CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

Status
Not open for further replies.
tehe tehe tehe,mfumo ISLAM naupenda ndio njia mbadala ya mfumo kristo ulioasisiwa na magamba kuanzia kwa Baba wa kanisa Nyerere mpaka sasa wakati wa utawala wa Mr.Dhaifu.

Kama CCM imeweza kupandikiza mpaka naibu katibu mkuu,makumu mwenyekiti taifa,makumu mwenyekiti BAVICHA,na sasa mkurugenzi wa usalama wa CDM basi huko CDM kumejaa mapindikizi ya CCM.Nilisahau kulikuwa na uvumi ya kwamba Padri Slaa naye ni pandikzi maana na kadi ya CCM.

Wachumia matumbo wantabu sana.Chezea watu wanaoabudu maslahi yao wewe,watawaandamanisha na kuwaingiza kwenye vita kwa maslahi yao,Muone Maalimu Seifu kule Zanzibar,wajinga ndio wali wao

Hayo ni mapandikizi excellent manake CCM suruali zinawabana hamkohoi hamnywi munaeneshwa puta puta kama sio mapandikizi wachina leo wangeshapeleka Bomba la Gesi Msata kwa Kikwete ,Bila mapandikizi ungekuta Pinda hazomewi Mwanza,Bila mapandikizi ungekuta Salma hapopotolewi mawe Tunduma Mbeya,Bila Mapandikizi ungekuta Vuai hazomewi Tunduma bila mapandikizi ungekuta Ngereja hazomewi shinyanga ,Mapandikizi ndani ya chadema hoyeeee,kiboko cha CCM
 
Jamaa kageuka mchambuzi wa bibilia badala ya siasa,dah wameshikwa pabaya.
Rahisi kusema kashikwa pabaya vipi kipi kipya tangu 2005 video za wazi za mauaji acha za you tube polisi na usalama wa taifa walio lala usingizi wamemkamata nani
 
Mkuu NasDaz nataka nikukumbushe kwamba Mwigulu aliwahi kuibuka na tuhuma za kutumiwa message za vitisho na wabunge wa Chadema.
Lakini tangu Mabere Marando wa Chadema alipokuja na ushahidi wa kwamba ccm wamenunua mtambo wa kutengeneza sms (sms spoofing) ile sinema ilikufa kifo cha kawaida sana.

Pamoja na mtazamo wako kwamba hapa tumenaswa nataka nikuhakikishie kwamba Chadema haijanaswa na watanzania hawawezi kudanganyika na propaganda za kijinga kama hii ya kutengeneza video. Nani asiyejua kwamba ccm ndiyo yenye vyombo vyote vya dola? sasa kama wanazo video za viongozi wa Chadema wakipanga mauaji dhidi ya raia muda wote wamekuwa wakisubiri nini kuwakamata??

Ndugu yangu kanisani ninakwenda na nitaendelea kwenda kwa ajili ya kumuabudu Mungu lakini pia kwenye siasa nitaendelea kuwepo kwahiyo utaendelea kuniona sana hadi siku mwenyezi Mungu atakapoamua vinginevyo.
Enheee, umenikumbusha aisee!!!
Mkuu wangu ulipotaja Nchemba tu ndipo umenikumbusha vizuri sasa kuhusu songombwingo lote hili!! Kama unakumbuka, kuna post nilikuambia kwamba jambo ambalo sijalifahamu, ni WHY NOW? Baada ya kunitajia Nchemba, I can then join the dots!!
I think issue iko hivi. Nchemba alipata video mapema tu. Lakini kama ilivyo kawaida yake, akaropoka kwamba ana ushahidi wa viongozi wa CHADEMA kufanya mauaji! Sina shaka kabisa kwamba hii ndiyo video ambayo Nchemba alikuwa anaizungumzia! Kama utakumbuka, Nchemba alitoa hayo madai mwezi January wakati hii video inaonekana ni ya December!
Baada ya wakuu wa kazi kugundua kwamba Nchemba ana video, bila shaka the mission ikawa suspended! Nchemba na ujinga wake, akawa anasubiria tukio litakalomuhusu mwandishi wa Mwanachi ndipo video iwe released! Kwavile the mission was ready suspended; Nchemba akasubiri na kusubiri na kusubiri; utekaji haukutokea!!

Suala sasa ikawa ni wakati gani video iwe released! Kwavile tukio la moja kwa moja halikutokea; sasa option ikawa ni kwenye tukio lolote litakalofanana na kile kilichomo kwenye video! Hapo sasa ndipo lilipokuja suala la kuteswa Kibanda! Kwavile suala la kuteswa Kibanda linashabihiana na dhima ya video; ndipo sasa ikawa released!

Swali linalobaki ni moja! Je, yaliyomkuta Kibanda ni planned mission itakayowezesha ku-release video or was just a coincidence ambayo Nchemba & CO ikaamua i-take advantage ya tukio!!! Yote mawili yanawezekana! Kwamba, inawezekana baada ya kuona yale ya kwenye video hayatimii, basi ikaadhimiwa kwamba ni kheri tu wayatimize wenyewe kisha wa-release video na kuhusisha na tukio au inawezekana pia kwamba waliomfanyizia Kibanda hawakuwa na idea yoyote kuhusu uwepo wa video husika!! Na hapo ndipo Nchemba & CO wakaamua ku-take advantage!! Lakini tukija kweneye suala la video yenyewe, sina shaka nayo kabisa Mkuu wangu Maranya!
 
Mhusika kasema ni polisccm.
Mhariri mwenzake kasema wiki 3 nyuma polisi waliwafuatilia mida ya saa 5 usiku.
Kumbe walianza kutafutwa muda mrefu.
Namshukuru Mungu kwani Kibanda mwenyewe yu hai na atajathibitisha mwenyewe.ccm
Hatutaki mumtoloshe nje ya nchi kama mlivyofanya kwa Ulimboka kujifanya anaenda kusoma zaidi.
Hatutaki mummalizie kabla hajatoa uthibitisho.
Mkumbuke kuwa yule ni Mnyaki pure hasiyenunulika.
MAGAMBA SIJUI MTAJIFICHA WAPI KWA CINEMA YENU HII TENA YA KITOTO NAMNA HII.
 
Linahusiana coz of double standards
Double standard vipi christine?! Labda sasa tunaweza kuona ni double standard kutokana kuwepo kwa taarifa za kukamatwa Lwakatare lakini hoja yangu hii ilikuwa kabla ya kukamatwa kwake! Therefore, kama issue ilikuwa ni video inayomtia tuhumani Lwakatare wa CHADEMA, kamwe huwezi kuleta habari za dini hapo coz' CHADEMA si taasisi ya kidini bali ni chama cha kisiasa!! Ingekuwa sahihi kuhusisha suala la Lwakatare na yale ya CCM!
 
Zitto alikuwa sahihi kupiga lile biti la Kuua mpaka panya maana kuishi na Viumbe jamii ya Lwakatare si kazi ndogo tena mkiwa na mtazamo tofauti, Huyu jamaa ana fanana ki mwili na binadam ila hana sifa hiyo!
 
Hayo ni mapandikizi excellent manake CCM suruali zinawabana hamkohoi hamnywi munaeneshwa puta puta kama sio mapandikizi wachina leo wangeshapeleka Bomba la Gesi Msata kwa Kikwete ,Bila mapandikizi ungekuta Pinda hazomewi Mwanza,Bila mapandikizi ungekuta Salma hapopotolewi mawe Tunduma Mbeya,Bila Mapandikizi ungekuta Vuai hazomewi Tunduma bila mapandikizi ungekuta Ngereja hazomewi shinyanga ,Mapandikizi ndani ya chadema hoyeeee,kiboko cha CCM

Ben sanane huyo katuambia Zitto ni Pandikizi,mulimfkuza Shanza kwa sababu ni Pandikizi,mukasema Arfi ni Pandikizi,na picha hii ya Lwakatere zairi inaonyesha Lwakatere kaandaa hii move ili kuimaliza CDM hata kam utabisha huyu jamaa ni pandikizi.Vijana waliibuka kwakesema Padri Slaa ana kadi ya CCM hivyo ni pandikizi.

Nakubali CCM ni mafisadi,magamba,CUF maalimu Seifu yule anakula nchi baada ya ndugu zake wapemba kufa kule Pamba 2001.Mbatia huyo kapewa ubunge na Mr.Dhaifu.

Katika hali kama hii nchi tumpe nani?maana wanasiasa wenyewe wote ni wasanii wachumia matumbo tu
 
Wananchi watawapa chadema CCM kwishenye wanashindwa hata kuset propaganda akili zao zimejaa mba
 
Zitto alikuwa sahihi kupiga lile biti la Kuua mpaka panya maana kuishi na Viumbe jamii ya Lwakatare si kazi ndogo tena mkiwa na mtazamo tofauti, Huyu jamaa ana fanana ki mwili na binadam ila hana sifa hiyo!

Kauli za Kishirikina hazipaswi kuungwa mkono.Alafu antaka kuwa Raisi,nadhani arubino wote watakatwa mikono na kuuliwa katika utawala wake.Hivyo bado ni naibu katibu mkuu wa CDM?
 
Hii serikali ya mr.dhaifu inabidi tuiweke kwenye maajabu 7 ya dunia.
Hivi ni kweli wameshindwa kuwajibika ipasavyo ili kuwashawishi wananchi kukiamini chama chao cha magamba, wameamua kuja na mbinu mpya ya kuichafua cdm?
Hili ndilo suluhisho ya umaskini na matatizo ya waTZ?
Kwahiyo hili ndilo suluhisho la 94% waliofeli?
Hili ndilo suluhisho la wanyamapor wetu wanaosafilshwa kila kuitwapo leo?
Hili ndilo suluhisho la mfumuko wa bei ktk masoko?
Hili ndilo suluhisho la deni lipatalo tri.22?
KWELI MAGAMBA WANAFIKILI KWAKUTUMIA MASABURI,
Hivi wanadhan wanaweza kutulaghai kifala namna hii?
Nawapa pole yao.
HATUDANGANYIKI
NILAZIMA MNG'OKE TU.
Na mkisha ng'oka haya yote myafanyayo mtayalipia.
 
video hiyo nina wasiwasi nayo,kwanza alyechukua video hiyo likuwa wapi na lin? pili mtu aliyelengwa ni nani? anayeonokana ni aliyeitwa rwakatare, W. kwa video hii haimuneshi anayepewa directives ina maana ilishindkana?tatu,aliyechukua video yawezekana akahusika moja2kwa sababu inaonekana yeye aliujua mpango mzima kabla na akajiandaa kwa ajili hiyo(video shooting). kwa hiyo polisi waweza kuwa na mwanzo mzuri

hoja zako haziondoi uhalali wa hii Video bali zinaonesha mshangao wa jinsi tukio lilivyorekodiwa.Maswali unayouliza ni sawa na kutaja chanzo cha habari kabla ya upelelezi kukamiika. Chadema iliwindwa sasa imewindika.Hiki ni kitanzi na inathibitisha ukweli wa Hofu ya Zitto dhidi ya Maisha yake kiasi cha kutishia Kuua mpaka Panya akichezewa, Inanifanya kushawishi ndugu zake Chacha wangwe kuomba uchunguzi wa Kimataifa dhid ya Kifo Tatanishi cha Ndugu yao, Hata nduguze Salome Mbatia wanaweza kujua ukweli kuwa Ajali ile haikumlenga Salome bt aliingia kwenye Target ya Zitto alopumzika njian kupata Kinywaji
 
Wananchi watawapa chadema CCM kwishenye wanashindwa hata kuset propaganda akili zao zimejaa mba

Hawa ambao wanaanza kujikopesha pesa za ruzuku kabla hajaingia ikulu,wangine wanasema wanakta pesa zao walizozitumia wakati wa kampeni,wakapita nchi si watakomba kila kitu kulipia ghalama za kukiondoa chama cha magamba

Labda kwa vile watu wanataka mabadiliko tu watachagua hata jiwe kama walivyofanya Mbeya mjini
 
Rahisi kusema kashikwa pabaya vipi kipi kipya tangu 2005 video za wazi za mauaji acha za you tube polisi na usalama wa taifa walio lala usingizi wamemkamata nani

Wewe umeziona hizo video je ni juhudi gani umezifanya kutoa taarifa kwa vyombo husika?umesubiri mpaka na nyinyi myafanye halafu mnasema mbona flani kafanya? Huo ndo uadilifu mnaotaka kuuleta na serikali yenu ya cdm mkipewa nchi?
 
Kauli za Kishirikina hazipaswi kuungwa mkono.Alafu antaka kuwa Raisi,nadhani arubino wote watakatwa mikono na kuuliwa katika utawala wake.Hivyo bado ni naibu katibu mkuu wa CDM?

mshirikina anaetumia ushirikina kujilinda ni Bora kuliko anaejifanya mchamungu na Mzalendo kwa kuangamiza watu, rejea hotuba ya Nyerere kuaga 1985 utaskia anasema alipelekwa bagamoyo kwa wazee wakachinja mbuzi akatambuka kwenye damu yake kisha akaambiwa Nenda kijana Gavana wa Kiingereza Richard Tunbull kwisha Kazi
 
Katika pitapita nimekutana na technologia hii ya kutumbukizia watu maneno mdomoni na mdomo kucheza as if ndiye aliyeongea, pamoja na mambo mengine, ni vyema tu at least tukatambua kuwa hii technologia ipo sokoni na inaweza ikafanyike. Bofya hapa, ilifanywa kwa Barack Obama. A Bad Lip Reading of Barack Obama's Inauguration (Legendado PT-BR) - YouTube

NI WATZ WACHACHE WALIOWAJINGA WASIOIJUA TEKNOLOJIA NDIO WATAKAO IAMINI VIDEO HII YA KICHINA.

Na ninauhakika kama Kibanda atakuwahai atathibitisha utekwaji wake.
 
hoja zako haziondoi uhalali wa hii Video bali zinaonesha mshangao wa jinsi tukio lilivyorekodiwa.Maswali unayouliza ni sawa na kutaja chanzo cha habari kabla ya upelelezi kukamiika. Chadema iliwindwa sasa imewindika.Hiki ni kitanzi na inathibitisha ukweli wa Hofu ya Zitto dhidi ya Maisha yake kiasi cha kutishia Kuua mpaka Panya akichezewa, Inanifanya kushawishi ndugu zake Chacha wangwe kuomba uchunguzi wa Kimataifa dhid ya Kifo Tatanishi cha Ndugu yao, Hata nduguze Salome Mbatia wanaweza kujua ukweli kuwa Ajali ile haikumlenga Salome bt aliingia kwenye Target ya Zitto alopumzika njian kupata Kinywaji
Naona unamtaja taja sana Zitto kama amekutuma kutumia jina lake hapa baada ya kunyang.anywa kamati ya POAC basi kuna shida
Ngoja turudi kwenye video katika mauaji ya kutisha unataja ya salome mbatia na chacha wangwe lakini hujatutajia mauaji ya wamasai waliochomewa maboma yao kupisha wavaa vilemba waliompa zawadi ya suti sita Raisi wa Jamhuri ya Muungano Dr Dr Dr Jakaya Kikwete,Propaganda za kutoa mahitimisho zinatuaminisha kwamba ni mpango unaoratibiwa jana na asubuhi alikuwa Lwakatale Mbowe na Dr Slaa ,sasa mchuuzi unaungiwa nyanya ya Zitto duh embu tafuteni mwalimu awafundishe propaganda
Hatujasahau Polisi wa Mwema walivyotupa maiti za wananchi kwenye vichaka na barabarani kule nyamongo kupisha wabia wa mgodi wa Barrick ridhiwani,nani alikamatwa
hatujasahau Mauaji wa raia mbarali na mwekezaji aliyewamiminia sumu wanachi kwa ndege ukuulizwa aliwekwa na Kikwete nani alikamatwa
Hatujasahau mererani wabia wa Ridhiwani na ngereja kwenye tanzanite walivyouuwa wananchi nani ka kamatwa hata wale wanaopanga mauaji hayo hawakamatwi ndio maana hii video inajulikana kuwa ni staged kwa sababu chini ya masaa 24 Lwakatare yuko polisi tunauliza mbona kwingine kote kimya Iringa pale Padri na masista damu zilimwagika nani kakamatwa
wanafunzi wa IFM wanakuwa sodomise,kupigwa na wengine kufa nani kakamatwa mauaji mabaya ni haya ya kwenye video ya Lwakatare mengine ni mafua ya mwenyekiti wa CCM
 
NI WATZ WACHACHE WALIOWAJINGA WASIOIJUA TEKNOLOJIA NDIO WATAKAO IAMINI VIDEO HII YA KICHINA.

Na ninauhakika kama Kibanda atakuwahai atathibitisha utekwaji wake.
Kwa kweli ilinibidi nichukue study tour kuangalia je hiv hii technologia ya kulishana maneno ipo au haipo.

Ila baada ya kuona jins Obama alivyofanyiwa hapo, nashawishika kuamin kuwa tangu siku Mwigulu alipotutangazia usikute, kazi ilikuwa studio inaandaliwa na watu kama walioitengeneza hii A Bad Lip Reading of Barack Obama's Inauguration (Legendado PT-BR) - YouTube ya Obama. Kwa jinsi CCM ilivyokamatiwa chini, kucheza huu mchezo sio kitu cha ajabu sana. Ngoja tuone.
 
Wewe umeziona hizo video je ni juhudi gani umezifanya kutoa taarifa kwa vyombo husika?umesubiri mpaka na nyinyi myafanye halafu mnasema mbona flani kafanya? Huo ndo uadilifu mnaotaka kuuleta na serikali yenu ya cdm mkipewa nchi?

Askari mnamwogopa rwakatare mumukamate. Tunalipa kodi olo tulindwe. Huyu mheshimiwa hana kujiamini anaongea kwa wasiwasi sana, Magamba tunaomba kesho akamatwe kwa usalama qake ndugu ya waliofokwa na maafa hawawezi mwacha. Au ndio mnachotaka kila mtu afikiri atakavyo:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom