MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Ni kweli mpango wa mungu hausemi uongo hata kidogo
Kwani Mzee Slaa yuko chama gani? Mbona ni gwiji wa uongo?
Ni kweli mpango wa mungu hausemi uongo hata kidogo
Moja ya vitu ambavyo vimekuwa vikinifurahisha Na kuiamini CHADEMA ni Viongozi wao kuwa na kujenga utamaduni wa kuongea kweli. Mara zote wamekuwa wakijitahidi kutafuta kweli ya wanachotaka kukisema kabla ya kukisema. Hata katika harakati zao za kukiimarisha chama chao CHADEMA wamekuwa wakiegemea katika kweli. Ni vigumu kukuta Viongozi wao kutoka ngazi ya juu mpaka chini wakiongea mambo yasiyo na facts ama ushahidi. Mara zote kweli imekuwa ikielezwa kweli.
Hii ni tofauti Na CCM ambayo harakati zake zote katika kukijenga chama chao zimejaa Uongo, uzushi, rushwa , ulozi, vitisho na hata kuhusishwa na vifo vya watu wakati mwingine. Mambo mengi ambayo yamekuwa yakisemwa Na Viongozi wa CCM huwa siyo ya kweli na yamejificha kwenye kivuli cha uongo na kila jambo wao limebezi katika propaganda. Kweli Kwa CCM huwa haielezwi kweli.
Ukichunguza na kuangalia kwa makini mambo yote yanayosemwa Na CCM juu ya CHADEMA ama upinzani(mifano ni mingi sana) hakuna lililowahi kuwa la kweli ni Uzushi; lakini hali ni tofauti inaposema CHADEMA huwa ni kweli tupu.
HIVYO; ukivipima vyama hivi katika mizania ya kweli, CCM mtaji wake mkubwa upo katika mambo yasiyo haki tofauti Na CHADEMA ama Upinzani ambavyo siku zote wamekuwa wakisimama kwenye kweli Na haki yote.
Maccm maongo mpka shetani anayashangaa.
Kazi kusingizia mapepo
tuwekee uongo wao mkuu ili tumzodoe mleta uzi .
Slaa pale shinyanga kwenye mkutano Wa hadhara alisimama na kuwambia watu wasimame Dk. Mona kumkumbuka mkuu Wa Mkoa Yohana balele amefariki dunia huo kwa chadema nadhani ni ukweli bila zuzu Kama ww wenye akili timamu hawawezi ishi chadema
punguani wahed. ushahidi wa bomu upo, lakini hauwezi kutolewa kwa poliCCM, ili wauchakachue, hadi itakapoundwa tume maalum ya kuchunguza ugaidi ule uliotekelezwa na CCM.
Kibabu, "tutachukua madaraka mwaka huu (2010) na siment tutauza shs 5000 tu"
Sasa we mnywa gongo ni kipi utakachoambiwa kuwa mume wenu kadanganya ukakubali?! kila unachoambiwa hutaki! haya mwambie aupeleke ushahidi the heague.
kibabu "kafulila ni mbunge wetu"!
Dr slaa anasema jose mshumbushi ni mke wake kumbe uongo bali ni mke wa watu huo nao siyo uongo?
We chizi kweli wewe! unajua kuwa chadema milaghai hakuna mfano. Mi kwa kuanzia bado nasubiri ushahidi wa video ya mbowe ya bomu la Olasiti, halafu nimwage sumu humu.
Kwani Mzee Slaa yuko chama gani? Mbona ni gwiji wa uongo?
Kibabu, "tutachukua madaraka mwaka huu (2010) na siment tutauza shs 5000 tu"
CHADEMA ILISHINDA urais 2010 - DR SLAA .