CHADEMA hawajawafanyia watanzania chochote hadi sasa zaidi ya UONGO

unaipima chadema kwa miaka 4,alafu iweje?
na ccm kwa miaka 50 unazungumziaje?

IMADA IMEFUNGWa
 
Kijana wa Bar Vichaa. Naona umeshatoka kunyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu unatokwa na povu tu!

Hoja huna umebaki kutumia lugha chafu. "Viroba" vinapigwa marufuku sasa sijui hapo Kinondoni mtaa wa Ufipa mtakuwa mnanyweshwa kitu gani!
CCM ndo imewanywesha ivo viroba mana haijatoa dira kwa vijana
funga domo
 
unaipima chadema kwa miaka 4,alafu iweje?
na ccm kwa miaka 50 unazungumziaje?

IMADA IMEFUNGWa

Mmeshazoeshwa kufanyiwa uDictator na babu mnafikiri uDictator unafanyika kila sehemu? Hii mada ifungwe wewe ukiwa kama nani?

Tuambie CHADEMA imefanya kitu gani siyo kutuletea blah! blah! zako hapa.
 
Thread yako imeanza kwa kuwagawa wana CHADEMA kwa kumpa credit Zito na Slaa na kumponda Mbowe. Hilo umechemsha, CHADEMA inafanyakazi kwa team work. In fact, uongozi wa Mbowe ndio ambao utakumbukwa kwa mabadiliko makubwa katika siasa za Tanzania. Vitu vidogo viwili ambavyo ni muasisi wake, ni kufanya kampeni kwa kutumia helicopter mwaka 2005 mpka mgombea wa CCM naye mwaka 2010 akaamua kutumia helicopter. Pia ni muasisi wa mavazi ambayo CCM inayaogopa sana hapa Tanzania. Bado unamponda Mbowe. Hapo umechemsha, hutaeleweka.
CHADEMA hakijshika dola, hakikusanyi kodi kwa hiyo hakina lawama kwenye umasikini wa watanzania, bali magamba. Lakini endelea kupoteza muda wako na wengine wote mlioajiriwa kwa kazi hii ya kukipaka matope CHADEMA. Hata wale wanaokihusisha na ugaidi, wakumbuke tu kuwa HAMASI kiliitwa kikundi cha ugaidi lakini kikashinda uchaguzi Palestina
 
Nadhani ni vizuri mwanzisha mada akajaribu kurudi nyuma akaangalia enzi akina Nyerere na wazee wengine waliokuwa wanapigania uhuru walikuwa wameleta nini? Kumbuka wakoloni walikuwa wamejenga miundombinu kama reli mashule kwa uchache,je akina Nyerere wangekuwa na mtizamo wako unafikiri tungepata uhuru kweli?
Kazi ya CDM sasa sio kujenga barabara hiyo ni kazi ya Serikali kwani ndo inayokusanya kodi.

kama unataka kuona CDM wanafanya nini au watafanya nini basi wawezeshe washike dola then tuwajudge kuwa hawajafanya lolote.

CCM kinakosekana kitu kinachoitwa HONEST,COMMITMENT na PATRIOTISM.

CCM wote ni kama ukoo wa.............nya by Nasari
 
Mmeshazoeshwa kufanyiwa uDictator na babu mnafikiri uDictator unafanyika kila sehemu? Hii mada ifungwe wewe ukiwa kama nani?

Tuambie CHADEMA imefanya kitu gani siyo kutuletea blah! blah! zako hapa.
umefundishwa njia za kudai chako na si chukua chako mapema//ccm//
uDictata wanao waasisi wenu,wasiojua hata utaratibu
 
kuwaelimisha watanzaia na kuwatoa kwenye usingizi mkubwa wa ujinga na kuwafanya wajitambue katika kudai haki zao ni zaidi ya barabara za lami na shule za kata mnazojivunia maccm........ hivyo chadema kazi yake ndio hiyo hawawezi fanya jengine kwasababu wao sio wanaoongoza nchi

You NAIL IT.
 
Kijana wa Bar Vichaa. Naona umeshatoka kunyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu unatokwa na povu tu!Hoja huna umebaki kutumia lugha chafu. "Viroba" vinapigwa marufuku sasa sijui hapo Kinondoni mtaa wa Ufipa mtakuwa mnanyweshwa kitu gani!
hata wewe sioni hoja uliyoandika hapa.
 
CHADEMA ni walaghai. Huyo mwenye CHADEMA, Mr. Mtei alikuwa ni kibaraka wa wakoloni.

MBONA MSHIPA WA USO UMEKUSIMAMA.....!!!! Ni heri mtu akupatie ndoano ....... kuliko kukupatia samaki.....!!!!
 
Mmeshazoeshwa kufanyiwa uDictator na babu mnafikiri uDictator unafanyika kila sehemu? Hii mada ifungwe wewe ukiwa kama nani?

Tuambie CHADEMA imefanya kitu gani siyo kutuletea blah! blah! zako hapa.
Mkuu hebu kuwa mstaarabu kidogo,
Mbona chadema imewafanyia mengi tu wanachi
Mandamano ya bila vibali,
Vurugu kila kukicha
Michango
kila kukicha
Babu kakopeshwa ruzuku
Dj anajiuzia magari yake bei mbaya
Na mengi tua au unataka mpaka viroba vya bure kabla ya mikutano ili akili iwe imechanganyikiwa
 
Mkuu hebu kuwa mstaarabu kidogo,
Mbona chadema imewafanyia mengi tu wanachi
Mandamano ya bila vibali,
Vurugu kila kukicha
Michango
kila kukicha
Babu kakopeshwa ruzuku
Dj anajiuzia magari yake bei mbaya
Na mengi tua au unataka mpaka viroba vya bure kabla ya mikutano ili akili iwe imechanganyikiwa

Na kutembea na sumu mifukoni ili wawawekee watu kwenye vinywaji.
 
Hivi ww unaelewa unachoongea?
Ulishawahi kuwakabidhi dola wakakuangusha?
Hizi buku 7 za lumumba zitaendelea kuwadhalilisha hadi basi. Shame on u mtumwa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bora mimi ncjawafanyia kitu na siwalaghai kuliko nyie mnaotaka kumalizia kilichobaki.
 
takribani miaka minane sasa tangu chadema kipate jina na umaarufu nchini.
Hapana shaka kuwa,si bob makani wala mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,bali ni zitto kabwe,na wilbroad slaa,katika bunge la jmt.
Ni hawa wawili ndio wamepelekea kimbunga cha wabunge toka cdm kuingia mjengoni bila hata wao kutarajia ktk uchaguzi wa 2010.
Matunda ya kimbunga cha cdm mjengoni mwaka 2010 ndio yamewafanya vijana wengi kuwa wajuaji na wabishi huku wote wakiamini kujirudia kwa kimbunga hicho ktk uchaguzi ujao nao waneemeke,ni ktk dhana hii hii vijana wengi hii leo wanajifanya watetezi wa watanzania,na walinzi wa rasilimali za nchi ili tu waneemeke 2015, nao watatue shida zao.
Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa cdm hawajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuwanunulia vijana viroba maana ndio mtaji wao.
Pia hakuna maendeleo katika majimbo yao.
Sugu,wenje,lema,lissu,msigwa,kiwia,machemli,n.k,mmeleta nini majimboni mwenu cha maendeleo ambacho ccm hawakufanya?mmejaa uongo,na wapindisha mambo wakubwa.

acha ujinga wako! Unawezaje kufanya maendeleo ukiwa nje ya system ? Tupe inchi cdm upone! Umesema CDM haijaleta maendeleo nchini, tuna majimbo kama 52 hivi kati ya zaidi ya majimbo 350 hivi, = na 15% . tupe angalau 50% tu, uone mambo yetu! Chezea sisi wewe!
 
Tutakunywa mbege, ulanzi na komoni. 2015 tunahamia castle lager, safari lager, balimi, kilimanjaro lager, na serengeti lager. Unalo la zaidi?
 
Kijana wa Bar Vichaa. Naona umeshatoka kunyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu unatokwa na povu tu!

Hoja huna umebaki kutumia lugha chafu. "Viroba" vinapigwa marufuku sasa sijui hapo Kinondoni mtaa wa Ufipa mtakuwa mnanyweshwa kitu gani!

Mkuu mimi nimeuliza swali tu!
Viroba ni vinywaji kama vinywaji vinginel, tena ukitaka kujua zina soko mwulize mumeo Mwigulu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom