GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
mbona hamuulizi yale yaliyojiri kule mbeya kwenye mkutano kwa magamba? lol kulikuwa na wale wanaojiita wapiganaji ndani ya CCM waliwasha moto wa ajabu.
Ukijua kilichojiri utapata nini. Kamwulize Nape
kazi kweli kweli au mambo mazito wakuu mbona mmekaa kimya mpaka sasa ? Na shibuda aliisha sema msimguse nyie mkimwaga ugali yeye anasema atamwaga mboga. Kweli magwanda leo hii mmekuwa mabubu ? Toeni taarifa zenu
Kupata taarifa muhimu mwenye nazo atujuze tafadhali wengine tupo nje y bongo magazeti hadi siku ya 3
Mawazo ya wengi ndiyo sahihi kidemokrasi. Kama wenzenu wamewazidi basi inabidi nyie mliowachache msalimu amri siyo kulazimisha.Mnaweza kugues tu matokeo ya kikao kile mkajifurahisha roho zenu kwanini muumize kichwa na kuanza kuturopokea nakufoka humu kana kwamba kuna mtu mlikuwa mmemtuma akawaletee hii habari?Mkuu unawajua Magwanda, ingekuwa hayo wametenda wao ungesikia thread zote wamejaza wao humu, ila wengine hawataki kuwasikia. Hawa jamaa wako wabinafsi sana kuanzia viongozi+wanachama+wapenzi
soma mwananchi...............''mbowe: Jk vunja baraza la mawaziri''........ukurasa wa kwanza chini kabisa
Mkuu unawajua Magwanda, ingekuwa hayo wametenda wao ungesikia thread zote wamejaza wao humu, ila wengine hawataki kuwasikia. Hawa jamaa wako wabinafsi sana kuanzia viongozi+wanachama+wapenzi
Ndugu wadau nimepitia thread zote hakuna hata moja iliyoelezea yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM kilichofanyika 17.07.2011 ambacho pamoja na mambo mengine kilijadili sakata la madiwani Arusha kuhusiana na mwafaka na CCM , na sakata la Mh. Shibuda kuhusiana na utovu wa nidhamu ndani ya Chama.
Mwenye nayo yaliyojiri tafadhali atujuze !
Hapo Msikitini kuna kashata? Nataka nipate gahawa mkuuNdugu wadau nimepitia thread zote hakuna hata moja iliyoelezea yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM kilichofanyika 17.07.2011 ambacho pamoja na mambo mengine kilijadili sakata la madiwani Arusha kuhusiana na mwafaka na CCM , na sakata la Mh. Shibuda kuhusiana na utovu wa nidhamu ndani ya Chama.
Mwenye nayo yaliyojiri tafadhali atujuze !
Moderator Please!!! Action!!! Sasa jukwaa tutashindwa kusoma na Wanetu!.......!
Post ya kwanza editedModerator Please!!! Action!!! Sasa jukwaa tutashindwa kusoma na Wanetu!
Hapo Msikitini kuna kashata? Nataka nipate gahawa mkuu
File😛ork dsc06559.jpg - Wikipedia, the free encyclopediaVipi Padre Wil brod Slaa alifanikiwa kumuombea na kumtakasa kwa kumpa Divai Mh Shibuda?
Hivi ni adabu kuwasubiri wazazi wako mlangoni asubuhi na kuwauliza walikuwa wanafanya nini chumbaniYangekuwa maandamano Arusha, wangejazana humu kuomba updates na picha..........!
Sasa kikao muhimu cha maamuzi mnapotezea!
Hawa jamaa huwa siwaelewi kabisa, wamekuwa kama kondoo wanasubiri mchungaji awaswage!....
Unakumbuka ile issue ya Zittom kususia posho............mwanzo walimtuhumu kuwa ameharakia, asingefanya pekee yake, angesubiri msimamo wa chama!
Ghafla wanamtuhumu Shibuda kukiuka msimamo wa chama blah blah blah.........
Mimi siwaelewi kabisaaa!