Sina pa kwenda
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 113
- 15
I thought hii ni forum ya the inteligent ones, kumbe ni forum ya Chadema, I do not support neither parties, Lakini what i see here ni Biasness, akiyukanwa wa ccm , wengi wamapiga vigelegel, Chadema ikiguswa kidogo MARUNGU MIKONONI. fOR YOUR INFORMATION Chadema has its short commings also. Yes wamekua na kigeugeu Arusha, na hatukubali kuharibiwa mji wetu
chama cha magamba ndicho kilichokosa msemaji inatokea mke wa raisi,watoto wa raisi wote wanaongea kama katibu mkuu wa ccm au katibu kiongozi pale ikulu ha ha ha
Rev Masanilo una ID ngapi? Nipe basi ile ingine inaitwa Saigon
Ahahahah!! Nikipata muda taipitiaNina ID 23 pamoja na niliyofungua leo! Saigon wewe ichue tu nakutumia password hapa hapa.......Username: Saigon, Password: Jakaya
Inahitajika uwe taahira kama wewe ndipo utaelewa na kukubaliana na M.kwere
- Kila mtoto atakuwa na Laptop
- Umeme wa mgao utakuwa ni Historia
- Dodoma kutatengenezwa Ziwa na Meli kubwa italetwa
- Mwanza Itakuwa California
- Kigoma itakuwa Dubai
- Flyovers Dar es Salaam
- Ajila mpya kwa vijana Mil 2
- Bajaj kila kituo cha Afya
Mbowe anafanya uchunguzi,Lema amekana kumtambua Meya.Sasa hapo kipi kinachokufanya usiwe na Imani na Chadema?Inamaana misimamo ya viongozi wote wawili hujaielewa mpaka hapo.Au unakurupuka tu kuandika.Yupi wa kumshangaa ni Jakaya Kikwete alieyakana majenereta ya Dowans(Richmond) na hajui yaliingiaje!!!!? au Lema na Mbowe kwa misimamo ya kutomkubali Meya wa jiji la Arusha?Kama ccm ilishindwa na imeshindwa kutuletea maendeleo ndani ya miaka 50 vipi unamlalamikia Lema kuwa atachelewesha maendeleo kwa hii miezi sita tu!!!!?Nenda ukalale ukue huku hakukufaiKwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
Mkuu hiyo ya mwanza kuwa calfonia ni ahadi ya 2005-2010, ndio maana wasukuma wakamshtukiaInahitajika uwe taahira kama wewe ndipo utaelewa na kukubaliana na M.kwere
- Kila mtoto atakuwa na Laptop
- Umeme wa mgao utakuwa ni Historia
- Dodoma kutatengenezwa Ziwa na Meli kubwa italetwa
- Mwanza Itakuwa California
- Kigoma itakuwa Dubai
- Flyovers Dar es Salaam
- Ajila mpya kwa vijana Mil 2
- Bajaj kila kituo cha Afya
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!

Umezeeka akili ungali kijana,jitahidi kuicontrol ili ionekane inafanya kazi japo kwa %10 tu itakusaidia.hapa umenena kabisa! Chadema ni kama kichwa cha mwendawazimu!
Inaonekana wewe ni 0 brain,sio Genius brain.Hiki si chama , ni genge la wanaharakati wahuni !