dr. gracemary
Member
- Jul 7, 2011
- 32
- 6
Kwa vyovyote vile mwaka 2015 tunahitaji rais mpya, na maandalizi ni lazima yaanze sasa, wanachi wameisha ichoka ccm, huko kanda ya kati tumeshuhudia wenyewe...watu wameuwawa ili wengine washinde HADI WANAWAKE WENZANGU, inauma sana!. Nawaomba sana CDM anzeni sasa hivi kuzunguka kijiji hadi kijiji ili kuwaambia wananchi makosa ya CCM na sababu kwa nini hawafai tena kuiongoza nchi, kisha elezeni mtashirikiana na wanachi kufanya nini, fungueni matawi na mweke uongozi huko vijijini. Wananchi wapo tayari kuchangia pesa kwa hali na mali .ili kuliwezesha Chopa kuruka. Wananchi tunataka ukombozi na tuko tayari kuchangia kwa wazi ama kwa siri, CDM anzishe akaunti yenu ya M-PESA na mtujulishe tuwawezeshe.