ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Wamepewa pesa toka kwa wafanyabiashara wa Ulaya. Ahadi waliyotoa mpaka wakapewa hizo pesa ni siri yao...
Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?
Mleta mada amezoea mambo ya CCM kwamba kitu cha gharama ya 1,000/= kinaandikiwa 100,000/=sisi wanachadema tunakichangia chama ndio maana mkutano ukiisha kuna box linapitishwa mwenye nacho anatoa!! pili Ruzuku inatusaidia.
Tunachangia sisi wananchi wapenda mabadiliko
kwahiyo kumbe wanawakamua wananchi wavinjar na helkopta wakat wangeweza kutumia usafir wa barabara maana sasahv lami kila mahal
Unaacha kuuliza mambo muhimu juu ya walioficha fedha Uswiss lini watatajwa na kurudisha fedha hizo zije zifanye shughuli za maendeleo kila mkilala,mkisinzia na mkiamka ni CDM tu.Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?
Kwanza rekebisha kiasi cha pesa, umefanya makadilio ya chini sana kiasi cha kuhama kwenye uhalisia, kwa ufupi, mikutano ya CHADEMA ina husisha 'chopa', nadhani kwa makadilio ilipaswa uweke si chini ya milioni 100 kwa mkutano. Sasa uanze kuhoji, pesa wanatoa wapi?
kwahiyo kumbe wanawakamua wananchi wavinjar na helkopta wakat wangeweza kutumia usafir wa barabara maana sasahv lami kila mahal
Mimi kama raia wa Tanzania ningependa kufahamu hela ya kufanyia mikutano ya CHADEMA inatoka wapi?
Kwa utafiti mdogo nilioufanya mikutano ya kitaifa inayofanywa na viongozi wa CHADEMA si chini ya dola za kimarekani 5000. Lakini cha ajabu CHADEMA wanaweza kufanya mikutano mingi sana bila ya kupumzika.
Nina nia nzuri sana ya kufahamu haya jamani. Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA na ningeomba viongozi au wanachama wenzangu mnijulishe kuhusu hili.
Hivi BAVICHA jinsia ya kike mnaifanya kama tusi?
Maana naona mnadhalilisha kweli mama na dada zetu. Kama huwezi kuitetea CHADEMA kwa hoja nenda kalime kijijini kwenu.