Tsakhodegha
Member
- Mar 16, 2013
- 27
- 13
Nina Mashaka Sana na Viongozi Wa CHADEMA Kwani Pamoja na Hali Kuonyesha Wazi Kuwa Chama Chao Kinahali Mbaya Kwa Sasa Bado Wanaujasiri wa Kusimama na Kujisifia Mafanikio Mufilisi Kabisa Katika Chaguzi Ndogo Zinazoendelea Hapa Nchini, Binafsi Nadhani Umefika Muda wa Kujitadhimini Kama Chama na Kuja na Mikakati Mipya Yenye Mashiko na Tija Kwa Chama Sio Kila Siku Kutengenezeana Majungu na Kufukuzana.