CHADEMA hawana tofauti na Korea Kaskazini

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,155
Reaction score
137,167
CHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.

Hahahahaaa....inachekesha.

Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?

Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?

Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.

Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.

Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!

Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!

Aibu.
 
Acha kuweweseka..
Na CDM inatawala nchi gani kwa sasa?
 
Kasome ripoti ya CAG ndio uje kuongea hizi pumba zako.
 
Sana tu!

Fikiria kwa mfano hivi sasa ndani ya CHADEMA nani ni presidential material?

Yeriko Nyerere na Halima Mdee?

Hahaaa
Mkuu wewe umechafuka humu ulishatoa details zako humu kisa papuchi, huelewi ushike wapi kamanda
 
CHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.

Hahahahaaa....inachekesha.

Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?

Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?

Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.

Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.

Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!

Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!

Aibu.
Unahangaika na hao?hilo ni kundi la kihuni tu kama yale makundi ya kule mexico ya wala unga
 
CCM wenye ofisi za kisasa wamisha leta maendeleao gani nchi hii tofauti na umasikini kuongezeka kila siku
 
Na hata serikali ya CCM haina tofauti na serikali ya ANC kipindi kile cha Jacob Zuma. Imekithiri kwa wizi na ufisadi. Haiwezekani tril 1.5 ipotelee kusikojulikana.
 
CHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.

Hahahahaaa....inachekesha.

Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?

Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?

Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.

Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.

Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!

Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!

Aibu.
aibu kubwa ni ipi... Chadema kufananishwa na Korea au kuwa boi wa wazungu kama ulivyo wewe?
 
Back
Top Bottom