CHADEMA hawajawafanyia watanzania chochote hadi sasa zaidi ya UONGO

Kijana wa Bar Vichaa. Naona umeshatoka kunyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu unatokwa na povu tu!

Hoja huna umebaki kutumia lugha chafu. "Viroba" vinapigwa marufuku sasa sijui hapo Kinondoni mtaa wa Ufipa mtakuwa mnanyweshwa kitu gani!

kumbe mkuu ww ni myopic sana. yaani mawazo yako yamelala dar tu. hahahaa pole sana njoo kusini uone mambo.
 
hizi ni moja kati ya topic mtu anaanzisha ili tu watu wengi wachangie. hakuna hoja yenye mashiko kwa mtoa mada. ukweli anaujua anataka kuupindisha.

mimi binafsi sidanganyiki.
 
CHADEMA ikumbukwe hawana dola, dola iko chini ya CCM waweza kubadiri swali na kuuliza CCM wameifanyia nini Tanzania kwa miaka 50? CHADEMA kwa muda mfupi wa miaka minane wamewasaidia watanzania kuwatoa tongotongo za kutojua haki zao na kusimamia rasilimali zao! Maendeleo yaliyoletwa na CDM hayawezi kupimwa kirahisi hivyo kama unavyojaribu kupiga propoganda zako ndugu yangu. Rudi tena Lumumba waombe uzi mwingine. CDM ni product inayouzika zaidi ya Coca,Pepsi, Safari lager na product zingine kama hizo. CDM ni product ambayo kwa sasa haihitaji promo......na kanyaga twende ya 2015 CCM hatasimama hata kama wataiba kwa nguvu. Kaulize Mtwara ndo utapata jibu....
 
hata bunge letu limekuwa bora na zuri na lenye uhai kwa sababu ya vijana safi wa chadema ndani ya bunge bado tu huoni chadema walichofanya kwa watanzania?
 
Ama kweli zama za mwisho za CCM ndio hizi maana ake mtu anashindwa kufikiria hata anachoandika, Kweli hapa chama hakitapona kwa mwendo huu!!!!
 
naona jinsi unavyofiria kwa kutumia mat...ko.

Chadema hawakusanyi kodi, anayepaswa kuleta maendeleo majimboni ni serikali. Acha ushamba, yaani hata elimu ndogo ya uraia huna?
 
Siyo kila babu/bibi anakuwa na busara.

Katibu mkuu wenu naye si ni babu? Kitendo cha yeye kuwa na mchumba unaona ni jambo la busara?
Kuwa kijana na kukariri kuwa chadema ndio mwana mageuzi ushamba hao walicholifanyia taifa hili ni vurugu kuanzia bungeni barabarani maandamano kila cku kutuharibia maadili ss km babu slaa mpaka anagombea urais alaf ana mchumba tu hata mke hana si uhuni huo
 
Kijana wa Bar Vichaa naona umeshanyweshwa "viroba" na kulishwa pilau kavu povu linakutoka tu!

stupid comment is replied by stupid answer, umeleta uzi wa kipuuzi unategemea kujibiwa kisomi. you deserve upuuzi responses
 
takribani miaka minane sasa tangu chadema kipate jina na umaarufu nchini.
Hapana shaka kuwa,si bob makani wala mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,bali ni zitto kabwe,na wilbroad slaa,katika bunge la jmt.

Ni hawa wawili ndio wamepelekea kimbunga cha wabunge toka chadema kuingia mjengoni bila hata wao kutarajia ktk uchaguzi wa 2010.

Matunda ya kimbunga cha chadema mjengoni mwaka 2010 ndio yamewafanya vijana wengi kuwa wajuaji na wabishi huku wote wakiamini kujirudia kwa kimbunga hicho ktk uchaguzi ujao nao waneemeke,ni ktk dhana hii hii vijana wengi hii leo wanajifanya watetezi wa watanzania,na walinzi wa rasilimali za nchi ili tu waneemeke 2015, nao watatue shida zao.

Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa chadema hawajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuwanunulia vijana viroba maana ndio mtaji wao.

Pia hakuna maendeleo katika majimbo yao.

Sugu,wenje,lema,lissu,msigwa,kiwia,machemli,n.k,mmeleta nini majimboni mwenu cha maendeleo ambacho ccm hawakufanya?mmejaa uongo,na wapindisha mambo wakubwa.

mbu mbu mbu
 
Siyo kila babu/bibi anakuwa na busara.

Katibu mkuu wenu naye si ni babu? Kitendo cha yeye kuwa na mchumba unaona ni jambo la busara?

Hilo usithubutu kusema hata kidogo.kule kwa MGAMBA ndio wamejaa kweli.wana uchu wa ngono utafikiri wamelogwa,kuna waziri alifumaniwa,mzee wa toti nae na vitoto vya shule.afadhali mwenye mchumba hata kama umri umesogea
 
Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa CHADEMA hawajaleta maendeleo yoyote zaidi

Moja, nashauri usome katiba vizuri ili ujielimishe vizuri kazi za mbunge. Hii dhana ya kuwa kazi ya mbunge ni kuwaletea maendeleo wananchi wake sio sahihi hata kidogo na haipo mahali popote katika Katiba na sheria zetu za nchi. Ni dhana inayotumika sana kuwapumbuza wananchi wakati wa kampeni za uchaguzi na matokeo yake wanaishia kupewa ahadi hewa ambazo hazitekelezeki.

Pili, CDM na wabunge wake hawakusanyi kodi. Yenye dhamana hiyo ni serikali ya CCM. Kwa hiyo hoja hapa ni maendeleo gani ambayo serikali ya CCM imeleta kupitia kodi za watanzania (wanachama na wasio wanachama wa vyama vya siasa) kwa miaka 50 ya uhuru?
 
Wewe uliye madarakani tueleze umetufanyia kama watanzania ikiwa hadi hivi sasa wanafunzi wanakaa sakafuni na pengine wanaokata mawe ili wakalia wakiwa darasani. Je, si kweli kwamba vijijini hakuna zahanati za kutosha na kama zipo hazina vifaa? Je, si kweli kwamba baadhi ya maeneo mmewanunulia bajaj eti kuwasaidia wajawazito!!!? Nikuulize swali: Kati ya vigogo unaowafahamu ni nani ambaye mtoto wake anasoma shule ya sekondari ya kata kama Kiloleli kule kishapu, Moreto kule Bagamoyo, Lyabukande kule shinyanga vijijini n.k?
 
Takribani miaka minane sasa tangu CHADEMA kipate jina na umaarufu nchini.
Hapana shaka kuwa,si Bob Makani wala Mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,Bali ni Zitto Kabwe,na Wilbroad Slaa,katika Bunge la JMT.

Ni hawa wawili ndio wamepelekea kimbunga cha wabunge toka CHADEMA kuingia mjengoni bila hata wao kutarajia ktk uchaguzi wa 2010.

Matunda ya kimbunga cha CHADEMA mjengoni mwaka 2010 ndio yamewafanya vijana wengi kuwa wajuaji na wabishi huku wote wakiamini kujirudia kwa kimbunga hicho ktk uchaguzi ujao nao waneemeke,ni ktk dhana hii hii vijana wengi hii leo wanajifanya watetezi wa watanzania,na walinzi wa rasilimali za nchi ili tu waneemeke 2015, nao watatue shida zao.

Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa CHADEMA hawajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuwanunulia vijana viroba maana ndio mtaji wao.

Pia hakuna maendeleo katika majimbo yao.

Sugu,Wenje,Lema,Lissu,Msigwa,Kiwia,Machemli,n.k,mmeleta nini majimboni mwenu cha maendeleo ambacho CCM hawakufanya?Mmejaa uongo,na wapindisha mambo wakubwa.

Kwani chadema wanaserikali?
 
mkuu mbona thread hii iko mseto sana! mahindi, mchele, pumba, majani ya chai, majani ya kuvuta, togwa, wanzuki; vyote humohumo!
 
Siyo kila babu/bibi anakuwa na busara.

Katibu mkuu wenu naye si ni babu? Kitendo cha yeye kuwa na mchumba unaona ni jambo la busara?
poor thinking viongozi wako unaowatetea wanamabaya mangapi ya kimaadili wanayoyafanya kumbe bora kuwa na nyumba ndogo kibao kuliko kuwa na mchumba mmoja anayefahamika. Fikiri kabla hujaongea
 
Takribani miaka minane sasa tangu CHADEMA kipate jina na umaarufu nchini.
Hapana shaka kuwa,si Bob Makani wala Mbowe,waliokipa sifa na umaarufu nchini,Bali ni Zitto Kabwe,na Wilbroad Slaa,katika Bunge la JMT.

Ni hawa wawili ndio wamepelekea kimbunga cha wabunge toka CHADEMA kuingia mjengoni bila hata wao kutarajia ktk uchaguzi wa 2010.

Matunda ya kimbunga cha CHADEMA mjengoni mwaka 2010 ndio yamewafanya vijana wengi kuwa wajuaji na wabishi huku wote wakiamini kujirudia kwa kimbunga hicho ktk uchaguzi ujao nao waneemeke,ni ktk dhana hii hii vijana wengi hii leo wanajifanya watetezi wa watanzania,na walinzi wa rasilimali za nchi ili tu waneemeke 2015, nao watatue shida zao.

Kwa kipindi hiki chote cha takribani miaka 8,wabunge wa CHADEMA hawajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuwanunulia vijana viroba maana ndio mtaji wao.

Pia hakuna maendeleo katika majimbo yao.

Sugu,Wenje,Lema,Lissu,Msigwa,Kiwia,Machemli,n.k,mmeleta nini majimboni mwenu cha maendeleo ambacho CCM hawakufanya?Mmejaa uongo,na wapindisha mambo wakubwa.

You are fooling yourself........and ignorantly you are trying to fool the BIG MINDED people.....we!!...AKILI NDOGO KUTAKA KUJIPENYEZA KATIKA AKILI KUBWA....

Most likely hujui hata jukumu la mbunge!!....Kama unabisha kuwa hujui, tutajie kikamilifu maendeleo yanayopaswa kuletwa na mbunge;...Halafu hebu tutajie maendeleo kadhaa kama utaweza kuyahesabu yaliyoletwa na mbunge wako katika jimbo lako;..Mwisho taja vyanzo vya mapato (ukipenda sema FEDHA) vya mbunge huyo aliyekuletea maendeleo katika jimbo lako.Mwisho useme kidogo na wewe jukumu lako nini katika mkakati mzima wa kujiletea maendeleo.

Je, yaweza kuwa ni hivi unavyofikiri na kuandika?...Nakuuliza tu kwa sbb kama ndivyo hivi,then hata kama YESU KRISTO aje kuwa mbunge wako maendeleo kwako ni kuwa KIBAKA!!

Ukishindwa kujibu ipasavyo maswali hayo, hiyo 'red shade' ya sentensi yako ya mwisho katika uzi wako ita-apply kwako!!.......

Kitaturu,You make me believe something that,you are among few stupid Tanzanians,sasa nikutaarifu tu kuwa,my mind is GOOD than yours,becauce I do some appreciation,where something good is observed.Sasa nikutajie majukumu ya mbunge what for?unadhani hata kama ni kuwakilisha kero na matatizo ya wananchi,kuna CDM mp yeyote anaefanya hivi?wengi si wameenda bungeni kubishana tu ujuaji mwingi pasipo kuaddress matatizo ya wananchi?Mfano mzuri Lissu,lini alishawatetea watu wa singida zaid ya kubisha tu ktk vifungu utazan yupo mahakamani?Wenje kawawakilisha vp wananyamagana?zaid ya kutetea machinga ili tu wamshangilie kwenye mihadhara?So who is narrow minded btn me and you?
 
Back
Top Bottom