Chadema hizi pesa mtalizipaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema hizi pesa mtalizipaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ally Kanah, Aug 15, 2012.

 1. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Hili swali watanzania wote tunajiuliza hatupati majibu hivi ninyi hizi pesa mtalipaje? au mtatuuza sisi wenyewe?
  View attachment 61959
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  credibility ya hili gazeti ikoje?

  Haya magazeti ya msimu wa uchaguzi nayo yana mambo.

  No comment kwa sasa.
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,510
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  What are talking about? Au sasa JF imekuwa ni gazeti la uhuru!!!!

  Tiba
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,858
  Likes Received: 5,107
  Trophy Points: 280
  pesa zpi? mbona wananchi wanazichanga wenyewe
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,660
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Kwenye hayo mameya yako
  wa dar es salaam
   
 6. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  tutalipa kupitia M-pesa,
  manake tumechoka na maswali ya NAPE!
   
 7. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Chadema ni janga ka Taifa
   
 8. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,106
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Watawala ni CCM, Sasa CDM itazilipaje hela zip? kutaja mnambwelambwela tu... zinatoka wap? sh ngap? na kwa nani? kwa makusud gan? hakuna majibu mpaka sasa...... sauti huru wanatafuta wateja tu, tusiwauhukumu wanajua walitendalo.

  SINZA
  CHAMA.
   
 9. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kuwa na akili kidogo acha akili za kushikiwa
   
 10. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Upuuzi Mtupu!

  jibuni Hoja za Lissu kwanza!
   
 11. k

  kilikiliani Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajiuliza wewe mwenyewe na hao vilaza wenzako, usitujumlishe wote, watu tuna akili zetu tunajua wapi tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,152
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Hii nchi ilivyo ya ajabu, magazeti ya kijinga na kishenzi kama haya yanatamba mtaani, tena yakiwa na habari za kipuuzi na kijinga. Magazeti mahiri na makini yalikwisha fungiwa zamani sana. Huu ni ujinga, kuliacha hili gazeti na kulifungia mwanahalisi ni uendawazimu.
   
 13. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Wako uwerevu huu UPUUZ ama kweli CHADOMO ni ya VILAZA mkishikwa kwenye kona mnaleta vioja teh teh
   
 14. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mhhhhhhhhhhhhhhhh!! Huyu jamaa kweli chizi
   
 15. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Gazeti lolote linalofichua maovu ya CHADOMI linakuwa la kipuuzi ndio hivyo eee? Linaloisifia UMBEA na UNAFIKI wao linakuwa lakijanja si ndio maana yake
   
 16. Imany John

  Imany John Verified User

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Free MWANAHALISI.

  Hatuitaji magazeti yanayoripoti events,tunaitaji magazeti ya kiuchunguzi!

  Sauti ushuru inatudhuru tusiweza kulipa japo kidogo.
   
 17. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Wee una akili au kuna watu wana kuremote? Jitambue kijana acha UZUZU jibu hoja acha kukurupuka
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Masaburi kazini vichwa mnafugia nywele!
   
 19. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Uzuzu at work
   
 20. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna awezaye kujibu hoja za Lissu, kama yupo ajitokeze na kukanusha huo ushahidi wake tuone kwani hata baadhi ya majaji walikuwa na malalamiko kibao, na huenda siku moja wakapinga yanayofanywa na huyo/hao mabosi wao kwa njia ya maandamano.
   
Loading...