CHADEMA hujafa hujaumbika

Mbona CHADEMA ilisha kusanya million 22 na kukabidhi kwa familia ya Prof j. Na pia CHADEMA walituma salamu za shukrani kwa wananchi waliohusika. Tatizo mnafanya siasa Hadi kwenye ugonjwa wa mtu. Mnatafuta Mambo madogo ili muishushe CHADEMA.
Nafikiri ana maanisha kwamba Harakati za kuchangisha hizo hela kumjali kwa kumtembelea hazikuanzishwa na chadema kama chama wao wamedandia mbele ya safari tu
 
CCM imekuwa kimbelembele kwenye ugonjwa wa prof j kwasababu inajua ilichomfanyia huyo mgonjwa mbona tundu lissu mlinyima pesa ya matibabu tena alikuwa bungeni acha huyu mstaafu CCM ina uhuni wa enzi za laizoni😃😃
 
Inakuuma sana eeh? Ichomoe
 
Sidhani kama Profesa J au familia yake waliomba msaada kwa mtu au chama chochote. Ni watu tuu ndio wanaogongana kumchangia. Na wengine kama aliyeleta mada hii hapa wanajaribu kutumia ugonjwa kwa ajenda zao wenyewe.

Amandla...
 
Subiri prof j mwenyewe apone ataeleza
 
siasa hadi kwenye uhai na afya zetu!!

hii nchi
 
Mbowe anachangiwa pia. Mbowe alikua na chansi ya kuimaliza kesi akasema ataendelea kukaa mahabusu. Baadaye kidogo anawavuta wananchi kwenye kesi kwa kupitia michango. A billionaire na mnufaika wa 200M for years

Watu wachache sana wanaweza kuta hoja wakaijibu. Hao watu hawapo ccm wala chadema, kote mwendo ni spinning.

Kilichoandikwa kwenye uzi na majibu yanayotolewa (Plus hili lako) ni mbingu na ardhi.
 
Hivi we BWANA MDOGO UNA SHIDA GANI NA CHADEMA???

UNAKUWA UNA GUBU....KAMA GASHI....😶😶🙄🙄
 

Kama ana uwezo hiyo familia yake ilitokea wapi kutaka michango ya matibabu? Isitoshe hilo la upendo limefanyika lakini siasa chafu zinataka kutawala, hivyo tunaweka rekodi sawa kwa wahuni wote.
 

Serekali pia inachangia mawikili wa Mbowe? Familia ya Mbowe imejitokeza kutaka mchango kwa mawakili wa Mbowe? Mbowe alikuwa na chance ya kumaliza kesi vipi wakati iko mahakamani?
 
Acha uchochezi na wivu weye, Tena porojo zako nazifananisha na zile za Mr. Kiroboto
 
Jpm na kundi lake la majambazi walichukua pesa zake zote plus kuharibu shamba lake,jpm kafa kwa kumeza ulimi kwa kupigwa na uviko...yule jambazi sugu wa ccm sabaya yuko kisongo anapakwa kilainishi tu
 
[emoji871]Umeongea vizuri sana!

[emoji871]Lakini yageuze hayo maswali yawe kwa Mbowe pia.

[emoji871]Mbowe mnayemchangia pesa za kesi iliyoko mahakamani kwa sasa.

[emoji871]Amekuwa mbunge kwa miaka mingapi?

[emoji871]Mbowe Amekuwa mwenyekiti kwa miaka mingapi?

[emoji871]Mbowe yeye amepeleka wapi mafao yake,endapo tunahoji mafao ya Prof J?

[emoji871]Mbowe amepeleka wapi 1b,alizojikusanyia kupitia makato kwenye posho na mishahara ya wabunge na madiwani.

[emoji871]Mbowe mnayemchangia si ndie huyo mwenye ukwasi wa mahoteli ya kitalii ya Protea?

[emoji871]Huyo si ndie mmiliki wa Aishi Machame?

[emoji871]Je yeye kwa nini astahili kuchangiwa,lakini profesa J ambaye sio mmachame mnasema ajihudumie?

[emoji871]Hamna hata haya wala Soni enyi watu wa
[emoji116]
Tindo
 
[emoji871]Vema mwakibinga umejitokeza na kuusema ukweli toka ndani ya Chadema yenu.

[emoji871]Wengine tukisema ukweli kama huu,tunaishia kuitwa Lumumba buku 7.

[emoji871]Wewe #Mwakibinga umejitokeza hadharani kuwashitua hao wenzako wa kusini ili waelewe kwamba huko kaskazini mnaitwa "CHASAKA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…