Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,623
- 287,355
- Thread starter
- #61
ccm imechanganyikiwaHii Twanga kotekote unawasumbua sana mazwazwa wa sukuma Gang
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
ccm imechanganyikiwaHii Twanga kotekote unawasumbua sana mazwazwa wa sukuma Gang
Acha ndoto za Alinacha mzeeTangu Zitto Kabwe amtelekeze Membe 2020 na kuungana na Tundu Antipas Lisu nilihisi kitu fulani mbele ya safari kunako 2025!
Huu ni uongo!Watu tunatofautiana sana uwezo wa uoni wa kuona mbali. Mbowe ni compromised na ame surrender kwa Mama, wakati Lissu ni mtu wa no retreat, no surrender!. Iwapo 2025 ni Samia atagombea urais kupitia CCM, the campaign mood would be no offensive politics, kitu ambacho watu wa no compromise, no retreat and no surrender hawawezi kukubali!, moto lazima utawaka!.
P
RIP MembeAcha ndoto za Alinacha mzee