View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?
tusichanganye siasa na dini. kama ni hivyo hata viongozi wa kiislam wakuu wangalikuwa wanakaa 12 days, lkn sijui kama limewahi kutokea? jee gov haitaki kufanya hivyo kama inavyofanya viongozi wa madhehebu mengine? au wanahsehimu imani zao? jee chadema imeshindwa kuthamini imani zao na kuupeleka mwili wa marehemu mapema?nilikua nasikia kuwa muhogo ni miongoni wa magreat sinker ambaye yuko biased na ni mwenye mawazo mgando sasa nimejionea mwenyewe live.
ok, hoja hii inaweza ikawa kubwa mbeleni
tusichanganye siasa na dini. kama ni hivyo hata viongozi wa kiislam wakuu wangalikuwa wanakaa 12 days, lkn sijui kama limewahi kutokea? jee gov haitaki kufanya hivyo kama inavyofanya viongozi wa madhehebu mengine? au wanahsehimu imani zao? jee chadema imeshindwa kuthamini imani zao na kuupeleka mwili wa marehemu mapema?
Ina maana wewe ni muislamu zaidi kuliko mashekh walioshiriki katika kuaga na kumzika shujaa wetu? Au wewe ni more knowledgeable in Islamic studies than those renown sheikhs walioongoza sala NMC ground? Huna hoja, just understand this fact and swallow your bitter truth if you havr such a capacity....ama kweli unadondoa tu na sio kujibu hoja au kuchangia hoja...pole
tusichanganye siasa na dini. kama ni hivyo hata viongozi wa kiislam wakuu wangalikuwa wanakaa 12 days, lkn sijui kama limewahi kutokea? jee gov haitaki kufanya hivyo kama inavyofanya viongozi wa madhehebu mengine? au wanahsehimu imani zao? jee chadema imeshindwa kuthamini imani zao na kuupeleka mwili wa marehemu mapema?
we unadhani lengo la kuzika mapema ni nini hasa?
tatizo sio sheikh au imam, tatizo sijawahi kuona hata mwili mmoja wa kiongozi wa juu nchini ambae anapendwa sana akaweka 6 days. lkn kwa chadema limetokea. jee hawa wengine hawajui?
We ni mpuuzi tu umekosa cha kuandika ukaona uje na gia hii, unajidai kuujua uislam kuliko mashehe wako waliousalia mwili kafie mbali usipoangalia na hili jina lako jipya utafungiwa tena maana hujabadilika.tatizo sio sheikh au imam, tatizo sijawahi kuona hata mwili mmoja wa kiongozi wa juu nchini ambae anapendwa sana akaweka 6 days. lkn kwa chadema limetokea. jee hawa wengine hawajui?
Crap! Kuna watu wanaugonjwa wa udini humu jamvin.washindwe na upeo wao mdogo.
tatizo sio sheikh au imam, tatizo sijawahi kuona hata mwili mmoja wa kiongozi wa juu nchini ambae anapendwa sana akaweka 6 days. lkn kwa chadema limetokea. jee hawa wengine hawajui?
sio udini, itakuaje leo ccm mkiristo wakamsalia msikitini, jee tukae kimya? kwanini chadema ionekane haikosei?
hapa sioni hata kinachongelewa! Unataka kuleta malumbano ya kidini tu
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?
dr ally omary juma alikaaa siku ngapi! Wewe ms?
Kadhalika Hadiyth hiyo inajulisha umuhimu wa kumzika pale pale alipofariki maiti na si kumchelewesha kwa kumsafirisha eneo jingine au mji au nchi nyingine, kwani kufanya hivyo kutachelewesha kuzikwa maiti na hivyo kutagongana na maamrisho hayo ya kipenzi chetu.
Jaabir bin Abdillaah (Radhiya Allaahu anhuma) anasimulia:
Katika vita vya Uhud Waislamu waliokufa walikuwa wakibebwa kupelekwa (katika makaburi ya) al-Baqiyi. Lakini baadaye ikatangazwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu alayhi wa aalihi wa sallam) kaamrisha nyinyi kuzika waliokufa pale walipofia/walipouliwa. Hapo ni wakati ambao mama yangu alikuwa tayari keshaweka maiti ya baba yangu na mjomba wangu juu ya ngamia. Na hapo wakachukuliwa na kurudishwa kwenda kuzikwa kule walipouliza. [Ahmad, Abu Daawuud na wengineo. Imethibitishwa usahihi wake na Shaykh al-Albaaniy katika Ahkaamul Janaaiz uk.25]
HUU NI UMUHIMU WA KUMZIKA MAITI MAPEMA