GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
enough ni jinga sana halina akili linajaza thread za kipuuzi hapa sjui mod huyu mnamuonaje anakidhi kweli matakwa au mmelala anajaza server bure mtu mzima hovyo
Ww kwani ndio unafaa kuwemo humu ?
enough ni jinga sana halina akili linajaza thread za kipuuzi hapa sjui mod huyu mnamuonaje anakidhi kweli matakwa au mmelala anajaza server bure mtu mzima hovyo
Huyu jamaa anajidai CDM lakini nimefatilia thread zake alizo anzisha naona katumwa...
Nanyaro wewe ukiwa kama Diwani sema kama mnayofanya ni haki kwa SISI wapiga kura, kumbuka nyie interest yenu ni umeya ila wananchi tunaangalia overall if the move helps us or not.
Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia.
Hii ni mbaya zaidi kuliko hata kuhudhuria kwasababu maamuzi yanaendelea kufanywa na madiwani wa CCM ambao hatuna imani nao. Nafahamu kuna baadhi ya madiwani wa chadema pia wao wenyewe hawapendi mgomo huu ila inakuwa ngumu kwenda kinyume na wenzao. Hii naifananisha na ile ya Zitto na wengine kuto unga mkono wabunge wa chadema kususia hotuba ya Kikwete.
Pls - kaeni chini muone ni vipi mnaweza peleka hii move ya Umeya kisheria na sio kususia vikao muhimu kwani mnatunyima haki yetu ya maendeleo.
Umeongea vizuri kaka! Chadema waliangalie hili! Lakini nijuavyo wataendelea na ukaidi huo hadi 2015! Imekula kwenu wana Arusha hata Mbunge wenu leo yuko Iringa,kesho UDOM,siku nyingine Tabora,wakati Mwingine UDSM akifundisha wanafunzi wa chuo kikuu wazomee CCM! Imekula kwenu Arusha! Safii sana na 2015 chagueni Chadema! Hahahahaha wajinga ndio waliwao!
Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia..
Sisi wananchi tunaangalia mbali zaidi kuliko mnavyotufikiria ninyi vibaraka wa mafisadi.Nanyaro wewe ukiwa kama Diwani sema kama mnayofanya ni haki kwa SISI wapiga kura, kumbuka nyie interest yenu ni umeya ila wananchi tunaangalia overall if the move helps us or not.
Kama umetumwa na Msekwa(ccm-chama cha magamba)mwambie wananchi wa Arusha polisi wenu walituua sbb ya kuingilia kazi za siasa na mkachanganya na jeshi mkatuulia wananchi zaidi ya watatu mliowadanganya nao watanzania wasio fahamu idadi kamili.Hatujasahau tunawatamani na safari hii tutawakalisha hamtaamini pamoja na jeshi lenu labda pasiwe na maandamano na ole wenu polisi mtupige mtafurahi