CHADEMA...hii trend sio

CHADEMA...hii trend sio

Hapo kamanda umenena. Sina nyongeza. Wakuu wafanyie kazi hilo ni wazi zuri na la msingi kabisa.
 
Ccm wanawake wanarundikana kwa kuwa wanapewa kanga,elfu kum,sukari..nk..pia kumbuka kuwa wengi wa viongoz wa ccm wanawahonga na kuwalaza wanawake hata watoto wadogo mf kapuya,nchemba kule igunga.
Wamama wakipewa tu sukari,tshirt na kuahidiwa mapesa mingi akiwa karb na viongoz wa ccm wanakubali...
Tuache hayo,mikutano ya chadema wapo wanawake tena wengi tu,nakushangaa unavyosema wanawake hawapo kwenye mktn ya cdm..kweny mktn wa m4c-OPD sombetin Arusha ambao nilihudhuria,wanawake walijaa sana tu..
Mikutano mingine ya cdm,wanawake wanatishwa na ccm kwa kusaidiana na polic kuwa kutakuwa na mabom msiende..

Nataka pia kukuliza,wabunge weng wa cdm walioshinda ubunge,kama wanawake ndo wengi na hawaiungi mkono chadema,iweje washinde ubunge kweny majimbo yao?

Kwenye uchaguz wa ubunge kule Arumeru mashariki,joshua Nasar alishinda kwa kishindo na alizipata pia kura za wanawake..
Najua yote vita ya udini,ukabila,usaliti mmeshindwa sasa mnakuja na sera ya wamama kutokuwepo kwenye mikutano ya cdm!! Wanaweza wasihudhurie wote lakin wakapiga kura chadema..kumbuka pia vijna wa taifa hil ni wengi na katk vita hii,ccm hawatak kusikia wakipiga kura 2015,mtaj wao ni wazee wakiwemo wanawake,japo sasa wamegawanyka,wengine wapo cdm na wengine ccm...

Kumbuka Nape alisema,' wazee wakiwemo wamama wanasubir kufa,japo wamama vijana hawatakufa..japo sikuelewa kuwa unazungumzia wmama wa rika ipi kwenda kwenye mktn ya cdm...coz wamama wa umri wako wamebadilika sana,isipokuwa wamama wa umri mkubwa hawatak kuikacha ccm...so wakiwa cdm,wanaweza kuongeza spid ya usaliti...
 
Niko kwenye mkutano wa Dr Slaa hapa Musoma. Mada kuu ni umuhimu wa kuwajali wanawake. Amesema mwaka huu ni wanawake kwa Chadema.
 
Back
Top Bottom