CHADEMA huwalipa wanaoandamana

Kwako kusimamia ndoa ni kuwa bestman tu?
 


kweli hao wanafunzi wetu wanapona huko darasani
 
- Ningefanana na mzazi wako ningejiua maana kuzaa mtoto anayekuja JF kwa majina ya bandia kutukana watu ni mtoto mzigo U know kutoka kwa wazazi mzigo, haya turudi kwenye mada unabisha
Chadema huwa hwalipi waandamanaji? hahahahahahaha

Le Mutuz

Mtu duni kabila duni,wazazi wako tunawafahamu mabuya leche longaaa!!
 
Mkuu Ludo, kwanza asante kwa uzi huu na hongera kwa kuamua kuusema ukweli, ili ukweli ukuweke huru! "Speak the truth, and the truth will set you free!", ila nahofia sana usalama wako kwa hii staili unayoitumia!, kama ni kweli ulikuwa "an inside man, na sasa unaanza to spill the beans!, una hatari ya ku end up being "silenced" kwa wewe kuwa spilled before you spill more beans!.

Politics is a dirty game, na kweli kila politics, kuna lots and lots of dirty games toka vyama vyote, CCM inclusive, sasa ukiwa an insider, unakuja kuleta mambo ya inside into an open, you are not only not a trustworthy person, but a risk person who needs to be disposed the sooner the better!, so watch out, hata kama unaweza kukumbukwa kama shujaa wa ukweli!, jiulize is it worth it?.

Ila pia kwa vile you were one of them, natatizwa na "the motive behind" hizi revelations zako!, najua wewe unajijua uko normal na uko ok, ila kiukweli amini usiamini, you are not normal and you are not ok!, you are insane!. Hauko sawa kabisa na wala hauko timamu!.

Kuusema hadharani ukweli wa mambo ya sirini kama huu unaosema hapa, japo ni kitendo cha ushujaa sana, ila pia ushujaa huu unaweza kufanywa na mtu tuu asiye timamu!, kutokuwa timamu, sio lazima ndio uwe kichaa, kuna wasio timamu kibao ambao sio vichaa, ila pia kuwa kichaa sio mpaka lazima uokote makopo, kuna vichaa kibao ambao hawaokoti makopo!.

Nakushauri kabla ya kuanzisha baadhi ya mada, jitafakari kwanza, haswa kuhusu "the motive behind mada husika, ndipo uipandishe!, ila kwa level ya "insanity ninayokusoma nayo humu!, I doubt kama you still have even a little brain to make sense of anything I say here!.

Ni ushauri tuu!. Hongera Shujaa Ludo!, tutakukumbuka!.

Thanks.

Pasco.
 
Nilikuwa sijakubaliana na waliosema kuwa Ludo "yupo kazini", sasa naweza kukubali.
Lakini hata hivyo, I still underestimate your strategies, you seem to be an amateur!!
 
La ajabu ni lipi? Hujui kwamba viongozi inabidi wapewe posho? Wao wako kazini kuratibu shughuli
 
I have told him, his is an amateur, I underestimate him.
 

Mkuu Pasco.
Nimekusoma na naheshimu observation zako. umesema mengi na bila shaka unazo grounds za kusema hayo. naona kwa jicho pana kila kauli ulizosema. ingawa sidhani kuwa umeelezwa juu ya mpango wa mimi kuwa "disposed the erlier the better!" disposed???? naam, inawezekana,inawezekana. lakini ninaweza kufanya nini wakati nia hiyo ipo? Biblia husema Bwana asipolinda nyumba wailindao hukesha bure tu. haya mengine ya kuwa insane kama ulivyosema kila mmoja huwa na insanity kwa kiasi chake ila tunazidiana tu.
Pasco, ni kweli mtanikumbuka.
 


Mkuu Pasco

Umenikumbusha maneno ya hekima niliyopewa siku moja na mzee mmoja wahuko Singida,

Yeye anasema kule kwao Kijijini mwenye Ngozi/kofia ya FISI ni shujaa zaidi ya mwenye Ngozi/Kofia ya simba kwa maana kumua simba ni rahisi kuliko Fisi, manaa Fisi yeye akiona KIMENUKA najikimbilia pembeni na kupotea, Simba akiona kimenuka yeye anajifanya mwamba na kuanza kupigana na kupambana na mwisho wake ni Kifo.

So nilijifunza tokea siku hiyo kuto kuwa kimbelembele na kujifanya unahaki hata kama ni kweli maana wansema as long as utamdhalilisha mtu basi hakika itabaki moyoni kwake na inaweza kusababishia kulipa Kisasi.

Ni hayo tu. kwa Kijana namshahuri ajifunze kuwa FISI na sio SIMBA hata kama anajiamini yupo sahihi.
 
Last edited by a moderator:
mkuu, kwani lini anekihama CHADEMA cz bado ameandika chama changu a.k.a CHADEMA alafu we unasema ulipokuwa huko cdm sasa mkweli ni nani kati yenu?
 

hadithi yako inatufundisha nn
 

Shikamoo mkuu
Sina cha kuongeza
 
Mkuu Pasco.
Nimekusoma na naheshimu observation zako.
Pasco, ni kweli mtanikumbuka.
Mkuu Ludo, tutakukumbuka Daima Milele!.
Hata wana CCM wanaupenda ukweli, wanamkumbuka Horace Kolimba daima milele!.
Hata Wanachadema wanaopenda haki, wanamkumbuka Chacha Wangwe Daima Milele!.
Hata wanausama (Tiss) wanaochukia "dirty games" wanamkumbuka Imran Kombe daima milele!.
Hata wandishi wa habari za uchunguzi, wanamkumbuka Stan Katabalo daima milele!.

Joseph Ludovick tutakukumbuka daima milele!.

Ila pia hata mimi, kwa enzi zangu za "Kiti Moto" nilijiachia kabla sijakumbukwa daima milele!.
Thanks.

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…