa mtandaoni kama wewe. Ina ruin reputation yako. Soon utadharauliwa kama lile toto jinga la waziri mkuu mstaafu. Sema ukweli. Chadema haina mambo ya kunyamazisha watu.
Hii pia ni kurudia upuuzi ule ule wa kudhani na kuamini alichokisema Ludo ni kweli hata kabla huja comfirm na watuhumiwa. Ni ukanjanja uliotukuka kwa wewe mwanasheria na pia unayejifanya mwandishi wa habari. Kulikuwa na tabu gani kumuuliza Tumaini Makene walau akupe ufafanuzi ndio uje hapa kujaza hizi propaganda zako? Wewe unajua wazi mahusiano ya Chadema na Ludo. Na unajua mahusiano ya Ludo na Zitto. Na unajua mahusiano ya Zitto na Msaki. Na inajua mahusiano ya Ludo na Msaki. Kipi cha ajabu alichokiandika Ludo hadi ukurupuke mbio mbio kumpongeza kwa kusema ukweli? Eti unamwita insider. Leo hii Membe akiamua kuzusha lolotebla Lowassa tumpongeze kwakuwa na yeye ni insider wa CCM?! Mi naamini Pasco umevuka hii level ya kina MSALANI na ifweero na Simiyu Yetu kwa mbali sana. Heshma yako iko far beyond these propaganda. Na nakushauri urudi kwenye mstari. Uwe pasco yule ambaye ukiona bandiko lake hata kama unaendesha kikao unasimama kwanza kutazama Pasco ameleta mapoint gani. With this trend, im sory Pasco hutakuwa na tofauti na kina Lizaboni. Hapa umepotosha sana. Tena kiuungwana ungeomba radhi. Chadema ni chama bora kwa mstaarabu kuishi. Wewe mwenyewe unaona kila propaganda imefeli. Wanachadema kwa makabila na dini zetu tuna amani na furaha tukiwa chadema. Mimi nimeshiriki mikutano na maandamano mengi sana ya chadema. Sijawahi kupewa hata 500 ya maji ya kunywa. Nimeratibu mikutano ya Chadema Chalinze na Tukuyu, sijawahi kugawa hata sh 50! Na ndivyo ilivyo kwa mikutano na maandamano inayoratibiwa na Makao Makuu ambayo na mimi nimeshiriki sana. Hakuna fungu lolote linalotolewa kwa waandamanaji. Na Pasco unajua...umempongeza ludo kinafiki.
Hakuna ukweli hata mmoja aliousema Ludo. Kama unao ushahidi ulete hapa. Pili Ludo tumempuuza. Hana akili. Mtu anayekuja hapa kutaja eti Pasco alinichangia 15,000/- kwenye harusi yangu unaweza kuievaluate akili yake na kujua uwezo wake wa kufikiri. Si ajabu akifiwa atakuja hapa na daftari la rambirambi kutuonyesha bosi wake Zitto amechanga milioni ngapi. Ni uchizi na frustration zinazomsumbua. Na ndio maana hakuna mtu yeyote kutoka Chadema HQ aliyehangaika kumjibu. Na hata waliomjibu umeona walivyomparura.
Mwigamba au Maskini Mkulima alikuja na mbinu hii. Sasa hivi ni km jalala. Hana thamani
Juliana Shonza aliyefukuzwa kama mbwa naye na kundi lake walikuja na mbinu kama hii. Hivi sasa hata huko CCM wamekuwa ni mizigo tu
Zitto nae alikuja hivi hivi, hivi sasa ni mzigo hata kwake mwenyewe.
Chadema ni chama kinachoendeshwa kisayansi. Usijaribu ku temper na Chadema cheaply kama huyu Ludo. Chadema ndio tegemeo pekee la watanzania kisiasa
Mkuu,
CHADEMA inayo misingi yake na Falsafa yake. ila kwa sasa misingi hiyo kwa sasa imefukiwa na walafi wachache lakini wenye nguvu kwenye chama. sasa sisi wengine tunadai mabadiliko kutokea ndani. waitaliano wanaita "argionamento". tutakapowapindua hawa mabepari, tutabaki na CHADEMA yetu inayoamini katika uwazi,uwajibikaji, kuchukia rushwa na ufisadi, isiyokubali ufuska na kama hayo. SISI TUNAAMINI KATIKA UWAZI NA MABADILIKO.
Duh! Kuumbe! Nadhani na ile ishu ya kugawa viroba kwanza kwa waandamanaji itakuwa ni kweli.
Ni kweli Mkuu, ni mataahira tu ndiyo wanaweza kukubaliana na hii Hoja dhaifu isiyo na kichwa, walitegemea CHADEMA ingekufa - lakini sasa inachanja mbunga hasa baada ya kumaliza uchaguzi ndani ya chama salama - Hii ni aibu kubwa kwa kundi la wasaliti.Dah basi CHADEMA wana pesa nyingi sana manake ikiwa maelfu ya mamia ya watu ambao huandamana nchi nzima hulipwa hawa jamaa watakuwa ni balaa wachunguzwe kabisaaa. Nadhani Ludo akubali tu kuwa kaugali alikokuwa anapata kamepeperuka basi atafute msosi kwingine kuliko kuanzisha thread za upuuzi kiasi hiki
- Ludovick toka hilo lichama limeoza hamia CCM tunakupa kugombea Urais wewe unafaa kuwa Rais sio huko kwa wahuni hao!!
Le Mutuz
Dah basi CHADEMA wana pesa nyingi sana manake ikiwa maelfu ya mamia ya watu ambao huandamana nchi nzima hulipwa hawa jamaa watakuwa ni balaa wachunguzwe kabisaaa. Nadhani Ludo akubali tu kuwa kaugali alikokuwa anapata kamepeperuka basi atafute msosi kwingine kuliko kuanzisha thread za upuuzi kiasi hiki
Ni bora Propaganda za akina Ritz, MSALANI Lizaboni Simiyu Yetu Chabruma chama,@kiroriti na wote wale Nyumbu wa Lumumba ambazo huwaga tunazichukulia kam kuchangamsha genge,lakini za Kwako,tunazichukulia kama taka taka zinazotoka kwa mtu aliyekata tamaa ki maisha,hohe hahe asiye na mbele wala nyuma,anayetegeea fadhili za mtu yoyote yule ili walau Mkono wake uende Kinywani.
Watu kama wewe ni hatar hata kwa maisha ya ndugu zako wa karibu kabisa,kama vile Mama na Babaako,watu kama nyie mko tayar kuwatoa kafara wapendwa wenu kwa waganga wa kienyeji ili mpate utajiri.
Kimsingi nina kudharau sana.
PascoMkuu Ludo, kwanza asante kwa uzi huu na hongera kwa kuamua kuusema ukweli, ili ukweli ukuweke huru! "Speak the truth, and the truth will set you free!", ila nahofia sana usalama wako kwa hii staili unayoitumia!, kama ni kweli ulikuwa "an inside man, na sasa unaanza to spill the beans!, una hatari ya ku end up being "silenced" before you spill more beans!.
Politics is a dirty game, na kweli kila politics, kuna lots and lots of dirty games tok a vyama vyote CCM inclusive, sass ukiwa insider, unakuja kuleta mambo ya inside into an open, you are not only not a trustworthy person, but a risk with needs to be disposed the sooner the better!, so watch out, hata kama unawake kukumbukwa kama shujaa wa ukweli!, jiulize is it with it?.
Ila pia kwa vile you were one of them, natatizo na "the motive behind" hizi revelations zako!, najui wewe unajijua uko normal na uko ok, ila kiukweli amini usiamini, you are not normal and you are not ok!, you are insane!. Hauko saws kabisa na wall hauko timamu!.
Kuusema ukweli huu unaosema hapa ni kitendo cha ushujaa sana, ili pia ushujaa huu unawezwa kufanya na mtu tuu asiye timamu!, kutokuwa timamu, sio lazima ndio uwe kichaa, kuna wasio timamu kibao ambao sio vichaa, ila pia kuwa kichaa sio mpaka lazima uokote makopo, kuna vichaa kibao ambao hawaokoti makopo!.
Nakushauri kabla ya kuanzisha baadhi ya mada, jitafakari kwanza, haswa kuhusu "the motive behind mada husika, ndipo uipandishe!, ila kwa level ya "insanity ninayokusoma nayo humu!, I doubt kama you still have even a little brain to make of anything I say here!.
Ni ushauri tuu!. Hongera Shujaa Ludo!, tutakukumbuka!.
Thanks.
Pasco.
Duuu aiseee
This guy "pasco" is becoming so cheap siku hadi Siku aisee
I real wonder kama ni mwanasheria kweli au mwandishi Wa habari
I
Kama ni mwandishi Wa habari sishangai madudu yanayoandikwa na magazeti ya uhuru
Ludo amekujuza tuu kuwa kuna wenzio wana lipwa!
- Jibu hoja wacha matusi yangekuwa mali mngeshashika dola, jibu hoja kama huna kaa pembeni waachie wenye hoja mamabo ya baba na mama yako yantokea wapi hapa, le mburulazzzz
Le Mutuz