Chadema hela ya kufanyia mikutano wanatoa wapi?

Kwani manadhani sisi CDM ni maskini watu wa buku saba...? zipo kidogo...za jasho letu lakin si ufisadi wala meno ya tembo...
 
kwani magamba wanapata wapi pesa,kanga, tshirt,vitenge,skafu za kuhonga wapigakura bila kusahau ununuaji wa shahada?
 
Mimi kama raia wa Tanzania ningependa kufahamu hela ya kufanyia mikutano ya CHADEMA inatoka wapi?

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mikutano ya kitaifa inayofanywa na viongozi wa CHADEMA si chini ya dola za kimarekani 5000. Lakini cha ajabu CHADEMA wanaweza kufanya mikutano mingi sana bila ya kupumzika.

Nina nia nzuri sana ya kufahamu haya jamani. Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na ningeomba viongozi au wanachama wenzangu mnijulishe kuhusu hili.

Soma katiba inaeleza namna chama kinavyoweza kupata mapato.
 
Mimi kama raia wa Tanzania ningependa kufahamu hela ya kufanyia mikutano ya CHADEMA inatoka wapi?

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mikutano ya kitaifa inayofanywa na viongozi wa CHADEMA si chini ya dola za kimarekani 5000. Lakini cha ajabu CHADEMA wanaweza kufanya mikutano mingi sana bila ya kupumzika.

Nina nia nzuri sana ya kufahamu haya jamani. Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na ningeomba viongozi au wanachama wenzangu mnijulishe kuhusu hili.

bro we unaakili nyingi sana Mungu atakuwezesha kupata kweli mamburula ndio watakao okotwa tu sio sis wajanja wakiona helkopta wanakimbilia hawajui inatakiwa irudishe garama na faida juu . Mtawaokota hao hao wasiojitambua .
 
Mimi kama raia wa Tanzania ningependa kufahamu hela ya kufanyia mikutano ya CHADEMA inatoka wapi?

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mikutano ya kitaifa inayofanywa na viongozi wa CHADEMA si chini ya dola za kimarekani 5000. Lakini cha ajabu CHADEMA wanaweza kufanya mikutano mingi sana bila ya kupumzika.

Nina nia nzuri sana ya kufahamu haya jamani. Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na ningeomba viongozi au wanachama wenzangu mnijulishe kuhusu hili.

Chama kipo mikononi mwa wananchi....Wananchi ndo wanao kichangia chama....Vipi nikupe namba za M-Pesa uchangie angalau na wewe ili kuongeza kasi ya ukombozi Tanzania...?
 
Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?

muulize kikwete atawataja lini wauza unga wakumwa kwi kwi kwi,ubwege ni ugonjwa usiotibika
 
JF sio sehemu sahihi kuulizia mapato na matumizi ya Chama chochote cha siasa, kama kweli una nia ya kujua mapato na matumizi ya chama chochote nenda ofisi husika..
 
najuta kuzaliwa tanzania,mana bora ningezaliwa china niwe mpija karate,kuliko kuzaliwa kwa watu wenye ufinyu wa fikra na ulevi wa vyama,swali zuri tatizo waliowekewa wajibu wanafikir kwa ku2mia mat......k badala ya ubongo, mtu anaitaji majibu nyie mnampa matusi, kama wewe umefanya chama kabila usitake kila mtu afuate utakavyo...kama kweli CHADEMA ni chama cha demokrasia na maendeleo upo wapi hapo uhuru wa kujieleza,kuhoji na kuchangia? Au ndo mnajitete kwa msemo ukimchunguza bata hauta mla? Always matusi yameumbiwa watu wenye mdororo wa kimawazo kama short cut ya kukwepa reality...Tawile ni mfumo wa kizaman siku hizi kila ki2 lazima 2hoji na kinachohitajika ni majibu sio matusi
 
Akili ya panya buku...hivi kweli hata huko china wanaweza kukupa mapato na matumizi kwenye blogs?nenda kwa utoh au yule mzee wenu mwenye mwanya
 
Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?

CCM mnachanganyikiwa sana na hapo kwenye red, jamaa wakiingia mahali na chopa lao ccm huwa wanajisikia kichefuchefu sana kwani jamii yote ya eneo husika huwa wanahama kimawazo na kimwili kuwalaki chadema (makamanda wa anga), ha ha ha ha haaaa! Mtakomaje? Na ninyi si mtumie hizo fedha chafu (za kifisadi na sembe) muwe na chopa nyingi zaidi?
 
tujari kujiuliza ccm walimlipa bei gani apolis alie lipuwa bom pale soweto?.
then Mwigulu ana pata wapi hela za kufadhili vikundi vya wahuni?...
je walio mtesa Ulimboka walilibwa bei gani na zilitoka wapi? baada ya kuuwawa kwa Mwangosi wauwaji walipewa posho na kupandishwa vyeo, je pesa zilitoka wapi? baada ya kujibu hayo tunaweza kurudi kwa chadema na kuuliza hilo swali.
 
Mimi kama raia wa Tanzania ningependa kufahamu hela ya kufanyia mikutano ya CHADEMA inatoka wapi?

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mikutano ya kitaifa inayofanywa na viongozi wa CHADEMA si chini ya dola za kimarekani 5000. Lakini cha ajabu CHADEMA wanaweza kufanya mikutano mingi sana bila ya kupumzika.

Nina nia nzuri sana ya kufahamu haya jamani. Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na ningeomba viongozi au wanachama wenzangu mnijulishe kuhusu hili.
We ni mpuuzi tu... Huo utafiti wako kuwa mikutano ya CDM inagharimu "dola"... Uweke hapa tuuone. Mwaka 2011 Dr Slaa alikuja Morogoro kufanya mkutano, kwenye ofisi ya mkoa wadau tukapiga donation tukapata sh 240,000, elfu 65 ikatumika kukodi gari ya matangazo, na nyingine tukalipia hoteli na chakula kwa ajili ya watu wawili walioandamana nae, na dereva wa Slaa. Slaa mwenyewe alikwenda kulala numbani kwa mwanachama mmoja wa CDM mkoani hapa na kesho yake akaendelea na ziara zake. Mafuta ya gari moja iliyokuwa kwenye msafara wa Slaa nina uhakika hayakugharimu zaidi ya elfu 20 kwa safari zilizohusu mkutano huu.

Haya, hebu wewe tupe huo mchanganuo wako wa "dola" 5000...
 
Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?
Hizi ndio akili za LB7... We unadhani CDM ruzuku na michango ya wananchi wanaenda kubanjuliana znzb kama shigela na edda?!!!
 
Kwani manadhani sisi CDM ni maskini watu wa buku saba...? zipo kidogo...za jasho letu lakin si ufisadi wala meno ya tembo...
Umesahau na mgawo wa madawa ya kulevya. Maana ili ufanye hiyo biashara lazima utenge za CCM pembeni, la sivyo utakwenda na maji au utakuwa kwenye orodha.
 
Suala la katiba mpya lilikuwa kwenye ilani yao, tofauti na waliolidandia. Kwa hiyo walikuwa wamejiandaa kibajeti
 
Wakiwa wanatuchangisha michango, mlikuwa mnabana pua... "kwa nini CHADEMA inawachangisha michango wanachama/wapenzi wao"

Sasa hivi tena mnabana pua "CHADEMA wanatoa wapi Pesa za kufanyia mikutano"

Yani nyie lumumba project, wote mtakua na mimba changa zinawasumbua....

hapa na bado, kuelekea 2015, lazima hizo mimba zenu mjifungue kabla ya miezi 9...

Mkuu...upo.....long time.
Hawa wapuuzi waache walivyo.
 
Hizi ndio akili za LB7... We unadhani CDM ruzuku na michango ya wananchi wanaenda kubanjuliana znzb kama shigela na edda?!!!

Huu uzi umenifurahisha sana.
Naona mnawapa hawa kenge maji za pua tu.
 
Back
Top Bottom