SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,845
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeees.
Nimewapa salam makamanda wa CHADEMA na msio chadema pia.
Wakuu kama mmekua wafuatiliaji wazuri wa mikutano ya hadhara na pia makongamano mengi ya wazi ya chama cha demokrasia na maendeleo, kuna jambo limekua linajidhihirisha waziwazi lakini sijapata kuona kama kuna juhudi za makusudi za kulishughulikia.
Swala lenyewe ni "audience" ya chadema. karibia asilimia tisini na saba (kwa makisio) ya watu wote wanaohudhuria mikutano katika operation mbalimbali ni wanaume. Inawezekana likaonekana si tatizo, lakini katika siasa ni tatizo la msingi sana. Support ya wanawake ni muhimu sana katika maendeleo ya chama, hasa ukizingatia kuwa wanawake wana ushawishi mkubwa sana katika jamii.
Hata TANU ilipokuwa ikitafuta uhuru, chini ya nyerere waliona hili na kuamua kuanzisha "wing" ya wanawake ili mapambano yasiwe ya jinsia moja.
Sijawai sikia kama CHADEMA wana jumuia ya wanawake au "wing" ya wanawake katika chama (i stand to be corrected). Hili ni tatizo la kimsingi sana hasa katika wakati huu ambapo chama kina nia ya kuchukua dora. Itakua ngumu sana kuwaondoa CCM bila kuwa na support ya wanawake. Wanawake ni wapiga kura wazuri sana kuliko wanaume, wanawake si vigeugeu sana kama wanaume, wanawake katika familia wanaushawishi mkubwa kwa watoto hasa teenagers kuliko wanaume ,Pia wanawake ni wengi kuliko wanaume.
CHADEMA pia kuweni makini sana na "slogan" zinazotumiwa na chama, inawezekana ikawa ni mojawapo ya kikwazo kwa wanawake kujiunga katika mapambano ya chama. Wanawake wako very "protective" so tunapokuwa na "slogan" ambazo ni "agressive" sana na haziko "GENDER SENSITIVE" tunakua tunawatisha na kuwatia uoga. kwa mfano "Hakuna kulala mpaka kieleweke" "operations" ni maneno ya kawaida lakini kwa watu wenye asili ya kuwa "very protective" yanawapa maana nyingi zaidi ya moja. Maneno haya yanawatisha kina mama, wamezoea kusikia operation za kijeshi, sasa hizi za kichama wasipofafanuliwa inakua ngumu sana kujua yaliyomo.
Pia wabunge wanawake walio chadema sisikii wakifanya vikao na wanawake wenzao, wala mikutano ya kuwahamasisha. Sijui ni kwa nini lakini 'men are so opportunistic " that depending on them completely may lead into 'abyss"
Fanyieni kazi ni mapema bado, KAMA hamtaki hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa: