CCM ndo imewanywesha ivo viroba mana haijatoa dira kwa vijanaKijana wa Bar Vichaa. Naona umeshatoka kunyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu unatokwa na povu tu!
Hoja huna umebaki kutumia lugha chafu. "Viroba" vinapigwa marufuku sasa sijui hapo Kinondoni mtaa wa Ufipa mtakuwa mnanyweshwa kitu gani!
unaipima chadema kwa miaka 4,alafu iweje?
na ccm kwa miaka 50 unazungumziaje?
IMADA IMEFUNGWa
umefundishwa njia za kudai chako na si chukua chako mapema//ccm//Mmeshazoeshwa kufanyiwa uDictator na babu mnafikiri uDictator unafanyika kila sehemu? Hii mada ifungwe wewe ukiwa kama nani?
Tuambie CHADEMA imefanya kitu gani siyo kutuletea blah! blah! zako hapa.
kuwaelimisha watanzaia na kuwatoa kwenye usingizi mkubwa wa ujinga na kuwafanya wajitambue katika kudai haki zao ni zaidi ya barabara za lami na shule za kata mnazojivunia maccm........ hivyo chadema kazi yake ndio hiyo hawawezi fanya jengine kwasababu wao sio wanaoongoza nchi
hata wewe sioni hoja uliyoandika hapa.Kijana wa Bar Vichaa. Naona umeshatoka kunyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu unatokwa na povu tu!Hoja huna umebaki kutumia lugha chafu. "Viroba" vinapigwa marufuku sasa sijui hapo Kinondoni mtaa wa Ufipa mtakuwa mnanyweshwa kitu gani!
CHADEMA ni walaghai. Huyo mwenye CHADEMA, Mr. Mtei alikuwa ni kibaraka wa wakoloni.
Mkuu hebu kuwa mstaarabu kidogo,Mmeshazoeshwa kufanyiwa uDictator na babu mnafikiri uDictator unafanyika kila sehemu? Hii mada ifungwe wewe ukiwa kama nani?
Tuambie CHADEMA imefanya kitu gani siyo kutuletea blah! blah! zako hapa.
Mkuu hebu kuwa mstaarabu kidogo,
Mbona chadema imewafanyia mengi tu wanachi
Mandamano ya bila vibali,
Vurugu kila kukicha
Michango
kila kukicha
Babu kakopeshwa ruzuku
Dj anajiuzia magari yake bei mbaya
Na mengi tua au unataka mpaka viroba vya bure kabla ya mikutano ili akili iwe imechanganyikiwa
takribani miaka minane sasa tangu chadema kipate jina na umaarufu nchini.
Hapana shaka kuwa,si bob makani wala mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,bali ni zitto kabwe,na wilbroad slaa,katika bunge la jmt.
Ni hawa wawili ndio wamepelekea kimbunga cha wabunge toka cdm kuingia mjengoni bila hata wao kutarajia ktk uchaguzi wa 2010.
Matunda ya kimbunga cha cdm mjengoni mwaka 2010 ndio yamewafanya vijana wengi kuwa wajuaji na wabishi huku wote wakiamini kujirudia kwa kimbunga hicho ktk uchaguzi ujao nao waneemeke,ni ktk dhana hii hii vijana wengi hii leo wanajifanya watetezi wa watanzania,na walinzi wa rasilimali za nchi ili tu waneemeke 2015, nao watatue shida zao.
Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa cdm hawajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuwanunulia vijana viroba maana ndio mtaji wao.
Pia hakuna maendeleo katika majimbo yao.
Sugu,wenje,lema,lissu,msigwa,kiwia,machemli,n.k,mmeleta nini majimboni mwenu cha maendeleo ambacho ccm hawakufanya?mmejaa uongo,na wapindisha mambo wakubwa.
Kijana wa Bar Vichaa. Naona umeshatoka kunyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu unatokwa na povu tu!
Hoja huna umebaki kutumia lugha chafu. "Viroba" vinapigwa marufuku sasa sijui hapo Kinondoni mtaa wa Ufipa mtakuwa mnanyweshwa kitu gani!