Mkuu JJB, unasahau historia ya Mwalimu Nyerere kuchangiwa hela na makwabela kwenda UNO (United Nations) kudai uhuru wa Tanganyika. Pia CHADEMA inachangiwa na makabwela wenye matumaini ya kupata ukombozi wa maisha bora kwa kutoa michango yao midogo lakini kwa vile ni wengi na ndiyo watasaidia kuipeleka CHADEMA IKULU kushika dola. Tatizo CCM mnawapuuza makwabela tofauti na Mwalimu Nyerere na kupokea fedha zenye harufu ya ufisadi kupitia EPA, DEEP GREEN, RICHMOND n.k na (CCM) kuwalinda mafisadi kwa nguvu zenu zote.