CHADEMA, hawa wageni(wazungu) mmekubali wavuruge nChi yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, hawa wageni(wazungu) mmekubali wavuruge nChi yetu?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Freemanson, Jul 9, 2012.

 1. F

  Freemanson Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna ushahidi usio shaka kwamba mambo mengi ya kigaidi na uchonganishi yanayofanywa na Chadema kila kukicha nyuma yake yanamkono wa wazungu sita kutoka nje ( majina kwasasa tayari ninayo) wanaoshauri namna ya kuifanya nchi isitawalike eti!!! Sasa kama ndhani ni dhahiri Watanzania wenzetu wameamua kuwakabihi nchi yetu wazungu wafanye watakavyo. Kati yao kuna vijana wa Cameruni. Malipo ni rasilimali zzetu ambazo zinawatoa udenda wazungu hawa, huku Watanzania wenzetu hawa wakitoka udenda kwa kutamani madaraka!!!!
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  duh! Kumbe ndio hivyo, hebu funguka zaidi. Tukuelewe, watu wengi hatuna hizo habari!
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hayo ni maneno yako; unafikiri utateka hisia za watu! njoo na style nyingine kwa hii umechemsha.
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  mods , please hatuwezi kuvumilia hii forum ikiwa abused purposely .... please use your arm of the law to fight back

  this member is a violence reactor
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hivi huu ni mwaka gani!!!!! Mmmmmmmh ni 1930 ah!!!!!!! Nimekumbuka Kumbe ni hizi propaganda za kizamani sana zina nifanya nisahau mwaka du! Mithread mingine ni Kama virus
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  lakini kama ni rasilimali mbona nyingi zimeshauzwa, sasa hizo zingine ni kama zipi, hebu funguka zaidi na utaje hizo rasilimali ambazo chadema wanataka kuuza!
   
 7. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jambo hili ni kweli,lakini halifanywi na CDM tu, hata CCM wanafanya.Ni biashara chafu sana,ambayo sisi wananchi ndio twenye uwezo wa kuikataa.Wanasiasa wetu ni wapenda fedha mno,and therefore easy to fall pray to dirty money kama ambavyo tumeshaona.
   
 8. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Serekali dhaifu ndio ina wafuga cdm hawana cha kufanya zaidi ya harakati tu na ukombozi tuiingia watahama viunga vya nchi hii na madhaifu wao.
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,495
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Mashudu ya magamba!
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mbona thread za namna hii zimejaa humu JF na zingine zinashabikiwa kweli kweli wakati hazina mashiko kama hii.
   
 11. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kaka, hebu kakae pembeni kule nyuma kuleee maana naona huna hoja lakini bado waendelea tu kujibidisha kupigia jukwaa zima kelele bila adabu wala aibu kuongelea fikra binafsi ulizoziota wewe usingizini na sasa unatuletea hapa!!!!!!!!!!!

   
 12. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,740
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Iam reporting ABUSE to this thread.Mods mmesinzia?
   
 13. e

  evoddy JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  [MENTION]Kama ni rasilimali sijui unaongelea zipi maana tayari zilishaibwa chini ya CCM kwa mikataba ya kijinga mfano GGM umiriki miaka 99.Acha mawazo dhaifu kama mwenyekiti wa taifa wa CCM[/MENTION]
   
 14. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hii ndo assingment uliyopewa leo?
   
 15. F

  Freemanson Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchumba bado unasinzia nini? Soon naweka mpaka picha zao hapa, halafu mchonge tena!
   
 16. F

  Freemanson Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umejuaje??!! Tofauti moja kubwa ni kuwa mie silipwi wewe unalipwa na kulazimishwa kufanya hata usichoamini
   
 17. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  HILI NI JINGA SANA, ATI FREEMANSON MjINGA TU ANAYETUMIWA NA MAFISADI.
  PUMBAVU WEWE, NA NINAAMINI ATA UKIONEKENA KWA SURA UTAKUWA NA LAANA YA KULAWITIKA.
   
 18. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  wewe weka ushahidi wowote lakini hupati kitu nyie wenyewe mshauza nchi sasa mwenzio unamshangaa nini au mnataka mfaidike wenyewe hapa hakieleweki kitu ccm tumewachoka 2015 jiandaeni tu
   
 19. e

  evoddy JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Fikra dhaifu kama za mwenyekiti wa CCM taifa maana kama rasilimali zilishaibwa chini ya serikali ya Kidhalimu ya CCM,mfano mgodi wa GGM umebinafsishwa miaka 99,je na hizi ni njama za CDM?Ukosefu wa dawa,vitendea kazi mahospitalini na hiyo ni CDM?Ukosefu wa madawati ,walimu ,maabala mashuleni na vyo ni kwa sababu ya CDM?wanafunzi wa vyuo vikuu kukosa mikopo na hilo ni kwa sababu ya CDM?
  Hivyo ni baadhi tu ya vitu ambavyo CCM imeshindwa kuifanyia jamii ya watanzania kwa hali hiyo tunayo sababu ya msingi kuwatetea watanzania kwa nguvu ya UMMA na wala siyo hao wazungu wa kufikirika kama ambavyo unataka kutuaminisha.

  Kajipange upya uje na hoja zenye mashiko usiwe DHAIFU kama mkaazi wa MAGOGONI
   
 20. m

  masabo Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu zitolewe
   
Loading...