CHADEMA HEDARU yang'ara MNO !

CHADEMA HEDARU yang'ara MNO !

inasemekana KIFO kinafanana tu ! Kwamba aliyeugua akafa ni sawa tu na aliyeliwa na Mamba au simba ama ni sawa tu na alyekufa kwa kuungua na moto ! Nimepita HEDARU mchana huu , kiukweli ni kwamba pale ccm imeteketea ! Kila UNAYEJARIBU KUMHUSISHA NA CCM ANARUKA FUTI MIA ! HIVI CCM IMEBAKI WAPI , NA JE INAKUFA KIFO GANI ? HONGERENI SANA CDM HEDARU , SOURCE NI MIMI MWENYEWE SAFARINI KUREJEA DAR .

Mkuu Erythrocyte anayeishabikia ccm ujue anamaslahi binafsi aidha ya moja kwa moja au la....Vinginevyo ccm ni chama mfu....
 
Last edited by a moderator:
Mtwara, Lindi == CUF; Songea == CCM. Hawa wamegoma kubadilika au CDM mmewashindwa??

unakijua kisa cha serikali kuzuia shughuli za siasa mikoa ya kusini , kwa kisingizio cha gesi ? Cdm ni kama moto wa petrol haubakishi kitu ! Tumekaa kusini wiki 2 lakini zimeleta ukombozi wa milele. Wafungue milango tuingie waone kazi !
 
Afadhali ufanye hivyo,maana mazingira ya taarifa hii yaana maswali mengi ya kujiuliza!
Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yona nitazungukia hedaru na makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.
 
Afadhali ufanye hivyo,maana mazingira ya taarifa hii yaana maswali mengi ya kujiuliza!

kwa maelezo ya ndugu BOSCO NTAGANDA jana alikuwa alale maeneo yale , sasa kama unaona yuko kimya basi bila shaka pima mwenyewe , mmeishazoea kudanganywa na buku 7 fc , basi kila mtu mnamuona muongo !
 

Hedaru wanajitambua

Kuna lile kundi la 77% wanaoipenda ccm kama Simiyu Yetu [MENTION]FaizaFoxy [/MENTION] nk

Ni tofauti na makamanda wa Hedaru.
 
Last edited by a moderator:
Nimeskia umetaja CCeM ndiyo kitu gani hicho:A S-confused1:?
 
unakijua kisa cha serikali kuzuia shughuli za siasa mikoa ya kusini , kwa kisingizio cha gesi ? Cdm ni kama moto wa petrol haubakishi kitu ! Tumekaa kusini wiki 2 lakini zimeleta ukombozi wa milele. Wafungue milango tuingie waone kazi !

Kwa hiyo hawa kura zao mtazipataje?
 
cdm ni kama oxygen , hata ukifunga madirisha inapenya ! Hata hivyo shughuli za siasa kuendelea hivi punde tu .

Ila muwe makini sana na mtakayemuweka kugombea uraisi. Babu amezeeka na kuna watu wa dini Fulani hawamkubali. Mkicheza karata zenu vibaya hamuingii ikulu.
 
Back
Top Bottom