dr. gracemary
Member
- Jul 7, 2011
- 32
- 6
Nipo tayari kuchangia hili.CCM kimekuwa genge la mauaji.
Wananchi wanapaswa kuchukua maamuzi mazito dhidi ya CCM vinginevyo hiki chama kitatumaliza.
UKIPENDA HAKI KUWA MAKINI NA CCM.
CDM tunawangoja...tuko tayari kuchangia sio tu pesa bali hata damu...mashijaa wameuliwa Igunga sasa hakuna kulala
siasa bila propaganda haziendi. Sera na propaganda ni muhimu. Ccm waliitumia, cdm nao waitumie ila kwa malengo
damu utachangia wewe mwenyewe. Ulaaniwe.
Tupo pamoja Mkuu, ni wazo zuri sana hili ila uchangiaji wake si lazima uwe kwa M-pesa unaweza ukamwona Mbunge yeyote wa CDM au Diwani Makini wa CDM then akakupa utaratibu wa kufuata.Kwa vyovyote vile mwaka 2015 tunahitaji rais mpya, na maandalizi ni lazima yaanze sasa, wanachi wameisha ichoka ccm, huko kanda ya kati tumeshuhudia wenyewe...watu wameuwawa ili wengine washinde HADI WANAWAKE WENZANGU, inauma sana!. Nawaomba sana CDM anzeni sasa hivi kuzunguka kijiji hadi kijiji ili kuwaambia wananchi makosa ya CCM na sababu kwa nini hawafai tena kuiongoza nchi, kisha elezeni mtashirikiana na wanachi kufanya nini, fungueni matawi na mweke uongozi huko vijijini. Wananchi wapo tayari kuchangia pesa kwa hali na mali .ili kuliwezesha Chopa kuruka. Wananchi tunataka ukombozi na tuko tayari kuchangia kwa wazi ama kwa siri, CDM anzishe akaunti yenu ya M-PESA na mtujulishe tuwawezeshe.
Ni sawa na genge la OSAMA BIN Laden.Duh....CCM=CHAMA CHA MAJANGIRI WAUAJI
Ni sawa na genge la OSAMA BIN Laden.