Chadema hela ya kufanyia mikutano wanatoa wapi?

Hivi BAVICHA jinsia ya kike mnaifanya kama tusi?

Maana naona mnadhalilisha kweli mama na dada zetu. Kama huwezi kuitetea CHADEMA kwa hoja nenda kalime kijijini kwenu.
mbona we hauitetei CCM kwa hoja? Zaidi ya uzushi kwa wapinzani?
 
Hivi BAVICHA jinsia ya kike mnaifanya kama tusi?

Maana naona mnadhalilisha kweli mama na dada zetu. Kama huwezi kuitetea CHADEMA kwa hoja nenda kalime kijijini kwenu.
Tusi limetoka wapi hapa mamake! CHADEMA haiitaji kutetewa , kiuhalisi inajitetea yenyewe. unaikana jinsia yako HAMY-D, ukihamia CHADEMA tunakupa cheo katika umoja wa wamama - BAWACHA.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?
HAMY-D, Umekuwa ukilalamika sana hapa kuwa haijulikani fedha nyingi za ruzuku wanazopata CHADEMA zinaenda wapi. Kwa taarifa yako, hayo ndio matumizi ya ruzuku na michango mingine toka kwa wapenda mabadiliko!
 
Hivi vilemba, kanga, tshirts za CCM zinazogawiwa bure mitaani pesa ya kununulia inatoka wapi?
 
Wewe ni mshabiki tu!cha kukushauri tembelea ofisi za CDM Usiulize wakati taarifa zetu ziko wazi.
 
Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?
"Makadilio" ndiyo nini? Andika Kiswahili fasaha. Umefika hapa hujui matumizi ya "r" na "l"....! Nyamb@fu
 
Mimi kama raia wa Tanzania ningependa kufahamu hela ya kufanyia mikutano ya CHADEMA inatoka wapi?

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mikutano ya kitaifa inayofanywa na viongozi wa CHADEMA si chini ya dola za kimarekani 5000. Lakini cha ajabu CHADEMA wanaweza kufanya mikutano mingi sana bila ya kupumzika.

Nina nia nzuri sana ya kufahamu haya jamani. Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na ningeomba viongozi au wanachama wenzangu mnijulishe kuhusu hili.

Wewe ni mwanachama mnafiki....hilo siyo swali la kuuliza
 
Hivi BAVICHA jinsia ya kike mnaifanya kama tusi?

Maana naona mnadhalilisha kweli mama na dada zetu. Kama huwezi kuitetea CHADEMA kwa hoja nenda kalime kijijini kwenu.

wewe ndio unadhalilisha jinsia ya kike....kwa kuitwa mama ilibidi ushukuru maana umeheshimiwa.!!
 
Mimi kama raia wa Tanzania ningependa kufahamu hela ya kufanyia mikutano ya CHADEMA inatoka wapi?

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mikutano ya kitaifa inayofanywa na viongozi wa CHADEMA si chini ya dola za kimarekani 5000. Lakini cha ajabu CHADEMA wanaweza kufanya mikutano mingi sana bila ya kupumzika.

Nina nia nzuri sana ya kufahamu haya jamani. Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na ningeomba viongozi au wanachama wenzangu mnijulishe kuhusu hili.

Huo utafiti umeufanyia wapi? Au umefanyia lumumba?
 
Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?

Zinatoka lumumba. Mtateseka sana kwa CDM NA IDADI YA MIKUTANO ITAONGEZEKA. Tunampango wakuongeza tena chopa.
 
Wakiwa wanatuchangisha michango, mlikuwa mnabana pua... "kwa nini CHADEMA inawachangisha michango wanachama/wapenzi wao"

Sasa hivi tena mnabana pua "CHADEMA wanatoa wapi Pesa za kufanyia mikutano"

Yani nyie lumumba project, wote mtakua na mimba changa zinawasumbua....

hapa na bado, kuelekea 2015, lazima hizo mimba zenu mjifungue kabla ya miezi 9...
 
mkuu unaijua milioni mia wewe? acha mzaha kwenye mijadala kama hii!

Ndugu yangu Mchaka Mchaka tangu lini HAMY-D akaitwa mkuu? Nina kushangaa sana, kwani hujui huyu jamaa kazi yake ni nini hapa. Tafadhari achana naye kwani hana lolote jipya!
 
Hivi BAVICHA jinsia ya kike mnaifanya kama tusi?

Maana naona mnadhalilisha kweli mama na dada zetu. Kama huwezi kuitetea CHADEMA kwa hoja nenda kalime kijijini kwenu.

Lini uliweza kuwatetea magamba kwa hoja zaidi ya kuichafua CDM KWA UZUSHI.
 
We mwanachama hai halafu haujui cdm wanapata wapi fedha kurun mikutano??? Nenda kale buku 7 yako fasta!! "M4C WITH NO APOLOGY"
 
Mimi kama raia wa Tanzania ningependa kufahamu hela ya kufanyia mikutano ya CHADEMA inatoka wapi?

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mikutano ya kitaifa inayofanywa na viongozi wa CHADEMA si chini ya dola za kimarekani 5000. Lakini cha ajabu CHADEMA wanaweza kufanya mikutano mingi sana bila ya kupumzika.

Nina nia nzuri sana ya kufahamu haya jamani. Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na ningeomba viongozi au wanachama wenzangu mnijulishe kuhusu hili.
Mwanachama hai au mamluki hai!? Swali lako lina harufu ya usaliti; can you ask the same to JK pesa zetu kule Uswiss zitarudi lini? Mafisadi watfilisiwa lini? Kwa nini Polisi wanatumia kodi za wananchi kuwaua hao hao walipa kodi!
 
Back
Top Bottom